Njia ipi ya Mpango wa uzazi ni bora kwa wanandoa?

hahaha majivu anakunywa mwanamke baada ya tendo inafanya kama emmergency pills zinavofanya

mnyonyo huu ni mmea i really dont know exactly what its biological name ni mti flani una vimbegu vina kama miiba sasa mwwnamke anameza baada ya period yake kwisha anameza hizo tumba according na muda anotaka kuzuia mimba kumbuka sio minyonyo yote inafanya hio kazi ni ile inayojiotea yenyewe ndio husema ni the best

kuhusu kufunga kitambaa hii nayo mwanamke anachukua kitambaa alichotumia kuingia hedhi hakifui anakichukua na uchafu wake anafungia kama ni kabatini au kwenye chupa na kuificha mbali mtu asione wala panya sije akatambaa nacho

kuna flagyl pia lakini zote hizo bado zimesaliti mtu anatumia na mimba akabeba
Ya majivu nilishawahi kusikia.

Hiyo ya kitambaa aisee wanawake tuna shida....

Wakati nafanya fanya uasherati flagyl nimetumia 😶 haikuwahi kunikataa
 
Silaha za vita ya majimaji

hahaa ya kitambaa ndio hivo panya akiiburuta ndio usahau kubeba ujauzito

pia unanuia na kufunga mafundo kulingana na miaka unayotaka
 
Kumekuwa na dhana mbalimbali nyingine potofu juu ya njia bora za uzazi. Wengine wanaogopa kutumia kondomu kwa sababu tu zinatumika na vijana wazinifu.

Wengine wanaogopa kutumia vidonge eti vinaongeza makalio au cancer.

Sasa ebu tuambiene kwa wanandoa ipi ni njia bora ambayo haina madhara kiafya wala kimaadili.

1. Kondom
2. Sindano
3. Vidonge
4. Vijiti

Hizo ndio ninazo zifahamu kwa sasa kwa kujisomea kwenye vijitabu.

View attachment 1720486

Kitanzi hujataja
This is the best kama utajisikia vzr kutumia na pia mwenzi wako, hii ina effect ndogo sana kwenye hormone zako pia ni longterm, unapokitoa utachukua muda mfupi kuweza kurudia hali ya kawaida na kuweza kupata ujauzito kama itabidi...kwa maelezo zaidi unaweza pm au kutembelea watoa huduma kweye maeneo husika!

Kupanga ni kuchagua!
 
Na wale wanandoa wapya ambao wanakaa miaka miwili bila mwanamke kupata mimba wanatumia kinga gani?
 
Siku za hatari Mkuu dushe limekolea mrembo anapanda kileleni anakwambia usichomoe na wewe unawasikia wazungu kwenye uti wa mgongo wanakuja kwa maringo na kwa kuwa umeshaambiwa usichomoe unawaachia tu. MIMBA TAYARI!!!!
Umesemaje eti?!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kumekuwa na dhana mbalimbali nyingine potofu juu ya njia bora za uzazi. Wengine wanaogopa kutumia kondomu kwa sababu tu zinatumika na vijana wazinifu.

Wengine wanaogopa kutumia vidonge eti vinaongeza makalio au cancer.

Sasa ebu tuambiene kwa wanandoa ipi ni njia bora ambayo haina madhara kiafya wala kimaadili.

1. Kondom
2. Sindano
3. Vidonge
4. Vijiti

Hizo ndio ninazo zifahamu kwa sasa kwa kujisomea kwenye vijitabu.
Calendar ndo njia bora . Fatilia mzunguko wako uujue vyema utaenjoy zaidi
 
Back
Top Bottom