Njia Salama ya kuonana na Majini

Njia Salama ya kuonana na Majini

Jinsi ya kutengeneza chapati ya Jinni
Mayai mawili ya kuku wa kiswahili
Unga wa ngano kikombe kimoja
Maziwa robo kikombe
Kijiko kimoja cha sukari nyeupe
vijiko vinne vya baking powder
Nusu kijiko cha chumvi
robo kijiko siki, (vinegar)
ukishakula chapati iliyotengenezwa hivi utaishia kulala na wenye msikiti wakukute asubuhi.
 
Kwa nini Majini yanahusiana na dili ya Kiislamu, yaonekana kuna fungamano sehemu as we can see kutoka kwa mtoa hoja - mbona hajasema kutengeneza vitu hivyo kwenye na kuingia navyo kutipita lango kuu la kanisa ?
sababu ya uzoefu, pengine unaweza kukutana nao kanisani ila mimi uzoefu wangu nimekurana nao msikitini siwezi kuwawekea jambo ambalo sina ushahid nalo
 
Bora hii njia yako naiona ina usalama kwa mtumiaji tofauti na yule sheikh mwingine aliyesema nenda usiku njia panda utamke maneno fulani jini litakuja ambapo mwisho wa siku nilikuja kukabwa na kibaka
Hii njia salama na hawawezi kukudhuru sababu umeenda na zawadi na umeenda kwwnye sehemu ambayo wanafanya ibada
 
Hii njia salama na hawawezi kukudhuru sababu umeenda na zawadi na umeenda kwwnye sehemu ambayo wanafanya ibada
Wanafanya ibada kwenye misikiti yetu wanadamu? Kwani wao hawana misikiti huko ujinini? Ila nahisi majini wanatamani sana kuwa kama wanadamu ila basi tu hawana namna!! Wanatumia Koroani hii hii kwenye kuswali?
 
wajini wapo wa kila dini, wengine wanafata qur an wengine bibilia kama wanaadam
 
Back
Top Bottom