Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,169
- 48,681
Utumwa ni kuwa chini ya mtu au kitu fulani kwa 100% .
Sasa utumwa wa kiroho mara nyingi hubase kwenye jambo moja mahsusi. Mtumwa wa kiroho anaweza kujua kuwa yuko kwenye kifungo au akahisi tu kuwa ana kifungo lakini asijue wapi hasa kagungwa .
Dalili za mtu aliyefungwa kiroho;
1. Kufanya kazi bila ujira muda mwingi kwa jina la kujitolea .
2. Kufanyishwa kazi bila malipo au malipo kidogo. Hii ni tofauti na hiyo number one. Hii mtu anaingia kwenye mkataba wa kumkandamiza au anakubali kuishi kwa kukandamizwa kwasababu haoni mahali pengine mbele.
3. Tabia chafu zile zisizodhibitika .
Mtu analewa kupitiliza , na pombe ikimtoka hajui hata aliyoyafanya kipindi amelewa.
4. Maisha yenye mipaka mingi.
Mtu hawezi kuvuka mipaka fulani.
Anapata pesa ikifika kiasi fulani inadrop anaanza upya.
Anasoma yuko katikati mdhamini anafilisika, anakufa au anagombana naye.
5. Mtu hawezi kupata msaada toshelevu. Watu wanaweza kumuahidi kumsomesha, kumpa mtaji, kumpa kazi n.k lakini baada ya muda mipango inavurugika.
6. Magonjwa ya mara kwa mara.
7. Uchumba kuvunjika bila sababu za msingi.
Kama uko na dalili hizo au zinazolingana na hizo fanya hivi leo usiku ujigungue. Maana nikianza kusema mje kanisani mtasema nataka sadaka zenu. Binafsi sipendi kula sadaka ya mtu.
Kabla hujajifungua lazima ujue kuwa kifungo au laana kilifanywa kwa kinywa. Na sheria ni ile ile NENO LINAFUTWA KWA NENO.
Lakini neno lisilo na mamlaka ni upepo mtupu, halina nguvu, useless. Kwahiyo usikurupuke tu kutamka maneno .
Mwenye mamlaka yote duniani na mbinguni ni Yesu. Wengine mamlaka zao ni za sehemu tu .
Na laana isiyo na sababu haimpigi mtu hivyo basi mpaka laana na kifungo kinakupata ni either wewe au wazazi wako kuna sehemu waliacha wazi, walimpa shetani nafasi.
Sema maneno haya mara 21 leo usiku mahali penye utulivu halafu kesho utaona matokeo, yawezekana usiku huohuo utaona matokeo.
" Baba katika jina la Yesu Kristo ninakuja mbele zako , ninaomba toba mbele zako. Nimekukosa Mimi, wazazi wangu wamekutenda dhambi ndio maana ninaomba rehema kwaajili yao.
"Baba ikiwa kifungo hiki kimenipata kwasababu ya dhambi zangu au kwasababu ya dhambi za wazazi wangu au uonevu tu wa mwovu shetani leo ninakifungua kifungo hiki, hakitakaa tena ndani yangu wala ndani ya uzao wangu" katika jina la Yesu.
Omba hivyo mara 21.
Utakuja kunishukuru.
Kwanini nimesema mara 21.
21 ni namba ya vita vya kiroho, Daniel alifunga siku 21. Mara nyingi kwenye Biblia 21 imetajwa kwenye issue za vita za kiroho.
Laana na umaskini vinapita kwa njia ya damu while utajiri na baraka vinapita kwa njia ya nafsi
Ndio maana dhambi za Adamu tulirithi lakini utajiri wa Suleiman hatukurithi wanadamu wote.
Shalom