CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,917
Hapa mtatofautiana sana, but pa kuanzia ni hapa: What's capital?
Mkuu umeniacha kidogo, Naomba ebu nifafanulie what u mean intellectual capita?It is impossible to start a business without a capital. Lazima utumie Capital. could be your intellectual capital
It is impossible to start a business without a capital. Lazima utumie Capital. could be your intellectual capital
It is impossible to start a business without a capital. Lazima utumie Capital. could be your intellectual capital
Mkuu umeniacha kidogo, Naomba ebu nifafanulie what u mean intellectual capita?
Is that to say Chasha na sun wu mnaungana na John Mashaka ktk hili in blue? Je, is there intellectual capital?
Collective knowledge (whether or not documented) of the individuals in an organization or society. This knowledge can be used to produce wealth, multiply output of physical assets, gain competitive advantage, and/or to enhance value of other types of capital. Intellectual capital is now beginning to be classified as a true capital cost because (1) investment in (and replacement of) people tantamounts to investment in machines and plants, and (2) expenses incurred in education and training (to maintain the shelf life of intellectual assets) are equivalent to depreciation costs of physical assets. Intellectual capital includes customer capital, human capital, intellectual property, and structural capital.
Read more: What is intellectual capital? definition and meaning
Intellectual capital :-
Inategemea tunaongelea nini sababu mtu anaweza aka-argue kwamba hata nguvu nazo ni mtaji ukizingatia wengine wanazo hizo nguvu wengine hawana, au talent pia ni mtaji as tukiongelea Messi kwamba mtaji wake ni talent yake, kwahio akianza kuuza signatures zake hapo anachouza ni brand yake (ule U-Messi wake), lakini as I said hapo juu kuna kitu kinaitwa bootstrap financing ingawa hata hapo technically kuna capital inatumika
Nilikuwa nakusanya mawazo ili kuweza kufikia conclusion ya mada husika. So, haiwezekani kutengeneza mtaji pasipo mtaji, i.e. lazima kuwe na mtaji mmoja ili kupata mtaji mwingine.
kuna kitu wanaitaga starting capital without capital, yaan unatengeneza mtaji pasipo mtaji, natamani kupata mtu wa kunielimisha kuhusu hili, niliwah kuhudhuria semina moja ya wajasiramali walikua wanalizungumzia jinsi ya kutengeneza mtaji pasipo kuhitajika kuwa hata na shilingi., sasa nlikua nimechelewa kidogo hata vipeperush hawakua navyo na kila nliemuomba anielekeze alisema hajaelewa... mpaka leo bado linaniumiza kichwa sana wadau, naomba mwenye uelewa na hili anisaidie jamani,.,Ntashukuru sana maana natamani kushare hili na vijana wenzangu lakini sina uelewa wa kutosha kuhusu hili suala.Ahsanteni
Labda nikupe mfano fulani ambao ulinisaidia nilipokuwa chuoni udsm. kuna wanafunzi walihitaji computer lakini hawakuwa hasa wanajua aina, sifa na ubora. mimi nilikuwa na uelewa kiiasi kwani wakati wa kununua niliikagua kwanza kila kitu muhimu. basi niliwasimulia wanafunzi wenzangu habari za komputa na umuhimu wa kuelewa aina ya komputa unayoitaka. pia niliyajua maduka karibu yote ya computer hapa dar na namna ya be zao n.k. wanafunzi wachache walinielewa na kuniamini hivyo walinituma kuwanunulia na mara nyingi tulienda wote. kwa vile wenye biashara zao walinijua na kuniamini basi walinipunguzia sana bei. baada ya muda nikajikuta nawapeleka wanachuo wengi tu kununua computer. niliwaomba wanilipe kiasi kidogo kwa kuwapeleka, kubageini bei na ushauri. basi hadi nalipomaliza chou hela yangu ya matumizi ilitokana na biashara hii. tena nilikuwa mwaminifu sana. na huu ni msngi muhimu kwa biashara kama hii. sikuwa na mtaji wa fedha lakini nilifanya biashara. nilikuwa na mtaji wa maarifa lakini.
kuna kitu wanaitaga starting capital without capital, yaan unatengeneza mtaji pasipo mtaji, natamani kupata mtu wa kunielimisha kuhusu hili, niliwah kuhudhuria semina moja ya wajasiramali walikua wanalizungumzia jinsi ya kutengeneza mtaji pasipo kuhitajika kuwa hata na shilingi., sasa nlikua nimechelewa kidogo hata vipeperush hawakua navyo na kila nliemuomba anielekeze alisema hajaelewa... mpaka leo bado linaniumiza kichwa sana wadau, naomba mwenye uelewa na hili anisaidie jamani,.,Ntashukuru sana maana natamani kushare hili na vijana wenzangu lakini sina uelewa wa kutosha kuhusu hili suala.Ahsanteni
Hayo ni maneno tu, hicho kitu hakipo under the world of business!!!!
(HII NDIO BUSINESS: C=A+L; C-capital, A-asset, L-liability full stop)
Yaani hakuna capital bila asset, lakn inaweza kuwepo bila liability; na wewe tayari ni asset; kwa hio wanachofanya ni hv: C=A, yaani hakuna liability, ila asset ipo ambayo ni wewe; kwa hapo ndio utasikia mtu anasema unaweza kuanzisha biashara bila ya kuwa na capital, but the fact is haiwezekani under the sun of business!!!!
Hata hivyo when you mention capital, you may mean this among other things
1. financial capital
2. human capital
kwa kutaja chache tu!
Financial capital----- ndio kusema mtaji pesa
human capital-------ndio kusema mtaji binadamu hapa nalenga zaidi knowledge yake, yaani wewe mwenyewe, na lazima wewe biashara ikuthaminishe kipesa kama tupo kwenye biashara context!! hapa ndipo sarakasi inapoanza yaani unakuwa asset badala ya kuwa capital!!
Hata hivyo nasikia in the books of accounts wanarecord kitu kama copyright, goodwill, intellectula property, nk km asset na wala sio capital, ila vitabu vya accounts visikudanganye maana ukiangalia first treament ya capital kwenye kuanzisha biashara inakuwa hv(kwa kumbukumbu zangu za form two)
Dr-CASH/BANK
Cr-Capital, which means capital lazima iwe ni hela kwa huo muktadha!!
Kwa mantiki hio sio kweli kuwa biashara yaweza kuanza bila capital ila tu capital inapokuwa sawasawa na asset, ambayo asset ndio wewe na pia tunaamua kusema capital ni pesa tu bhaaas!!
Ahsante sana!!
labda ya mission town utapeli,lazima utumie mtaji ata kama ni biashara ndogo