Njama za kuimega Sudan

Njama za kuimega Sudan

Tuelimishane kidogo, hakuna njama za kuimega Sudan. Referrendum ni utekelezaji wa kipengele muhimu cha Mkataba wa amani wa Sudan (CPA) uliofikiwa 2005. Mkataba huu ulikuwa ni ushindi mkubwa kwa wasudan na jumuiYa ya kimataifa kwani ulimaliza vita iliyodumu kwa zaidi ya miaka 30 (1956-1972) na (1983-2005) na kusababisha vifo vwa watu wapatao milioni mbili!! Wakati mkataba huu unafikiwa hii vita ilikuwa "chronic" na jina na John Garang lilikuwa "never miss" kwenye BBC. Katika Mkataba wa CPA, kulikuwa na kipengele kwamba ndani ya Miaka mitano baada ya kusainiwa mkataba kama serikali ya Sudan ikishidwa kufanya muungano uwe kuvutio ("to make unity attractive") kwa watu wa Southern Sudan, basi watu wa Southern Sudan watakuwa na haki ya kuamua hatma yao kwa kupitia Referrendum. Mpaka sasa serikali ya Sudan haijafanya chochote (tangu 2005) kuwaridhisha watu wa Southern Sudan wakubali "unity," kwa hiyo watatumia haki (chini ya CPA na "Referrendum Law" iliyopitishwa kutekeleza CPA) kupiga kura ku-"separate." Kwa hiyo hizi si njama. Ni wasudan wenye wameamua na bunge limeridhia kwa kupitisha sheria ya "Referrendum." Lingine la kufahamu ni kwamba wananchi wa Southern Sudan wamepoteza kabisa imani ("trust") na Serikali kwani wamenyanyaswa kwa muda mrefu. Hivi majuzi Riek Machar, Makamu wa rais wa Serikali ya Southern Sudan aliulizwa msimamo wake kuhusu "Referremdum" akasema kwa hali ilivyo sasa, hata kama Serikali ya Sudan ikifanya maendeleo ya haraka haraka na kuindeleza Juba (mji Mkuu wa nchi mpya ya Southern Sudan) kabla ya Rererendum na kufanana na Dubai, yeye hatapigia kura kuunga "unity" sababu haiamini serikali ya Sudan!!
Vizuri!.Admissionletter umejaribu kutuelimisha na kutupa picha pana ya hiyo referendum.
Pamoja na hivyo suala la kuwepo njama halikwepeki.Hii kwamba bunge limepitisha sheria ya referendum haina maana kuwa wamefanya kwa kupenda.
Nchi za magharibi ni hatari sana katika njama na mashinikizo.Nchi nyingi za hulazimishwa kufanya vitu wasivyovipenda baada ya kuona hawana pa kutokea.Wamezungukwa na vitisho makamio ya kila namna mengine hupitishiwa kwenye umoja wa mataifa,moja ya chombo chao cha kushinikiza matakwa yao.Mfano mmojawapo angalia Tanzania ilivyolazimika kuingia kwenye vyama vingi pamoja na kwamba kura ya maoni ilionesha kuukataa mfumo huo.
Nina uhakika Sudan haipendelei kujitenga na ndugu zao wa kusini lakini walilazimika kubadili taratibu na katiba yao ili kujipunguzia bughdha zinazoongozwa na Marekani.
Huyu Riek Machar na Salva Kiir wala si watu wa kutilia maanani maneno yao,ni watu ambao hawako huru katika kufikiri kwao.Wamewekwa mbele ili malengo ya nchi za magharibi yatimie ,baada ya hapo watatupwa nje kwa mbinu mbali mbali.Tulikuwa nao wengi kule Mazar Sharif kaskazini ya Afghanistan.
 
