nimenunua laptop kupitia ebay nataka kuituma ije tanzania, nimewahi kununua vitu vidogovidogo, simu, vitabu, cd na shirts, vingine vilifika vingine viliibwa na posta lakini havikua vitu vya thamani kubwa, sasa naogopa kutumia njia hii ya posta kwa sababu haina uhakika sana, nisaidieni wadau NJIA*GANI SALAMA YA KUTUMA LAPTOP KUTOKA NJE, MAREKANI?