jasho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Tuweni tu wawazi wakuu, hawa wanaojiita maboss ladies hapa wengi hawajifikia hapo jasho na damu bali ugwadu na utamu

    Haiwezekani mtu avuke step za matambo kiasi hicho leo amepangishiwa na bwana magomeni baada ya miaka mitatu anawauzia viwalo toka dubai na ana range rover yenye jina lake. Kitu nimegundua mdada akishaziliwa ngozi nyororo, makebo makubwa, umbo nane, aposti picha za kutega mitandaoni na awe na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jengo la RITA Tower lina ghorofa 26, linatumia lift 1 tena ya kizamani, ukiingia unatoka umeloa jasho

    Jengo la RITA Tower lililoko Posta Dar es Salaam, naona wameamua kulisahau mpaka siku maafa yatokee ili waunde tume. Jengo lile lina ghorofa 26, mnaweza kuelewa limebeba watu wengi kiasi gani lakini cha kusikitisha ni kwa lift za jengo lile ni nne (zilianza kufa kuharibika moja baada ya...
  3. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutafuta pesa kwa jasho na damu

    Linapokuja suala la pesa unatakiwa uweke mambo mengine pembeni, HURUMA,DINI,HOFU leo nmemfunza kitu huyu bodaboda. Nilikua nataka nyama ya nguruwe kwa ajili ya kulia na pilau ya pasaka, nikamcall bodaboda akanifuatie nyama akadai yeye muislamu habebi kitimoto, nikamwambia sawa. Alivyokata...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jasho (Shairi na ombolezo)

    Utangulizi: Maandishi haya yanawajia ndugu zangu baada ya matukio kadhaa yaliyojiri katika nchi yetu. Mwandishi ameona ikiwa ni vyema tukapata mda wa kukaa na kutafakari japo kwa njia hii ya fasihi haya yaliyojiri na pia kuhakikisha kuwa yaliyotokea yasisahaulike au kubezwa bali yawe funzo na...
  5. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Machozi jasho na damu by prof Jay

    Ukisikiliza mashairi ya wimbo huu ulioimbwa miaka 24 iliyopita utasema kauandika jana maana aliyotasema yote ndio yanatokea sasa nawaza kipindi kile prof Jay hakuitwa mhaini na wimbo ulipigwa bila shida je ingekuwa leo hii ingekuwaje Ebu pitia you tube usikilize
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CCM na Dola, Ndoa yao ilifungwa Mwaka 1961, Maisha waloyaishi na kuyaishi Sasa, Kila Mmoja ni lazima ambebe mwenzake Kwa Jasho na Damu hata Kufa

    Ukisikia Kuna Ufisadi wa Mabilioni Kadhaaa , sio CCM tu wanaogawana, ingekua hivo Wangeshakua wameondolewa madarakani Kitambo sanaaa !! DOLA isingeweza vumilia hayo !!. Kuna wanaCCM kupitia serikalini Kwa waloyafanya Nchi hii, hata wao wakikaa wanaiona Hatia. Kuna Watu wa DOLANI Kwa...
  7. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

    Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho... Hutaki kazi ngumu na kazi huna.... Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki.. Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood.. Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Video interview: Huyu ndiye Tundu Lissu wa machozi, damu na jasho na misimamo ya haki

    https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD In brief: ➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward... ➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma tuliweza kugombea na kushinda kwa sababu ingalau kulikuwa na competition japo mazingira yalikuwa...
  9. Strong25

    JamiiForums Tanzania 2025 mwaka wa jasho na damu

    2024 ulikuwa nimwaka mgumu sana kwangu, sijui wapi nilifeli maana kama ni kupambana nimepambana sana ila sijaona hatua nilizopiga zaidi yamaumivu tu. Mwaka huu kama Mungu atanipa pumzi na afya njema basi nitahakikisha napambana mpaka tone la mwisho la jasho na damu Kabla sijaharibu uzi kwa...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 nawakumbusha shetani na mali zake anaaibisha, anaumiza, anatesa. Vijana tuendelee kuyatafuta maisha kwa jasho halali

