Hata kama hakupanga kuwa na mtoto lakini ikitokea asimkatae. Alee mimba na hatimaye mtoto na pia asome kama mimba yake inamletea matatizo. kama haimletei matatizo apige mahesabu anaweza kujifungua kipindi gani...kama anaweza kuangukia kipindi cha likizo hamna sababu ya ku-pospond masomo. Ila ajiandae kisaikolojia kuendana na hali aliyonayo na anayoitarajia.
Huyo mwanaume atakuja tu baadaye pamoja na kwamba kwa sasa anakwepa majukumu. Itakuwa aibu lakini haitadumu kwa muda mrefu maana we si wa kwanza jambo hilo kukutokea.
Tafadhali Prettinho mfikishie ujumbe huu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.