Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 105
Mbona wadau wa A-town huwataki?
Karibu sana A town! Jiji la kitalii Africa. Ukiwa mahali paitwapo picnic jaribu kusema umefika. Safari ya amani nakutakia
Matejoo disko malapa!mkuu tupo safari moja nasomeka himo hapa njiani arusha!
Mfike salama
Mbona wadau wa A-town huwataki?
bon voyage
Dah hao ndo wenyeji wangu ntawakataa vip tena"
Teh tehe inaonekana wewe ni mgeni mwenyeji mpaka Mrina ushakujua haaaaah!!!!
Karibu sana Arusha, kwa zaidi niPM nikupe ramani yote.
Oooh vyema siie tumeamsha Moshi
Nilipelekwa big L nimekosa ugali mshkaji kanipeleka Kenny Garden!dah!hii bar noma kuna mpaka maandazi halafu masufuria jikoni mengi sana!weather bab kubwa!...sifikirii kulala mwenyewe naogopa baridi!naambiwa kuna sungura tope pinpoint!nasubiri kupelekwa
owkaaay......
Mzee wa juve atown kunani?...za TBS wakupeleke boogaloo kama sijakosea, huko walipokutajia mizoga tu siyo mademu viwango!Vipi preta hapafai nini?..mimi napenda sehemu kama corner bar sinza,kwa macheni au masai kinondoni!naambiwa pinpoint au babylon hapo ni pumzi zangu tu!bar za nje hili baridi litaniumiza!kesho ntaomba nipelekwe mitako bar!