Kibona mchango wako umejaa ujinga na ubaguzi.
Wakati unatetea maendeleo na hadhi ya mwafrika unasahau kuwa wasudan wote ni waafrika.Ujinga wako upo pale unapomwambia John:
"Halafu rafiki yangu John usikubali kusaliti uafrika wako kwa sababu ya hisia za kidini...."
Umesema wewe umekaa na unaijuwa Sudan.Naomba tufahamishe na utuoneshe waarabu wa Sudan wamekaaje na wanakaa wapi.Papo hapo tuoneshe wanapokaa waafrika wengine wasiokuwa waarabu.Baada ya hapo huenda tutaelewana kwenye huu mjadala.
Kwenye hisia zako nimegundua umeathirika sana na mawazo ya kibaguzi yanayosimamiwa na kanisa.Hili wamelifanya kwa mafanikio makubwa Tanzania na sasa ndio kanisa linavuna kwa kutoa wahitimu wa mawazo ya kibaguzi kama wewe.

Ami hapo umepotea kaka. Naomba nikuambie kuwa hisia za udini alizonazo John10 hazifichiki hasa ktk posts anazoandika. Hata hivyo kosa linalofanywa na John10 pamoja na wewe ni kuwa kila anayepingana na waarabu mnadhani sio muislamu ila ni mkristu. Lakini hiyo sio kweli na kukuhakikishia tu ni kuwa tofauti na unavyosema mimi naamini katika urastafari japo wengi hawawezi kukubali kuwa urastafari nayo ni dini. Na kuthibitisha kuwa wewe unakosea ni kuwa mimi ninapowachukia waarabu wa sudan siwachukii waarabu wengine walioko Saudi Arabia, Misri, Syria nakadhalika hivyo mimi sina ushabiki wowote wa dini ya kikristu isipokuwa naguswa na kinachofanywa na waarabu wa sudan dhidi ya waafrika wenzangu, na ninapoona mtu anawatetea waarabu wa sudan kwa sababu tu yeye anaangalia undugu wake na waarabu kwa misingi ya kidini lazima niseme.

Kuhusu waarabu wanakaa wapi huko sudan naomba nikujibu kama ifuatavyo, Sijazunguka sudan nzima ili nikupe mipaka ya kijiografia ya wanamoishi waarabu ila ungeniuliza nilifika mji gani huko sudan ningekujibu. Lakini hata hivyo kama wewe umefika sudan utakuwa unaijua tofauti ya waarabu wa sudan na waafrika, kama hujafika basi angalia vizuri picha Al Bashir, Othman Taha au Mo Ibrahim wa Celtel halafu linganisha na picha ya Marehemu John Garang, Salva Kiir Mayardit au Adam Kwaje utaona tofauti ya mwarabu wa sudan na mwafrika wa sudan.

Najua wewe unadhani tunaposema waarabu basi ni kama wale wa misri, Libya,
orocco au Jordan, unatakiwa ujue kuwa waarabu wa sudan wamefifia sio sawa na wale wa mashariki ya kati ndo maana mwana JF mmoja amewaita waarabu koko. Ntashangaa kama bado huioni tofauti kati yao wakati unaweza hata kujua tofauti kati ya mchagga na mnyakyusa, au mpemba na muunguja.
 
Ivi kuwa huru ina maana gani? Kwa nini tunagombea kuweka nchi zisizo shikika pamoja kuwa moja? Wacha Sudan wajitenge na kuwa nchi mbili tofauti!
 
Angalia kusini mwa TZ, Waislamu wamenyimwa haki zao zote kwa sababu ya Udini wa Nyerere. Kama Sudan wakigawana nchi, inabidi hii movement ije TZ, ili tugawane nchi. Waislamu wa TZ wamechoka kuwa nyuma kimaendeleo.

John you're not serious, unataka kusikia wanaJF wana-react vipi juu ya statements zako. kwa vile nia yako tumeijua hatutasema lolote we bweka tu!
 
Vizuri!.Admissionletter umejaribu kutuelimisha na kutupa picha pana ya hiyo referendum.
Pamoja na hivyo suala la kuwepo njama halikwepeki.Hii kwamba bunge limepitisha sheria ya referendum haina maana kuwa wamefanya kwa kupenda.
Nchi za magharibi ni hatari sana katika njama na mashinikizo.Nchi nyingi za hulazimishwa kufanya vitu wasivyovipenda baada ya kuona hawana pa kutokea.Wamezungukwa na vitisho makamio ya kila namna mengine hupitishiwa kwenye umoja wa mataifa,moja ya chombo chao cha kushinikiza matakwa yao.Mfano mmojawapo angalia Tanzania ilivyolazimika kuingia kwenye vyama vingi pamoja na kwamba kura ya maoni ilionesha kuukataa mfumo huo.
Nina uhakika Sudan haipendelei kujitenga na ndugu zao wa kusini lakini walilazimika kubadili taratibu na katiba yao ili kujipunguzia bughdha zinazoongozwa na Marekani.
Huyu Riek Machar na Salva Kiir wala si watu wa kutilia maanani maneno yao,ni watu ambao hawako huru katika kufikiri kwao.Wamewekwa mbele ili malengo ya nchi za magharibi yatimie ,baada ya hapo watatupwa nje kwa mbinu mbali mbali.Tulikuwa nao wengi kule Mazar Sharif kaskazini ya Afghanistan.

Rafiki yangu nakubaliana na mawazo yako kuhusu njama za mataifa makubwa lakini hii hai apply kwa Southern Sudan. Referrendum ni moja ya terms za peace agreement zilizofanilisha vita kuisha la sivyo mpaka leo wangekuwa wanapigana. Referrendum ilikuwa pushed kwenye agreement na Southerners na si northerners kama unavyosema. Kwenye kipingi chote cha mgogoro Southerners ndio walikuwa losers na ndio maana wali puch for separation. Hadi sasa John Garang anachukuliwa kama Mungu mtu na wa southerners kutokana na kufanikisha hicho kipengele cha referrendum kwenye huo mkatabawa CPA. Kumbuka kipengele cha referrendum kakikuwepo kwenye mkataba wa Addis Ababa wa 1972 na mdio maana huo mkataka ulisambaratika mwaka 1982 na vita ikaanza tena 1983. Kwa kifupi, kwa upande wa Southerners options wakati wa majadiliano ya Naivasha zilikuwa mbili: kwamba serikali wa Sudan ikubali option ya self determination ya southerners au vita iendelee. Kwa hiyo wewe ungeona ni sawa vita iendelee na kipengele cha self determination kisiwepo kwenye mkataba wa CPA??. Unachokosea au walioandika makala ulizosoma wanachokosea ni kuhusisha referrendum na will ya serikali ya Sudan. Serikali ya Sudan haina role kwenye referrrendum zaidi ya kutengeneza mazingira ya zoezi hilo kufanyika. Kura za referrendum hazitapigwa na nchi nzima ya Sudan zitapigwa na Southerners tu, kwa hiyo watakaotoa mustakabali was nchi moja au mbili ni Southerres si Bashir au northerners!
 
Ni mpumbavu pekee ndiye anayeweza kumwelewa John 10. Kwa nini Nyerere asiwabague waislamu wa magharibi mashariki na kasikazini ya TANZANIA??
Maamuma mnatuchafulia hewa hapa JF. Hapa ni Home of Great Thinkers!!!!
Angalia kusini mwa TZ, Waislamu wamenyimwa haki zao zote kwa sababu ya Udini wa Nyerere. Kama Sudan wakigawana nchi, inabidi hii movement ije TZ, ili tugawane nchi. Waislamu wa TZ wamechoka kuwa nyuma kimaendeleo.
 
Amin kuna dili la kujilipua huko Sudani ya Kusini wakati wa upigaji kula nipigie No: 0714 250951
Stupid morons can not hide on their shells forever..he he he..

Atazunguuka weee, mara sijui kujitenga Sudan sijui waafrika na waarabu, lakini kama nilivosema mwanzo, hoja kuu ya huyu al Qaeda, AMI , ni usilamu. Hana agenda nyengine.

BTW, labda utuambie uwongo wa Ayaan Hirsi dhidi ya Uislam ni upi? Kuvunja kwake serikali(kama ulivosema) kulihusika vipi na uwongo wake dhidi ya Usilamu? Last time I checked, serikali ilivunjika kwa sababu ya forgery alizofanya wakati wa kuomba hifadhi ya ukimbizi, na sio vinginevyo.
 
