Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 3,824
- 5,812
Binadamu kutokana na curiosity yake inapelekea lazima ahitaji purpose and something bigger to believe in.Na hapo ndio imani zilipoanza
Bongo zetu zimekua hardwired na evolution since the beginning ku search pattern na ku find meaning kwenye kila kitu
Bahati mbaya, sio kila kitu kina meaning
Uwepo wetu hapa hauna maana yoyote, we are so insignificant
Huu ni ukweli mchungu, lakini maisha yana meaning,ila sio inherent meaning
Unaweza kutengeneza maana yako ya maisha, kama utakubali kuwa tunaishi mara moja tu
Utaona kuna faida kubwa sana ya kuishi kila sekunde ya maisha yako to the fullest
Kuna vitu vingi vinaweza kuyapa maisha yako meaning, mwanasayansi nguli kama Richard feyman alikua haamini Mungu yet maisha yake yalijaa a lot of meaning
Kwa kiasi chako fanya dunia iwe sehemu nzuri zaidi, ukiondoka watu wakukumbuke hata familia yako tu inatosha
Kama una insist Mungu lazima awepo ili maisha yako yawe na maana, otherwise hakuna maana ya wewe kuwepo
Basi Mungu unayemuamini yupo desperate kuliko wewe
Ushawahi kujiuliza purpose ya maisha ya Mungu?
Purpose ya maisha yake ni nini?
Kutuumba tu na kututazama?
Purpose ya kutuumba na kututazama ni nini?
Kujifurahisa?
Purpose ya kujifurahisa kwake ni ipi?
Au alituumba ili tujue yupo, purpose ya sisi kujua yupo ni nini?
Utaona hata maisha ya Mungu hayana maana kwa logic yako
Maana ya maisha ni kuishi each and every second, kabla hujazaliwa ulikua unateseka?
Kwanini uogope kifo kiasi cha kuona maisha hayana maana kama hakuna afterlife?
Na ili uamini then hutakiwi kuhoji na ndio maana ya imani.
So no hutakiwi kuhoji purpose ya maisha ya mungu au hiyo itakiuka maana ya imani sababu nothing will make any sense at that point.
Binadamu kuinsit uwepo wa mungu haimaanishi maisha yake hayana maana nyingine, maana nyingine zipo.
Bali ili kujipa sense of security and peace of mind itabidi binadamu afanye hivyo, because the truth is too hard to bear.
Kwenye ukweli ni full of Loneliness and Sadness, na hivyo vitu ni ngumu kwa ubongo wa binadamu kuhandle hivyo vinapelekea insaneness na kuondoa maana nzima ya kuwa Binadamu. I've been there and so weird out there that I don't wanna be there ever again lakini nimejifunza vingi tayari.
I got some simple questions for you:
Pale mtu wako wa karibu anapoumwa wewe humuombei kupona?
Wewe ushawahi kutoa msaada au kusaidia yoyote yule?
Na lastly kwanini unapinga uwepo wa mungu?