GentleGiant
JF-Expert Member
- Sep 22, 2021
- 584
- 541
Kinachofanya mseme Mungu hayupo ni kwa kuwa haonekani au?Mkuu umefafanua vizuri, idea ya god ilikuja ili kuikabili hofu ya duniani ndio maana wafia dini wanaamini kuwa kuna nchi inaitwa mbinguni, huko hakuna kuugua, kufa, njaa n.k yaani huko ni full kula bata tu, huhitaji ajira wala kufanya biashara ili uishi huko vyakula vipo vya kutosha yaani kuna chipsi za kumwaga, nyama choma, piza baga n.k
Ndio maana unawaona wanapambana usiku na mchana kusali ili siku moja waingie kwenye hiyo nchi. Hata telebani nao wanapambana waingie huko lakini najiuliza hao majamaa ukiingia nao mbinguni itakuaje