Njia ya kuchoma nyama bila jiko la mkaa wala kuni

wadau naomba kujuzwa kama kuna njia ya kuchoma nyama bila kuwasha mikaa wala kuni, make jiko ninalotumia ni la gas mambo ya wali natumia rice cooker, gheto langu ni kali mno, la kibabe linang'aa sio la hadhi ya kuwasha mikaa, lakin sasa ninapenda mno nyama choma kuliko ya kupika hali inayopelekea nikitaka kula nyama lazima nikanunue kwenye mabar iliyochomwa tayari afu kwa bei za ajabu ajabu so naona napata hasara. bas bandugu naombeni mnisaidie kama kunanjia mbadala wa kuchoma mnyama ili niwe nachoma gheto natafuna. hasara sitaki tena
Nimecheka sana yani wewe ulitaka tujue una gheto kali mno si ndio hoja yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom