Ngonepi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 1,872
- 1,200
@wote mliosema hii kitu inawezekana na ni rahisi, naombeni mnikopeshe tsh 500,000 each nifanye biashara na hapo hapo nichunguze kwa kuanzia humu kama hili jambo linawezekana au lah.
Msipende kupinga kila jambo, Mwandishi ameandika kuwa fuata watu unaofahamiana nao!!
Unaposema wote tunaokubaliana na mada hii tukuchangie tsh laki5 unafahamiana na sisi? Tunajua tukiihitaji tukupate vp? Usikae kupinga lolote hata kama hujalielewa!!!