Njia au mbinu Gani salama kuepuka ushawishi wa mahusiano kazini?

kiredio Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2024
Posts
1,124
Reaction score
2,075
Let's be short and clear...

Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini?

Unawezaje kuepuka bila kuvunja heshima na uhusiano wa kikazi?

Nipeni mawazo yenu, nipo njia panda mzigo huu umenielemea.
 
Umekuelemeaje? Wanawasha greenlight au? Kama ndio usiseme nakupenda kwa yyte fanya kualika tu maeneo yako peleka moto japo Sheria ni zile zile fanya kilichokupeleka ingiza pesa hyo nenda home

NB' Usisahau soksi
 
Mkuu, kuepuka ndiyo kutovunja heshima na uhusiano wa kikazi. Yaani ukifanikiwa kuepuka jambo hili, unakuwa tayari umeshajiwekea uhusiano na heshima kazini. Na ukitaka kuvunja heshima na uhusiano, basi wewe endekeza mapenzi kazini. Njia nzuri ya kuepuka haya ni 1. Kuwa mchapakazi. Wahi kazini, maliza kazi zako na fuata sheria na miiko yote ya kazi. Hli tu linaweza kufanya watu wakuheshimu. 2. Uwe muwazi. Usipende kusema mambo pembeni wala kufanya mambo pembeni. 4. Kama wewe una dini basi zingatia dini yako au angalau jifanye wewe ni muumini mzuri wa dini. Usionyeshe kama unavutiwa na yeyote yule na usipende kuwa karibu na yeyote nje ya shughuli za kazi. Kwa kifupi wewe mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kuamua destination yako.
NB: kama ''nimesoma'' vizuri mambo ambayo ''hujaandika'' nahisi kama wewe ni mapepe, bado ni mchanga kwenye mapenzi, unatamani uwe na umfurahishe kila mwanamke unayeona ni mzuri hapo kazini na mgogoro ni wewe unajipalia mwenyewe. Kwa kifupi tamaa zako ndiyo mauti yako.
 
Apa dunian akuna mbimu za maisha zaidi ya wewe mwenyewe kujitambua ulipotoka,ulipo na uendapo kumbuka wewe na hao watu wote mna akili na mnakula mnashiba ivyo maubongo yenu yanauwezo wakuchakata mambo (mf wakat wewe unaomba ushauli wa mbinu uku ili kukwepa ushawishi wenzio nao wanapambana kujua uzaifu wako ili watumie kama kipenyo cha kukunasa)
 

Kwa kazi ambazo watu wapo busy hakuna huo upuuzi...
Ila hizi kazi zenu za kureport 07h30 halafu muende kunywa chai hadi saa nne ndio unakutana na huu ujinga...
Ukitaka upoteze kazi, anzisha mahusiano kazini hasa ukiwa mgeni (hujamaliza walau miaka 2)...
 
Stay professional muda wote. Focus na ulichokifuata usumbufu utakuwa wa kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…