Za mayai ya kiswahili [emoji23]Kweli huyo jini hana madhara anakula chapati za maji
waulize hao waliotaka niwafundishe njia za kuonana na majini wemaKwa hiyo nikishaonana na huyo jini natakiwa kuongea nae nn ndugu mwandishi![emoji23][emoji23]
ni kweliHata makanisani uatonana na Mjini, Hapa London katika Majumba haya ya kizamani ni majini kwenda Mbele.
jini ana umbo lake lakini amepewa uwezo wa kujigeuza kitu au mnyama au mtuAna umbo gani?
Na ww ulizijulia wapi hizi njia?waulize hao waliotaka niwafundishe njia za kuonana na majini wema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi nikimbebea na kikombe kimoja cha maziwa fresh ili chapati isimkabe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo Kibaka ndie Jini mwenyewe sasa,
Hakukwambia umekabwa na Jini Msela!!!? [emoji23][emoji23][emoji23]
huu utani mwingineMkuu Vp Nikimuwekea Na Juisi Ya Ukwaju Pembeni?, Maana Asije Kukabwa Na Chapati Akaanza Kunitolea Mimacho Yake.