Ami hapo umepotea kaka. Naomba nikuambie kuwa hisia za udini alizonazo John10 hazifichiki hasa ktk posts anazoandika. Hata hivyo kosa linalofanywa na John10 pamoja na wewe ni kuwa kila anayepingana na waarabu mnadhani sio muislamu ila ni mkristu. Lakini hiyo sio kweli na kukuhakikishia tu ni kuwa tofauti na unavyosema mimi naamini katika urastafari japo wengi hawawezi kukubali kuwa urastafari nayo ni dini. Na kuthibitisha kuwa wewe unakosea ni kuwa mimi ninapowachukia waarabu wa sudan siwachukii waarabu wengine walioko Saudi Arabia, Misri, Syria nakadhalika hivyo mimi sina ushabiki wowote wa dini ya kikristu isipokuwa naguswa na kinachofanywa na waarabu wa sudan dhidi ya waafrika wenzangu, na ninapoona mtu anawatetea waarabu wa sudan kwa sababu tu yeye anaangalia undugu wake na waarabu kwa misingi ya kidini lazima niseme.

Kuhusu waarabu wanakaa wapi huko sudan naomba nikujibu kama ifuatavyo, Sijazunguka sudan nzima ili nikupe mipaka ya kijiografia ya wanamoishi waarabu ila ungeniuliza nilifika mji gani huko sudan ningekujibu. Lakini hata hivyo kama wewe umefika sudan utakuwa unaijua tofauti ya waarabu wa sudan na waafrika, kama hujafika basi angalia vizuri picha Al Bashir, Othman Taha au Mo Ibrahim wa Celtel halafu linganisha na picha ya Marehemu John Garang, Salva Kiir Mayardit au Adam Kwaje utaona tofauti ya mwarabu wa sudan na mwafrika wa sudan.

Najua wewe unadhani tunaposema waarabu basi ni kama wale wa misri, Libya,
orocco au Jordan, unatakiwa ujue kuwa waarabu wa sudan wamefifia sio sawa na wale wa mashariki ya kati ndo maana mwana JF mmoja amewaita waarabu koko. Ntashangaa kama bado huioni tofauti kati yao wakati unaweza hata kujua tofauti kati ya mchagga na mnyakyusa, au mpemba na muunguja.

Hapo kwenye red umenena mkuu. Yaani mimi nina rafiki zangu waislamu wengi tu lakini hawawafagilii waarabu hata kidogo.
 
Ni mpumbavu pekee ndiye anayeweza kumwelewa John 10. Kwa nini Nyerere asiwabague waislamu wa magharibi mashariki na kasikazini ya TANZANIA??
Maamuma mnatuchafulia hewa hapa JF. Hapa ni Home of Great Thinkers!!!!

Nenda kwenye Statistic za TZ, ili ujue nchi inavyoendeshwa.
 
Vizuri!.Admissionletter umejaribu kutuelimisha na kutupa picha pana ya hiyo referendum.
Pamoja na hivyo suala la kuwepo njama halikwepeki.Hii kwamba bunge limepitisha sheria ya referendum haina maana kuwa wamefanya kwa kupenda.
Nchi za magharibi ni hatari sana katika njama na mashinikizo.Nchi nyingi za hulazimishwa kufanya vitu wasivyovipenda baada ya kuona hawana pa kutokea.Wamezungukwa na vitisho makamio ya kila namna mengine hupitishiwa kwenye umoja wa mataifa,moja ya chombo chao cha kushinikiza matakwa yao.Mfano mmojawapo angalia Tanzania ilivyolazimika kuingia kwenye vyama vingi pamoja na kwamba kura ya maoni ilionesha kuukataa mfumo huo.
Nina uhakika Sudan haipendelei kujitenga na ndugu zao wa kusini lakini walilazimika kubadili taratibu na katiba yao ili kujipunguzia bughdha zinazoongozwa na Marekani.
Huyu Riek Machar na Salva Kiir wala si watu wa kutilia maanani maneno yao,ni watu ambao hawako huru katika kufikiri kwao.Wamewekwa mbele ili malengo ya nchi za magharibi yatimie ,baada ya hapo watatupwa nje kwa mbinu mbali mbali.Tulikuwa nao wengi kule Mazar Sharif kaskazini ya Afghanistan.

My Friend, have you ever been to Sudan? Hakuna cha nchi za Magharibi wala nini unless hujui chanzo cha vita vilivyopiganwa kwa miaka 22 kati ya Sudan ya kusini na serikali ya Khartoum. Sijui kama mataifa ya magharibi ndiyo walimwambia Nimeir kwa wakati ule kuitangaza Sudan kuwa nchi ya kiislamu huku wakijua kwamba waislamu ni wachache ukilinganisha na wakristo. Sijui vile vile kama ni nchi za magharibi ndizo zinaulekeza utawala wa Khartoum kupeleka maendeleo kaskazini ingawaje mafuta ambayo ndio source ya kipato cha taifa yanapatikana kusini mwa Sudan.

Nafikiri hapa tunajaribu kumtafuta mchawi lakini ukweli huko wazi na mataifa ya magharibi hayawezi kulaumiwa kwa kinachoendelea. Ni mataifa ya magharibi hayo hayo unayoyalaumu hapa yaliweza kusuluhisha mgogoro uliodumu kwa miaka 22 na sharti mojawapo la Garang ilikuwa ni kwamba baada ya miaka 5 ipigwe kura ya maoni ili kuamua kama kusini wajitenge au waendelee kuwa pamoja na serikali ya Khartoum. Hilo lilikuwa ni sharti ambalo pande zote mbili zilikubaliana nalo. Sioni kwa nini nchi za magharibi zinalaumiwa hapa!!!!

Tiba
 
Ni kweli actually hii hoja ya kulaumu mataifa ya magharibi kwa referrendum ya Sudan ni mara ya kwanza naiona, na ni hapa JF. Ndio maana nahisi uelewa wa aliyeanzisha hii hoja kuhusu kinachoendelea Sudan ni mdogo au amesona mahali paliposababisha awe mis led. La mwisho kwa mtoa hoja ni kwamba akae mkao wa kula kwa sababu Darfur nayo iko njiani kwani wana madai hayo hayo ya self determination, kwa kutengwa kiuchumi. Suala la dini halipo Darfur sababu darfur wengi ni waislamu. Sudan ni nchi iliyo fail kushirilisha makundi mbali mbali (ya wakristu na waislamu) kweye kula keki ya nchi na sasa ndio wanavuna price yale!
 
Ngoja nimsubiri huyu anayejiita emt.

Majibu yako ni rahisi yatafuatia baadae.
Halafu nimegundua kufikiri kwako ni hafifu zaidi kuliko huyo emt.
nikikumbusha ni kuwa umoja wa Sudan ni muhimu na wanaoupinga ni wajinga.

Ami whats wrong with you, history, facts hutaki, unasema zimeandikwa na wazungu, tupe basi zako ambazo zimeandikwa na waarabu, kumbuka kwamba nchi za magahribi ndo pekee zilizo ruhusu watu weusi(watumwa) kuendelea kuwepo huko baada ya utumwa , lakini nchi za kiarabu hawakutaka kabisa badala yake wanume weusi walihasiwa kama mbuzi ili wasizae na wanawake wa kiarabu, wa kwa sababu wao ni LAABID, leo unathubutu kusema watumwa (mateka) wanakuwa treated fairly na waarabu, unakumbuka akina tip tip thats typical arabs, hata zanzibar wakitaka nchi yao acha waondoke, kumbuka nyerere alitaifisha shule za wakristo, leo ungekuwa wapi ww, FYI angalia results za form 4 form 6 ratio ya performance wakristo- waislamu utapata majibu yote sorry umeufanya mjadala kuwa wa kidini, bila shule za kikristo lipumba kikwete ungewasikia madrasa kama alivyo sheik yahaya:bump:
 
Ndugu yangu Matatizo ya maendeleo ya waislamu wa Tanzania ni ya kihistoria Tanzania na sio suala la kumlaumu nyerere wala kiongozi yoyote,

