Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Sio kweli kua umewahi kujibu, hujawahi kujibu na ndio maana swali hili limeulizwa hapa.

Huko unakosema umejibu kwanini umeshindwa hata kuweka post namba ya uzi ili wote tulione hilo jibu?

Weka hata screenshot ya hilo jibu vinginevyo we ni mzushi tu
Poa.
 
Umeweka sharti la kitoto sana,kwalo halibadilishi uhalisia,kupuuzwa kukunasibisha na Uoga ni ujinga ulio pea mno.

Shukrani.
sijaweka sharti, nilikuachia uwanja wa kuni-prove wrong kwa kuweka hizo hoja ambazo unadai ulishawahi kutoa kuthibitisha mungu yupo kitu ambacho umeshindwa
 
Halafu unataka ujadiliane na mimi wakati hata ulichokoandika hukijui ?

Sharti ulilo liweka ni hili "Kama siyo muoga....".
 
Bro hebu ingia dip hapa
Trust me, asilimia 99% ya wanaopinga evolution humu hawajaisoma na inawezekana wamesahau hata basics biology

Asilimia 99% ya DNA zetu hazina tofauti na Sokwe and yet mtu anaamini Binadamu sio sehemu ya mnyama

Evolution inaelezea vitu vingi sana, sio tu evolution ya binadamu mpaka jinsi gani baadhi ya organ katika miili yetu inavyofanya kazi

Nilikua najifunza jinsi gani, pornography ina sababisha Erectile dysfunction nikashangaa kwa jinsi gani evolution imetumia kuelezea kwa usahihi mkubwa

Concept ya evolution ni simple sana sijui kwanini baadhi ya watu wanashindwa kuielewa hii masterpiece ya biology

Intelligent design ina jaribu kujibu swali katika easiest way possible, inatoa jibu jepesi ambalo halina uhalisia

Mungu akaumba kwa udongo, how?
Akasema kuwe hiki kuwe kile how?

Evolution inatupa jibu complex, inaeleza kivipi kiumbe hai kinatengenezwa from the simplest form possible

Evolution inaanza from the beginning bila assumption ya Pre existing designer
kuelezea hiyo erectile distinction inavyosababishwa na photography maana hii issue sijawahi ielewa. Na wapo wengi wana confess kuwa wanatazama porn sanaa na hawapati shida yeyote. Na ili kitu kisemwe kina madhara basi lazima kiwe kina muathiri kila mtumiaji. Sasa kwenye issue ya porn watu wengine iwaje wasiathirike? Na pia ukitazama co function ya ED hakuna point ya pornography. Japo nje mada ila ukiingia dip hapa kidogo titajifunza wengi pia
 
Unaweza kukithibitishia kinyago kwamba aliyekichonga yupo ?
Wakati huo hicho kinyago kina amini au hakiamini kua uwepo wake unesababishwa na kitu kingine?

Kama kinyago kina akili ya kuamini aliyekichonga yupo, inashindikanaje kutoa uthibitisho kuonesha mchongaji huyo yupo?

Kama unafikiri haiwezekani kukithibitishia kinyago kwasababu ya kimekosa utashi, utakua unaji contradict kwasababu utashi ulikuja first place kilipoanza kuamini kua kimechongwa na kuhoji chanzo chake kwa kudai uthibitisho

Kama kina uwezo wa kuhoji swali la namna hiyo kwanini ushindwe kukithibitishia?

Thibitisha mungu yupo
 
Bro hebu ingia dip hapa

kuelezea hiyo erectile distinction inavyosababishwa na photography maana hii issue sijawahi ielewa. Na wapo wengi wana confess kuwa wanatazama porn sanaa na hawapati shida yeyote. Na ili kitu kisemwe kina madhara basi lazima kiwe kina muathiri kila mtumiaji. Sasa kwenye issue ya porn watu wengine iwaje wasiathirike? Na pia ukitazama co function ya ED hakuna point ya pornography. Japo nje mada ila ukiingia dip hapa kidogo titajifunza wen

Unapo masturbate huku ukicheck Porn, part fulani ya ubongo wako inayohusika na sex haiwezi kutofautisha kati ya Porn unayotazama na real sex
So ina assume unafanya kweli sex,kwa sababu haiku evolve wakati porn au internet ipo
Next time unapo kutana na real woman, hii part ya ubongo inamlinganisha huyo mwanamke against list ya wanawake ulio wahi sex nao (kwenye porn)
Ni nadra kwa mwanamke wa kawaida kufanana na hao Porn actresses let alone kufanya wanachofanya
So ubongo unakuwa bored, unapoteza hamu hence ED
Na sio lazima imu affect kila mtu, inategemea na kiasi gan upo addicted
 
Wakati huo hicho kinyago kina amini au hakiamini kua uwepo wake unesababishwa na kitu kingine?

