Njia rahisi ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara

Kijana kubali kuanzia chini, hy m5 unayohtaji ni kubwa syo ndogo , biashara anza na mtaji mdogo na ukubali kujitesa, subira na malengo, Anza na nguo kumi kwa vyovyote hazizidi lak tano, angalia faida na changamoto,mtaji utapanda tu
Nashukuru mkuu kwa ushauri
 
Rafiki yangu #KINUNDU# japo sijajua biashara unayofikiria kufanya naomba nijaribu kukupa mwanga kidogo kadri nami nitavoweza.Kwanza mkopo unaoomba ni mkubwa sana kwa mjasiriamli kama wewe ambaye hujabahatika kuwa na Mali isiohamishika kwani taasisi nyingi zinazojihusisha na mikopo Mara nyingi sana wanatumia kigezo cha Mali isiohamishika kwa mkopaji ama kwa mdhamini atakaekudhamini,pili ni vigumu kwa taasisi ya mkopo kutoa mkopo kwa mtu ambae hayuko ktk ringi ya biashara kumpatia mkopo ili ndo akaanze labda upate kwenye vikundi vya mtaani ambavyo navyo havina mtaji wa kutoa 5ml kwa muombaji mmoja BIASHARA NINI- ni Faida +hasara.Hata ukifanikwa kupata hicho kiasi bado itakuwa ni mtihani mkubwa kwako kwani marejesho yke si chini ya laki 5 kwa mwezi na muda huo ndo utakuwa bado unajifunza na ili uwe mfanyabiashara mzuri na mkubwa tegemea changamoto zaidi na hasara zaidi hapo ndo sehemu ambayo hukwamisha wengi na kuamua kukatisha safari kwani pindi wanataka kuingia uringoni walkuwa na mahesabu makubwa na Faida nene za kwenye makaratasi.Hivyo basi nakuomba kukushauri ingekuwa poa sana kama ungekuwa na kianzio ili hicho ulichonacho ndo ukifanye chambo baadae ya kuwa mzoefu na mjuvi ndo ungeanza process za mikopo ukiwa tayari unaelewa bzness ikoje mapungufu yke vikwazo na nini hasa kinakupungikia AHSANTE MKUU
Nashukuru kwa ushauri mzuri mkuu... Ntafuata kile nilicho jifunza
 
Kijana kubali kuanzia chini, hy m5 unayohtaji ni kubwa syo ndogo , biashara anza na mtaji mdogo na ukubali kujitesa, subira na malengo, Anza na nguo kumi kwa vyovyote hazizidi lak tano, angalia faida na changamoto,mtaji utapanda tu
Tatizo la baadhi ya Watu wanadhani mtaji mkubwa ndiyo kufanya biashara,mfanyabiashara unayeanza anatakiwa aanzie chini kwenda juu na siyo juu au katikati,akianzia chini ndiyo atajua biashara inalipa ama laah
 
Sawa mkuu mchango wako mzuri na lengo la huu uzi ni kujuzana na kufundishana nini tufanye
 
Kila siku nasema, mtaji haujawahi kuwa tatizo. Watu hawana mawazo madhubuti ya miradi inayotekelezeka. Ukija na mchanganuo wa wazo la biashara unayotaka kuifanya ikaeleweka, utapata wabia na wenye kutaka kuwekeza kwenye biashara yako.
 
Hv kuna wabia wanao weza wekeza kwenye biashara ndogo ndogo mkuu??
 
Wengi sana. Kazi yako ni kuwasomesha waielewe vizuri biashara unayotaka kuifanya na kuwahakikishia uwezo wako wa kuisimamia.
Wanaamini itakua na kuongezeka, haitabaki kuwa ndogo milele.
 
Unaweza nipa dodoso hao ni watu binafsi ama ni taasisi zinazo simamia hzo mambo... Na vp kukuibia idea kwasababu huna mtaji mkubwa bac wao wanakuzunguka
 
Vikundi kama vipi mkuu... Na vp hvyo vikundi mnapewa pasi kua na asset.... Na je! Kampuni gani itatoa hyo mikopo??
Mfano kwa vijana alioko mwanza... Mkijiunga kikundi mkatengeneza proposal au business plan nzuri mnaenda kwa mkuu wa mkoa anawasimamia mpaka mnapewa mkopo
 
Vp kwa watu WA mbeya ama mikoa mingine kama iringa na Njombe. Mana hyo mikoa nataka nifanye business
 
Yaani hapo Kijan wewe fanya kudeal na vitu vya gharama ndogo vyenye output kubwa, mfano kama kiasi kinachobaki ni sh50000 kila mwenzi weka malengo ya kilimo kama ifuatavyo ukianza mfano jully
Mwezi mmoja kodi shamba la kwanza na mwezi unaofuata kodi la pili
Baada ya hapo nunua mbolea na kulilima hilo shamba kwa miezi miwili utakuwa upo november
Hapo ww panda shamba lako na kununua mbegu
Mwenzi january fanya mahitaji mengine ya shamba
Mpka april utakuwa unawait mavuno
Unakuta etumia 50000 kwa miez hata sita ila sio kwa mkupuo ila unakuja kupata hata 1000000
Na kama kijana ukipata hio pesa lazima uwe na cha kufanya zaid next time mpka ufike 5000000 hata kama ni after three year
 
Sawa mkuu japo mimi silipwi huo mshahara na sina mtaji wowote wala asset
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom