Njia Salama ya kuonana na Majini

Hizbu Sharifu

JF-Expert Member
Jan 27, 2021
449
882
Leo Nataka kueleza njia salama ya kuonana na jini baada ya maombi mengi ya wadau kuomba niwaelekeze njia za kuonana na majini salama na kuweza kuwasiliana nao

Kwanza nielekeze sehemu ambayo utaenda kuonana na jini na muda wake
Sehemu ambayo utaweza kuonana na majini ambao hawana madhara ni katika misikiti ya zamani sana
Kuanzia saa saba usiku mpaka saa 9 usiku ndio muda mabao utaweza kuonana na majini ambao hawana madhara kwa muda huo

ukifika katika eneo la msikiti utaingia ndani na ufumbe macho yako huku ukikaa mkao kama u akula chakula ukielekea kibla na mkononi ukiwa umeshika sahani na chapati ambayo nitakueleza namna ya kuitengeneza

Jinsi ya kutengeneza chapati ya Jinni
Mayai mawili ya kuku wa kiswahili
Unga wa ngano kikombe kimoja
Maziwa robo kikombe
Kijiko kimoja cha sukari nyeupe
vijiko vinne vya baking powder
Nusu kijiko cha chumvi
robo kijiko siki, (vinegar)

Changanya vitu hivi na utengeneze chapi kama inavyopikwa chapati za maji kisha weka kwenye sinia ya bati na unyunyize asali kwa juu kisba uelekee msimitini na hakikisha msikiti upo kiza, sio lazima kuingia msikitini ndani kabisa kama huwezi kupata nafasi ya kuingia ila uwekatika maeneo ya msikiti na ufumbe macho,
kitakachokutomea kiwe siri yako na mambo yenu majini hawapendi kuvujisha siri ya mambo yenu

Asanteni
 
Mmhh mbona huyo Nini anampenda misosi mizuri?
 
Vipi nikimbebea na kikombe kimoja cha maziwa fresh ili chapati isimkabe?

Chapati za maji n asali achautan sijala n mwaka ss nimuandalie jin kwl naomba njia nyingine sio hii
JamiiForums-1347950702.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom