kinundu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 2,029
- 2,129
Nashukuru mkuu kwa ushauriKijana kubali kuanzia chini, hy m5 unayohtaji ni kubwa syo ndogo , biashara anza na mtaji mdogo na ukubali kujitesa, subira na malengo, Anza na nguo kumi kwa vyovyote hazizidi lak tano, angalia faida na changamoto,mtaji utapanda tu