    Hakuna vijana wanaopitia Magumu kama Hawa wa Dar , Vijana wa Dar wanataka mafanikio ya haraka sana, wanaumizwa wanapoona watu waliwafaham miezi michache nyuma wakiwa hawana kitu, sasa wanawaona Mitandaoni wakiwa wenye Mali, Magari mazuri, majumba mazuri. Itakufaa nini kua Utajiri wa haraka...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mzazi anakua tegemezi Kwa mtoto ambaye amejitafuta Kwa jasho lake bila kumrithisha hata mbuzi mmoja

    Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi yeye alizaa Ili amfanye mtoto punda yaani kiasi kwamba mtoto asipomsaidia mzazi anatangaza kutoa laana...
  12. Logikos

    JamiiForums Tanzania Je ni Heri kuvaa Suti ya Bei wakati una Jasho, unanuka na kuwashwa au bora ununue Sabuni uoge na kuvaa Lubega yako ?

    Better one Step with the People than 10 Steps Without...
  13. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe ndiye aliyepambania Uhai wa Lissu kwa Jasho na Damu Mpaka Kumvushia Nairobi Kenya lakini leo Lissu anampaka matope na kumuona hafai

    Ndugu zangu Watanzania, Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana yaani wale ambao waliwasaidia kwa jasho na Damu lakini Mwisho wa siku wamegeuka na kubakia Maadui...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kutokwa na jasho jingi

    Habar gan wakuu Nimekuwa nikisumbuliwa na hali ya kutokwa na jasho jingi hata kukiwepo na barid, tangu umri wa barehe mpaka leo miaka kama 10 imepita kwa anaejua hilo msaada pls
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mbowe ametumia ujana wake wote kuitesekea CHADEMA kwa jasho na machozi

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwamba apewe Maua yake tu,apewe heshima yake tu.Atambulike na watu wote angali hai kuwa ndiye Mwamba aliyetumia ujana wake wote Kuitesekea na kuijenga CHADEMA kwa jasho na Machozi.Ametumia Muda wake wote kwa ajili ya chama. Inasikitisha sana unapoona Mwana CHADEMA...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

    Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe. Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha...
  17. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Profesa Jay machozi jasho na damu

    PROFESSOR JAY -MACHOZI,JASHO NA DAMU VERSE..1 Nashukuru Macho yangu mawili hayana upofu/ na mdomo upo wazi kukemea mambo maovu/ siku inapofika naona Heri ya jana/ maisha ya wabongo yanakuwa kama ya wanyama/ hiki ninachosema kila jicho linaona/ nina futa chozi la mnyonge kilio cha kila kona/...
  18. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Wazee naombeni msaada, mwili wangu unatoa sana jasho tiba ni nini?

    Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
  19. ITR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake muwe mnathamini jasho la waume zenu

    Kuna baadhi ya wanawake wenye tabia ya kutothamini jasho wala kuhurumia nguvu za waume zao. Watanzania walio wengi kipato chetu ni cha kuunga unga ili kipato chako kikuwezeshe kutimiza mahitaji ya familia yako na wakati huo uweke akiba kwa ajili ya kesho kunahitaji mahesabu ya hali ya juu sana...
  20. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sheikh Qassem: akihutubia kwa woga na akitokwa jasho. Nadhani Israel sasa isitishe hii operation

    Maneno anayoyatoa na vitendo ni tofauti kabisa. Anaonekana kabisa akiwa ana khofu kubwa sana. Inasemekana hapo akiwa amejificha mbali sana. Hakuna AC na hakuna Ventillation. Anaishi kwa wasiwasi na mateso makubwa. Ukimtizama anaonekana kujawa woga,khofu na wasiwasi. Nadhani Dunia ikemee Israel...
Back
Top Bottom