miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Uku kutamu hivi
ndiyo.....
Uku kutamu hivi
hahahha leo ndo umelijua shombo... basi naomba game la mwisho nikomeshee
Jay Dee is the worst loser I have ever seen (or heard) - that is if there is such a thing as "worst loser "Unatumia Lady Jei Dii style
Kuachwa ni kuachwa tu na maumivu hayatofautiani sn sema kuwekana wazi sababu za kuachana ni nzuri mn wawezajifunza ucrudie da same mistake hk uendako
Mkuu ni kweli usemayo ila kutojiingiza katika mahusiano ni suala lingine
Nikweli msemacho wakuu.. nimesha edit post hapo juu!!LORDVILLE
Mkuu you said it all. Ila suala la kutoingia katika mahusiano ni gumu sana. Vile vile kumbuka kuna wengine hawaachwi bali wanaamua kuacha wenyewe either kwa kuona mahusiano hayana muafaka ama kwa kuchoshwa na vituko vya wapenzi wao.
Mkuu kumbuka hapo mmoja ndio kaamua kumuacha mwenziwe baada ya kumuona haeleweki na yeye aliyeacha unakuta ni innocent kabisa ktk mahusiano.
Case kama hiyo ni ngumu sana mkuu
Leo unataka mwacha belive me ataumia tena sana, na wewe kwa sasa hutajali, utaondoka utamwacha anaumia huku ukijifariji umemwacha, one day utahitaji kurudi kwake (according to my experience it might happen) unadhani kitatokea nini?? kuliko kumuumiza kwanini msiongee yakaisha? Nnavyoona njia sahihi ya kukatisha mahusiano bila kuumiza mtu ni kutojiingiza katika mahusiano na mtu ambaye huna feelings/future nae!!
Yaani tena hii ndo inauma kam jipu!
hahahha huyo demu kauzu... sa jamaa papuchi aitolee wap tena aweke kwenye gazeti!!!! inabidi kuwa mpole tu nshakula hasara hapo
mpe live mi sikutaki basi
hii wanaume hawaiwezi kusema live situtaki? never coz anajua atarudi pasha na hawafutagi no.
ila kwa upande wetu tuna ubavu wa kusema direct.
kwangu mie kama simpendi uwa namwambia " nipe baba yako"
Hahahahahahahaahahah! dah hapo penye rangi ya Valentine day, umenichekesha sana.RICARDO KAKA
Yaani sio utani wanaume wengine dakika 5 mbele, ilinitokea hiyo mimi, yaani yeye alikuwa na mchepuko sasa mimi nilipogundua akaona kama namghasi fulani. tukaanza kukatiana mawasiliano taratibu mwishowe kila mtu akashika lake,"bahati nzuri kuna siku alikutana na mwenye nyumba wangu, mwenye nyumba akamuuliza mbona siku hizi huji?
Akasema kwa kinywa chake ameachana na mimi na anataka kuoa kwao" baada ya miezi minne akasikia mimi nina mtu, Aisee mwanaume alikuja kasi, shati mkononi eti kaja kunifumania, yaani kama sio busara za mwenye nyumba wangu hata sijui ingekuwaje, kutoka hapo kwakweli mtu namwambia kabisa tena kwa amani tu, kila mtu ashike lake tubaki tunaheshimiana tu.
Hahahahahahahaahahah! dah hapo penye rangi ya Valentine day, umenichekesha sana.
Dah! Baba mwenye nyumba kamuuliza mbona siku hizi huji? Dah naye baba mwenye nyumba Mnaa kweli yaani, najua alitaka kuuliza mbona siku hizi huji kuua? Dah aisee nimecheka sana leo dah!
Lakini jamaa hana makosa si unakumbuka kale kamsemo ka babu zetu "HAWALA HATONGOZWI"We nawe unamambo.
Mwenye nyumba alimuuliza sababu walikuwa wamezoeana akaona hamuoni.
Kibaya zaidi alikuja kuniharibia yaani mapemaa, kauhusiano bado kabichi kabisa akampeperusha ndege wangu.
Kiukweli yule mtu kanisurubu sana, yaani zaidi ya miaka 3 mwendo wakukimbizana hadi nikaamua kuwa mpole na kukubaliana naye.
Mpe live mi sikutaki basi
Mpe live mi sikutaki basi