RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 3,590
- 8,476
Mjasiliamali niyule mwenye uwezo wakutafuta mtaji au kuanza na kidogo kilichopo hata kama ni sh 100 ,kama huna sifa hiyo basi wewe ujasiliamali huuwezi.
Mimi binafsi kipindi naanza ujasiliamali nilianza na laki tatu na elfu 37.Lakini sio lazima na wewe uanze na hiyohiyo,jitahidi kuanza na kidogo ulichonacho.Mtu(watu) watakapokuona umepiga hatua ndipo watakapokuja kwako nakukuongezea mtaji either mshirikiane au uwaelekeze namna gani wafanye.