Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

Akuna hela ya rahisi bila kuhangaikia na vijana watnakaosubiri hzo njia bado kama ni wanaume hawana sifa za kiume nashauri wote kuolewa tu (wnwake na wnaume ) kwn mama kasemaje si anayetaka na afanye tusimlazmishe mtu tuh
Hela ya rahisi ni ile tu wanayoongwa wnawake na mabwana zao kama na ww unaitaka mwnaume unajua na ww chakufnya tafuta na ww wa kwako weng skuhiz wnaakula hzo mamb
 
Vijana mnaosubiri mbinu ni kwamba hazipo
Zipo mkuu ndo kwanza naanza kila mmoja atapata tusiwe na haraka mkuu
Hakuna njia rahisi ya kupata hela tusidanganyane. Lazima uumize kwichwa au mwili ili uweze kupata hela.

Labda ujiunge ccm ule teuzi ndio njia nyepesi ya kula cake ya taifa.
Mkuu wangu naomba ujue kuwa msiishi kwa kukalili sasa zama zimebadilika mkuu
 
Asanteni sana ndgu zangu kwa kuwa na utulivu japo wengi wamekua wana nidhihaki wakizani nipo hapa kutania..

Kwanz kabla sijaanza naomba weka mbali swala lako la imani kuhusu dini ili tuendelee huku mbele sitaki kuulizwa kama utaona dhambi kaa kimya waaache wenye uhitaji.

Pili kuna watu wanasoma id na kuanza kudhihaki wakuu hiyo ni id tuu mtu anapokuja kutoa fursa wee ka kwa kutulia unaweza ukajikuta una saidika hapa bila kuelewa imekuaje kuaje..

Ushawahai jiuliza hawa watu mtaani wanafanya nini mpaka wanamiliki pesa ambazo wewe unahangaika lakini wapi unaishia kuwa wa kawaidda tuu..

Naomba nikusanue kuwa pesa zina channel zake..
Pesa ni kama madini ukipata mkanda tuu wewe kazi yako ni kufatilia tuu mpaka itakapofikia...
Pesa zina roho (pesa inapumua) pesa kama unaichukulia poa na wewe itakuchukulia poa..

Kabla sijafika mbali hakikisha una kadi ya benki kama kijana ambaye unataka mafanikio na hii kadi ya benki itakusaidia hapo mbele...

Nakuja kuanza darasa...
 
Poor Brain anakaa jangwani ghetto la elf 15 mvua ikinyesha ni swimming pool ndani yenye mixer na maji ya chemba kama zote alafu anafundisha utajiri wa bwerere

Hio typing ya 'takuambia' 'tatoa' 'tafundisha' ndo slang mpya za mjini au we wa pili sasa naona humu
 
Mkuu mimi kaa kwa kutulia nazani leo inaweza kuwa siku ambayo utapata madini ambayo hutokaa ukasau your all life
 
Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho...

Hutaki kazi ngumu na kazi huna....

Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki..

Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood..

Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu ambazo zitafanya wewe kijana upate pesa ukiwa zako umekaa ...

Siku hizi pesa hawatafuti bali wanatega tuu just use brain vizuri kijana....

Kama kuna swali nakaribisha
Nilijua tu hakuna kitu kama hiki😂😂
 
Hard work does not necessarily pay ukitaka kupata pesa wewe fanya / toa / tekeleza jambo ambalo mtu / watu wenye pesa kwa wakati huo wanaweza wakabadilisha hayo makaratasi yao na hicho kitu (iwe ni bidhaa, service, utapeli au chochote kile) na kama hawawezi kukupa hizo pesa unaweza ukazichukua be it ulaghai au wizi...
 
Mkuu nadhani ww na mimi tumesoma wote chuo kileeee
 
Back
Top Bottom