Njia Salama ya kuonana na Majini

Njia Salama ya kuonana na Majini

Leo Nataka kueleza njia salama ya kuonana na jini baada ya maombi mengi ya wadau kuomba niwaelekeze njia za kuonana na majini salama na kuweza kuwasiliana nao

Kwanza nielekeze sehemu ambayo utaenda kuonana na jini na muda wake
Sehemu ambayo utaweza kuonana na majini ambao hawana madhara ni katika misikiti ya zamani sana
Kuanzia saa saba usiku mpaka saa 9 usiku ndio muda mabao utaweza kuonana na majini ambao hawana madhara kwa muda huo

ukifika katika eneo la msikiti utaingia ndani na ufumbe macho yako huku ukikaa mkao kama u akula chakula ukielekea kibla na mkononi ukiwa umeshika sahani na chapati ambayo nitakueleza namna ya kuitengeneza

Jinsi ya kutengeneza chapati ya Jinni
Mayai mawili ya kuku wa kiswahili
Unga wa ngano kikombe kimoja
Maziwa robo kikombe
Kijiko kimoja cha sukari nyeupe
vijiko vinne vya baking powder
Nusu kijiko cha chumvi
robo kijiko siki, (vinegar)

Changanya vitu hivi na utengeneze chapi kama inavyopikwa chapati za maji kisha weka kwenye sinia ya bati na unyunyize asali kwa juu kisba uelekee msimitini na hakikisha msikiti upo kiza, sio lazima kuingia msikitini ndani kabisa kama huwezi kupata nafasi ya kuingia ila uwekatika maeneo ya msikiti na ufumbe macho,
kitakachokutomea kiwe siri yako na mambo yenu majini hawapendi kuvujisha siri ya mambo yenu

Asanteni

Picha tafadhali, walau ya chapati na msikiti wa kale ukiwa kiza!
 
Kwa nilivyo Soma numegundua kweli Majin yapo Ila apa tumepigwa na kitu kizito mdomoni
 
Hii njia salama na hawawezi kukudhuru sababu umeenda na zawadi na umeenda kwwnye sehemu ambayo wanafanya ibada
Kwa hiyo iyo chapati wanaila?

Akijitokeza kibopa yeyote akisema nipe chapati nitajuaje kuwa sio jini au ni mtu na njaa zake?
 
77c8e106e42692597b9708945f0348ac.gif
 
Hizi Imani saa nyingine zinatufanya wendawazimu.

Rafiki yangu mmoja mlokole alikuwa ananishawishi sana niende kanisani kwao. Siku nimekaa na laptop yake nikawa napitia gallery yake, nikakuta picha na video za watu wa kanisani kwao wanavyoomba na kulia na kupiga kelele. It was a very disturbing sight. Unawaza hawa Wana akili timamu?

Akafunga hilo folder lenye hizo video Ili nisiangalie, nikamuuliza kwanini? Akasema anajisikia vibaya ninavyoangalia watu anaowajua.

Me nikaona yeye mwenyewe deep inside anajua wanachofanya hakiko sawa basi tu kutaka kunisingizia mimi ninayewaagalia
 
Kwa graundi siyo Tanganyika siyo Zanzibar ushirikina umeshamiri level ya kustaajabisha . Sangoma wa Tanganyika na Zanzibar wanatengeza hela usiseme- dini, science common sense haina nafasi bara na visiwani.
 
Hata makanisani uatonana na Mjini, Hapa London katika Majumba haya ya kizamani ni majini kwenda Mbele.
 
Back
Top Bottom