Njia salama ya kutuma laptop kutoka nje

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
nimenunua laptop kupitia ebay nataka kuituma ije tanzania, nimewahi kununua vitu vidogovidogo, simu, vitabu, cd na shirts, vingine vilifika vingine viliibwa na posta lakini havikua vitu vya thamani kubwa, sasa naogopa kutumia njia hii ya posta kwa sababu haina uhakika sana, nisaidieni wadau NJIA*GANI SALAMA YA KUTUMA LAPTOP KUTOKA NJE, MAREKANI?
 
DHL ni njia njema na salama kwa ni uko maeneo gani?
 
Tumia dhl itafika salama salimini.nami nimewahi nunua laptop toka u.s.a na ilifika .achana na hao wanakuambia eti bei we si unataka ifike salama? Kama unataka waichakachue kwa iar haya tafuta njia ya bei powaaaaa
 
Njia ya EMS registered parcel ni salama zaidi ingawa ni ghali. Kwa laptop inagharimu US$75 na inafika baada ya wiki moja. Inakuwa imefungwa kwenye bahasha maalum na inakwenda kwa dispatch hivyo haina nafasi ya kuchakachuliwa.
 
jamaa aloniuzia amenambia gharama ni USD 55 kwa kutumia USPS, to my understanding hiyo inamaanisha kuituma katika POBox ambako nitachakachuliwa, kama EMS na ni USD75 nitafanya hivyo, nimemuuliza jamaa angu ananambia dhl inaweza kuwa USD 130 to USD 150
 
usps kwa bei hio ya usd 55 itakuwa ni express mail na mwambie akate insurance sio bei mbaya inafika bila wasi wasi.mwambie aandike namba yako ya simu pia ikifika tu dar utapigiwa simu ukachukue na asisahau kuandika vitu vyote anavyotuma kwenye karatasi ya insurance.insurance ina cost kama dollar 5 ambayo inalipa mpaka dollar 500 unaweza kuongeza kutokana na gharama ya laptop yako.
 
very useful info, siku ikifika nitakuja kukushukuruni wadau, naamini wakati huo nitakua na-enjoy jamiifroums kutoka katka computer na sio kupitia simu kama sasa
 
usps ndio hiyo hiyo ems. lakini inategemea na uzito. mimi naletewa laptops kupitia hao usps na ikifika napigiwa sim na ems. ems ni wazuri sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom