Afrolink-Tz Consult Ltd
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 420
- 939
Ndiyo Mkuu. Kwa kutumia ujuzi na elimu niliyopata ndiyo nilianza. Na hata baadae tukaungana na wahitimu wenzangu kuunda kampuni, mtaji wetu mkubwa ukiwa ni elimu tuliyopata badala ya kusubiri kuajiriwa tukajiajiri wenyewe. Na ss tumeajiri. Mtaji wa kusajili kampuni unaanzia 20,000/= usiogope kaka kutumia taaluma yako kujiajiri.Je wewe uliwahi kupata mtaji kwa njia hizo ?? kuzungumza ni rahisi sana