Kama kinyago kina akili ya kuamini aliyekichonga yupo, inashindikanaje kutoa uthibitisho kuonesha mchongaji huyo yupo?

Kama unafikiri haiwezekani kukithibitishia kinyago kwasababu ya kimekosa utashi, utakua unaji contradict kwasababu utashi ulikuja first place kilipoanza kuamini kua kimechongwa na kuhoji chanzo chake kwa kudai uthibitisho

Kama kina uwezo wa kuhoji swali la namna hiyo kwanini ushindwe kukithibitishia?

Thibitisha mungu yupo
Hujajibu swali,,

Unaweza kukithibitishia kinyago kuwa aliyekichonga yupo ?
 
Unapo masturbate huku ukicheck Porn, part fulani ya ubongo wako inayohusika na sex haiwezi kutofautisha kati ya Porn unayotazama na real sex
So ina assume unafanya kweli sex,kwa sababu haiku evolve wakati porn au internet ipo
Next time unapo kutana na real woman, hii part ya ubongo inamlinganisha huyo mwanamke against list ya wanawake ulio wahi sex nao (kwenye porn)
Ni nadra kwa mwanamke wa kawaida kufanana na hao Porn actresses let alone kufanya wanachofanya
So ubongo unakuwa bored, unapoteza hamu hence ED
Na sio lazima imu affect kila mtu, inategemea na kiasi gan upo addicted
Bado nawaza wale wanaangalia sanaa na bado wanapiga show fresh. Au tunatofautiana mental stamina?
 
Hujajibu swali,,

Unaweza kukithibitishia kinyago kuwa aliyekichonga yupo ?
Swali limejibika, labda kama mantiki ya swali lako hujaielewa

Mantiki ya swali lako ni nini?

Kwamba kinyago hakiwezi kuthibitishiwa kua aliyekichonga yupo kwasababu hakina intellect ya ufahamu?

Kwasababu hiyo basi u-implicates fallacy yako kua hivyo hivyo hadi kwa sisi binadamu ni ngumu kuthibitisha aliyetuumba yupo??

And since hicho kinyago kimeweza kuuliza swali gumu na muhimu kama hilo basi hapo hauta doubt utashi wake, ni wazi kabisa kua kina uwezo wa kupambanua mambo na kujua kipi ni uwongo kipi ukweli

Kwa point hiyo utaona muulizwaji hana sababu ya kushindwa kutoa uthibitisho wa hoja iliyotolewa na kinyago, unafikiri hoja ya kusema kinyago hatakiwi kupewa uthibitisho kutokana hana ufahamu ita make sense?
 
Inaonekana ufahamu wako mdogo sana,,
Ngoja nigeuze swali kdg..

Utakithibitishiaje kinyago kwamba aliyekichonga yupo ?

Au wewe unaamini kuwa hakuna mchongaji wa vinyago.... Yaani vinyago vipo on their own ( havijachongwa) ?
 
Unageuza swali sio kwasababu sijaelewa, unaguleuza swali kwasababu linakupa wakati mgumu kutetea hoja yako

Hata hivyo still the same

"Nitakithibitishiaje kinyago kwamba aliyekichonga kipo"

Swali hili bado ni paradox, au pengine tunatofautiana maana ya kinyago kwa kila mmoja anavyo fahamu

Kwangu mimi, kinyago hakina uwezo wa kuuliza swali tata kama hilo kiasi cha mimi nihitaji kukithibitishia hoja hiyo

Kinyago kwa tafsiri yangu ni non living thing hakina sense organ, hivyo mantiki ya ufahamu yakuweza hata kujua jibu hakina.

Au maana yako ya kinyago ni tofauti na yangu?

Kwasababu kama kinyago kwa tafsiri yako ni kile chenye utashi na uwezo wa kuhoji maswali magumu kuhusu chanzo chake basi utakua unaongelea kitu kingine ambacho mimi sikijui

Nipe maana ya kinyago kwa tafsiri yako halafu uliza swali ili niweze kujibu kulingana na tafsiri uliyonipa
 
Kwahiyo huwezi kukithibitishia kinyago kwamba aliyekichonga yupo ?
 
Back
Top Bottom