Njia ya kuchoma nyama bila jiko la mkaa wala kuni

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,214
7,906
wadau naomba kujuzwa kama kuna njia ya kuchoma nyama bila kuwasha mikaa wala kuni, make jiko ninalotumia ni la gas mambo ya wali natumia rice cooker, gheto langu ni kali mno, la kibabe linang'aa sio la hadhi ya kuwasha mikaa, lakin sasa ninapenda mno nyama choma kuliko ya kupika hali inayopelekea nikitaka kula nyama lazima nikanunue kwenye mabar iliyochomwa tayari afu kwa bei za ajabu ajabu so naona napata hasara. bas bandugu naombeni mnisaidie kama kunanjia mbadala wa kuchoma mnyama ili niwe nachoma gheto natafuna. hasara sitaki tena
 
tafuta jiko lenye oven na grill, kuna ambayo yanatumia gas na mengine umeme.
 
Dogo anajiita Sexer....kwi kwi kwi
hahahahaha atakuwa kala ndumu limemkolea kisha hana kitu mfukoni sasa
(surprised)_scaled_45.png
anaota mchana kweupeeee
 
wadau naomba kujuzwa kama kuna njia ya kuchoma nyama bila kuwasha mikaa wala kuni, make jiko ninalotumia ni la gas mambo ya wali natumia rice cooker, gheto langu ni kali mno, la kibabe linang'aa sio la hadhi ya kuwasha mikaa, lakin sasa ninapenda mno nyama choma kuliko ya kupika hali inayopelekea nikitaka kula nyama lazima nikanunue kwenye mabar iliyochomwa tayari afu kwa bei za ajabu ajabu so naona napata hasara. bas bandugu naombeni mnisaidie kama kunanjia mbadala wa kuchoma mnyama ili niwe nachoma gheto natafuna. hasara sitaki tena
Google biltong box.
 
Washa jiko la gas chukua wavu weka kisha weka minofu yako nyma yako itaiva mubashara
 
HIYO BREAD MAKER NITAIPATA WAPI MKUU JE INATUMIA UMEME AU GAS
breadmaker ninayo inatumia umeme unapata mkate wenye vionjo utakavyo zinapatikana maduka ya vyombo na vifaa vya majumbani bei kama 250000 hadi laki 4 inategemeana na kampuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom