Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 44,190
- 129,598
Muungano usio na unafiki ndani yake ni ule wa serikali moja, au tatu! Full stop. Huu muungano wa serikali mbili ni utapeli mtupu.Serikali mbili kuungana halafu kuwepo na Serikali mbili ngumu kuelewa