CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,762
- 8,834
Inawezekana Kufanya baadhi ya biashara paipo kuwa na mtaji, ila ni kwa biashara chache sana na hasa za service mfano consultance ambapo unaweza tembea mtaani na kutafuta wateja na kaunza kuwapa shule hapo hapo, Ingawa hata hizi still lazima uwe na hata pesa ya nauli ingawa bado unawe hata tembea kwa miguu,
Ila hutokea watu kuanza biashara bila mtaji lakini unakuta wana sound business Aidea ambayo unaweza uza wazo na kupata watu wa kushare nao katika biashara hiyo,
Ila kama mjasirimali ni jukumu lako kutafuta na kuumiza kichwa jinsi ya kupata mtaji wa kuanzia biashara, Sifa moja wapo ya kuwa Mjasirimali ni Pamoja na kuwa na uwezo wa kuendeleza wazo lako kwa namna yoyote ile