Njia panda

Njia panda

Prettinho

Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
48
Reaction score
2
Jamanery naombeni ushauri,,, nimsaidie huyu rafiki yangu,,,,, ni mjamzito na yuko chuo mwaka wa kwanza,,,,, mwanzni alitaka kuitoa,, mwenza wake akakataa,,,, yeye sababu nzake ni anahôfia kwao na masomo pia,,,, bt mwenza wake alivyokataa alisema sawa kwasababu anajua madhara ya kutoa mimba,,,,, but hivi juzi mwenza wake kaja juu na kumsisitiza kuitoa eti hata akijitambulisha kwao aibu kwao aibu itakuwa palepale,,,, binti hataki amesoma madhara ya kutoa mimba ni mengi,,,, kuliko aibu anayotaka kuificha,,,, anasema kwao watamuelewa tu,,,, ishatokea,,,,, sa jamaa htaki kumuelewa na kamjibu itakuwa ya kwako,,,, afanyeje???
 
Alee mimba tu hamna jinsi, kama alivyosema awaeleze pia wa nyumbani kwao,kama mimba inamsumbua vizur ahairishe mwaka kuliko kudisco.
 
Aiache tuu azae, siku zote mwanzo huwa mgumu na naamini ipo siku in future huyo mburula atakuja kudai damu yake. kutoa mimba ni mauaji na pia kuna madhara makubwa kiafya kwa kitendo hicho. Nashauri aendelee nayo tuu mpaka atakapojifungua na maisha yendelee. huyo jamaa hana mapenzi ya kweli na huyo dada, anafanya mauaji ya mtoto kwa kuogopa aibu kwa wanadamu, Mungu nae anamdanganyaje.........
 
haimsumbui na anasoma vizuri,,,,, me nimemshauri alee tu atakuja kujutia,,,, vizazi tbu siku hizi,,,,
 
alee mimba azae, hajaona waliolea na wakazaa na wanaish vzuri? Akienda kutoa akafa au akaharibu kizaz au madhara yoyote huyo sijui mchumba/mpenz/mchepuko nk. hatakuwa na hasara atatafta mwngne fresh aendelee na maisha. Mwambie alee mimba azae mwanae.
 
Aiache tuu azae, siku zote mwanzo huwa mgumu na naamini ipo siku in future huyo mburula atakuja kudai damu yake. kutoa mimba ni mauaji na pia kuna madhara makubwa kiafya kwa kitendo hicho. Nashauri aendelee nayo tuu mpaka atakapojifungua na maisha yendelee. huyo jamaa hana mapenzi ya kweli na huyo dada, anafanya mauaji ya mtoto kwa kuogopa aibu kwa wanadamu, Mungu nae anamdanganyaje.........

Asante kwa ushauri wako mzuri,,,,, nitamweleza hvyo,,,,,,
 
alee mimba azae, hajaona waliolea na wakazaa na wanaish vzuri? Akienda kutoa akafa au akaharibu kizaz au madhara yoyote huyo sijui mchumba/mpenz/mchepuko nk. hatakuwa na hasara atatafta mwngne fresh aendelee na maisha. Mwambie alee mimba azae mwanae.

Asante nashukuru kwa ushauri wako,,,,
 
Namkaribisha kwenye chama cha wamama tanzania namtabiria ajifungue salama mtu mzuri wa kike loooo salim apate mchumba loo
 
kuna haja ya kutoa elim kwa mabint kuhusu kubeba mimba naona single mother wanaongezeka kila siku........
 
Hahahahaha!Ulivokosa kwangu ukaona umuombee kwa kijacho.
 
Namkaribisha kwenye chama cha wamama tanzania namtabiria ajifungue salama mtu mzuri wa kike loooo salim apate mchumba loo

Hahahaha umejuaje anapenda bby gal,,,, anahisi atakuwa faraja yake,,,,,,,,
 
Akumbuke kuweka akiba na kununua mapema baadh ya vitu coz mtu akijfungua mahtaj yanakua meng. mungu amjalie baby gel inshallah!
 
kuna haja ya kutoa elim kwa mabint kuhusu kubeba mimba naona single mother wanaongezeka kila siku........
elimu inatolewa sana tu wengi wao usemaga ni baati mbaya asa mi cjajuaga kama nibaati mbaya au ni wasichana wengi kutokujua elimu ya siku zao za kuwa free kufanya mapenz bila ku2mia kinga na asiweze kupata mimba
 
Akumbuke kuweka akiba na kununua mapema baadh ya vitu coz mtu akijfungua mahtaj yanakua meng. mungu amjalie baby gel inshallah!

haswaaaaa wanawake tuongezeke kila la kher kwake
 
Back
Top Bottom