Njia rahisi ya kukatisha mahusiano

Njia rahisi ya kukatisha mahusiano

uzi mzuri sana mkuu. Kweli kuna mda unaona kabisa uhusiano umefikia pasipowezekana tena kuendelea matokeo yake mnateseka tu kwa kushindwa kuachana. Mimi napenda sana kuvunja uhusiano bila kumsababishia maumivu makali ila sasa utekelezaji wake mgumu!

Ila mitama hapana. Hahahahahahaa

Mkuu yaani najaribu kuangalia njia muafaka hapo nakosa kabisa, unajua muda mwingine kuna vitu vibaya ambavyo partner wako amekua akikufanyia tofauti na pale mwanzoni mwa mahusiano. Sasa unajaribu kutafuta njia ya kumuacha ambayo kwako haitakuuma sana ila utatamani na yeye apate maumivu na kujuta kuachwa. Tatizo linakuja hapo ipi njia sahihi!
 
Bora umpe mwenzako ukweli, there is no way utakosa kuonekana mbaya au kutosababisha maumivu hususani kama kulikua na honesty feelings.Kama una kifua mawasiliano na mtu unayemwacha imawezekana ila ni ngumu sana ma wala haina ulazima.

Mkuu ni ngumu sana kama unampenda kweli partner wako na unataka kuachana nae kwa kuzishindwa tabia zake tu
 
Kama mtu humpendi ni rahisi sana ila kama unampenda ni kazi nzito aiseeee
 
Bwana eh, sijui alikuwa anawazaga nini huyu kichwani mwake... tena sio kwamba anampa mtama tu anamwachia, ni kwamba anamfukuza hata meta 200 na ushee na humo mwote anapita kula mitama!!! Demu anakula mtama hadi chini, anainuka, anakimbia, jamaa anamfukuza, akimkuta, mtama hadi chini; demu anainuka, anatoka nduki, jamaa anae....

hahahahaaa.. hii kali
 
May be you dont know what you just wrote (especially its side effects) Mkuu kwa sasa utaona huyo uliyenae si chochote lakini kuna kasheria kanasema "what goes around comes back around" labda kama ushakaskiaga maishani mwako!!! Leo unaona hafai je huko mbeleni au kwa huyo mwingine unayeona anafaa unadhani akikupiga chini itakuaje? na je kwanini unataka kuwa source of pain/anguish kwa mwenzio? do u know how much amejitoa kwako? then all over a sudden you want it to end!

Leo unataka mwacha belive me ataumia tena sana, na wewe kwa sasa hutajali, utaondoka utamwacha anaumia huku ukijifariji umemwacha, one day utahitaji kurudi kwake (according to my experience it might happen) unadhani kitatokea nini?? kuliko kumuumiza kwanini msiongee yakaisha? Nnavyoona njia sahihi ya kukatisha mahusiano bila kuumiza mtu ni kutojiingiza katika mahusiano na mtu ambaye huna feelings/future nae!!
 
eenh rudisha vitu vyangu.... unajua gharama zake au ulikua unaagiza tu!!!

Kuna mmoja alivyodai vitu vyake kama hivyo,bidada ilibidi amuulize kama amekuja na papuchi alokuwa anaitumia kama hajaja nayo akailete tena aifunge kwenye gazeti wapeana mkono kwa mkono.
 
LORDVILLE

Mkuu ni kweli usemayo ila kutojiingiza katika mahusiano ni suala lingine
 
Last edited by a moderator:
bora kimya kimya ...niljaribu kuongea kistaarabu and we ended up having sex after kumbembeleza.it was the best sex(make up sex)
Another incident I got slapped

kwaiyo badala ya kumuacha ukaishia kumpa mgegedo mtamu eh?mkuu u made up ma night!
 
LORDVILLE

You said it all mate!break-up is one of the huge gamble to make!!if she/he was a disaster to you then you are better of,otherwise it gonna came back to haunt you!!WE ONLY LIVE ONCE,TRY NOT TO HURT ANYONE!
 
Last edited by a moderator:
NaswahibA wangu m1 alikuwa na mpenzI wake bt dini tofaut,i na jamaa akaamuA amuache huyo mdadA ,jamaa alichofanya ni kwamba alimwambia anatakA amuoe tena mdada abadili dini na awe ya huyo jamaa.

Matokeo yake mdada baada ya kwendA kuombA ushaurI kwA wazazI na ndugU wakapngA hlo swalA kwa nguvU zote.bas baadaE akaamuA amuachE yulE mdadA nA ndo ukawA mwishO wA uhusianO wao na jamaA akatafutA pinI mpyA anadundA nayo.
 
Kwa wanawake bora kumwambia mtu macho meupe kuliko habari ya kimya kimya, kuna wanaume akili zao sio nzuri, mtu utajua mmeachana baada ya muda utasema unaanzisha mahusiano mapya, siku utashangaa mtu alikoibukia hujia anasema kakufumania. kuambiana ni bora kwa kweli
hahahahahahahahah
nimependa hapo
 
kuna mmoja alivyodai vitu vyake kama hivyo... bidada ilibidi amuulize kama amekuja na papuchi alokuwa anaitumia kama hajaja nayo akailete tena aifunge kwenye gazeti wapeana mkono kwa mkono

hahahha huyo demu kauzu... sa jamaa papuchi aitolee wap tena aweke kwenye gazeti!!!! inabidi kuwa mpole tu nshakula hasara hapo
 
Back
Top Bottom