Dah jibu la kitoto sana mbona
Kwani kuku mlipeana kwa mkataba gani??Unataka kesi ya mauaji bila kukusudia.... unitaki wakati kuku zangu umekula
Lakini jamaa hana makosa si unakumbuka kale kamsemo ka babu zetu "HAWALA HATONGOZWI"
Na kuna ile ya wazungu " IT IS NOT OVER UNTIL IT IS OVER" Yaani yeye ataacha mpaka pale itokee kama ilivyotokea kwa Komba. Mpaka BWANA atwae ndo jamaa ataacha.
Ila na nyie akina dada mmezidi, wakati wa show unampa mtu manjonjo mpaka akienda kwa mwingine anakuta mmmmmmm, huyo mwingine ni mweupe kishenzi yaani kwenye show. Sasa wewe unafikiri ataacha kuja kwa Kasi na shati mkononi, mbaya zaidi akifanya imagination za show inavyokuwa tamu.
Kaka wewe ulivyonichekesha uliposema "Baba mwenye nyumba alimuuliza, mbona siku hizi huji?"Nimeishia kucheka tu, mweee!!!
Bwana eh, sijui alikuwa anawazaga nini huyu kichwani mwake... tena sio kwamba anampa mtama tu anamwachia, ni kwamba anamfukuza hata meta 200 na ushee na humo mwote anapita kula mitama!!! Demu anakula mtama hadi chini, anainuka, anakimbia, jamaa anamfukuza, akimkuta, mtama hadi chini; demu anainuka, anatoka nduki, jamaa anae....
Kimyakimya inaumiza sana kwa mtendewa
Habari zenu wadau wa jukwaa hili la MMU, bila shaka mu buheri wa afya na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku za kujenga familia na taifa kwa ujumla.
Lengo la huu uzi wangu ni kutaka kupata michango kutoka kwenu kuhusiana na njia mujarabu ya kukatisha mahusiano.
Najua kitu kikubwa kinachoumiza wapenzi wawili wanapoachana ni yale mazuri ya kukumbukwa wakati wakiwa pamoja. Hii haswa ni kwa ule upande mmoja ulioachwa with no guilty.
Au ulioamua kuacha baada ya mahusiano kubadilika ghafla.Sasa je njia ipi ni muafaka, ambayo haitaleta maumivu kwa pande zote mbili au hata upande mmoja. Je ni vema kukaa na kuelezana kwamba tumeshindwana so we have to break up au ni kuacha kimya kimya tu no texts no calls wala appointment.
Ipi njia muafaka wadau
Kaka wewe ulivyonichekesha uliposema "Baba mwenye nyumba alimuuliza, mbona siku hizi huji?"
Kiukweli Baba mwenye nyumba alitumia fumbo lakini kama angeamua kufunguka angesema
"Mbona siku hizi huji kuua?"
Samahani nilikosea hapo. Dah badala ya kuangalia vitufe vya computa, mawazo yote namna show aliyokuwa anapewa jamaa. mpaka akaja mbio shati mkononi! Dah, sijajua u kabila gani!hapo kwenye red Kaka mchezaji wa Brazil????????????????
Wenye nyumba wengine wanoko we acha tu, but namshukuru ndio aliomtuliza munkari bwana kaka kwa kumwambia, mwanamke ukimwacha nyuma hatua mbili jua kuna wengine wataongozana nae sambamba, kwa kua hujamzaa mwache bint wa watu. hahahaa haaa