Nina amini mungu kivyangu na katu sitaki kutumia njia tulizoletewa na watu waliokuja kututawala..........nina miaka 50
Mkuu haya ni mambo ya history,ndio maana hulazimishwi kuamini,kumbuka kuna binadamu wengi wanaishi hapa duniani na hawaamini chochote kuhusu Mungu,tukirudi nyuma kidogo wakati wa Mfalme Sulemani unakumbuka kuna malkia alitoka AFrica kwenda kumtembelea??kama unaweza kuelewa jambo kama hilo basi ujue Yesu kuwa mzungu au Mwafrica au Mchina haijalishi,jambo muhimu ni Imani yako
Mbona huyo YESU ni mzungu
Sasa umeniuliza imani yangu nami nikakwambia mbona unanihukumu? Hilo la malkia nalijua fika lakini alienda miaka 3,000 kabla ya YESU kuzaliwa. Nadhani unaelewa muda kama huo unamaanisha nini. Fikiria miaka 3,000 iliyopita Tanzania kulikuwa na nini.
Unajua kwamba Yesu alifika Ethiopia Africa kuhubiri? Apostle Paulo naye vilevile alifika Nchi za Kiafrica kwa ajili ya kueneza neno la Mungu,sasa uzungu wa Yesu kumbe hauna maana yoyote,hata Paulo alikuwa Mzungu???

Nimekuelewa,lakini ni kitabu gani kitakatifu cha kufuata na kukisoma ili uwe umeipata Njia ya Kweli na Uzima.
Wazungu wakichora shetani anakuwa mweusi. Hapo sasa!
Kwa hiyo Shetani ni Braza wetu..