Waarabu ndio walikuwa wageni wa kwanza kufika East Africa (Kilwa), lakini hakuna hata shule moja waliyojenga zaidi ya kutuachia Makaburi tu, Suala la Elimu kwa Muislamu lilikuwa sio kitu raisi hata kidogo kukikubali
Mimi nimesoma hapa Dar kwenye miaka ya 80s, nakwambia ukweli darasa lilikuwa linajaa wakristo tu, Waislamu wakija siku mbili siku tatu wako chuo, walimu wanatuambia tukawatoe chuo kinguvu waje shule na inakuwa ni mbinde kuwatoa maustadhi wanaweka kei na shule kwamba tunataka kuwapoteza watoto wao,
NDugu Nyerere kwa kulijua hilo halizitaifisha shule zote za misheni na kuzifanya za serikali ili kila mtu hata muislamu aende shule na waislamu wengi (Lipumba, JK, Kagasheki, Kalamagi, Kaborou, Kapuya nk) walipita kwenye hizo shule zilizokuwa za misheni
Kumsema nyerere ni kumuonea tu alijitahidi sana kuwainua Waislamu wa Tanzania, lakini tatizo kubwa lilikuwa uelewa mdogo na kuchukulia dini kuwa ndio msingi wa maisha bila kisomo cha kidunia
huwezi ku argue na watu wenye siasa kali better keep ur mouth shut:hungry:
 
Ami whats wrong with you, history, facts hutaki, unasema zimeandikwa na wazungu, tupe basi zako ambazo zimeandikwa na waarabu, kumbuka kwamba nchi za magahribi ndo pekee zilizo ruhusu watu weusi(watumwa) kuendelea kuwepo huko baada ya utumwa , lakini nchi za kiarabu hawakutaka kabisa badala yake wanume weusi walihasiwa kama mbuzi ili wasizae na wanawake wa kiarabu, wa kwa sababu wao ni LAABID, leo unathubutu kusema watumwa (mateka) wanakuwa treated fairly na waarabu, unakumbuka akina tip tip thats typical arabs, hata zanzibar wakitaka nchi yao acha waondoke, kumbuka nyerere alitaifisha shule za wakristo, leo ungekuwa wapi ww, FYI angalia results za form 4 form 6 ratio ya performance wakristo- waislamu utapata majibu yote sorry umeufanya mjadala kuwa wa kidini, bila shule za kikristo lipumba kikwete ungewasikia madrasa kama alivyo sheik yahaya:bump:
Unapotosha Historia. Waarabu walikuwa middlemen, kama vile Wafrika wenyewe walivyokuwa wanawauza wenzao kwa Wazungu wakati huo wa utumwa. Slavery walikuwa wanakwenda ktk nchi za Wazungu kupitia Arab Peninsula, na trial angle. Nchi kubwa iliyofanya haya mambo ya Utumwa ilikuwa Uingereza, North American, na Europe.

Sasa unapozungumzia shule za Kikristo hapo ndipo ujue kwamba hizo shule ziliwekwa na Wazungu kwa ajili ya kuwanyima Waislamu haki ya elimu. Waislamu ndiyo waliokuwa wanataka Uhuru. Wakristo wa TZ, waliona bora TZ, itawaliwe na hao Wazungu ili wafaidi matunda ya ubaguzi wa kidini. Wazungu waliweza kuistablish ubaguzi mkubwa ktk Africa kwa misingi Ukabila, Dini, nk. Angalia vita kati ya Wahutu na Watutsi, angalia ubaguzi wa kikabila unaondelea Congo, Burundi, Rwanda na sehemu zengine ktk Africa. Wazungu ndiyo walioleta haya matatizo ndani ya Africa kwa manufaaa yao binafsi.
 
Ni kweli actually hii hoja ya kulaumu mataifa ya magharibi kwa referrendum ya Sudan ni mara ya kwanza naiona, na ni hapa JF. Ndio maana nahisi uelewa wa aliyeanzisha hii hoja kuhusu kinachoendelea Sudan ni mdogo au amesona mahali paliposababisha awe mis led. La mwisho kwa mtoa hoja ni kwamba akae mkao wa kula kwa sababu Darfur nayo iko njiani kwani wana madai hayo hayo ya self determination, kwa kutengwa kiuchumi. Suala la dini halipo Darfur sababu darfur wengi ni waislamu. Sudan ni nchi iliyo fail kushirilisha makundi mbali mbali (ya wakristu na waislamu) kweye kula keki ya nchi na sasa ndio wanavuna price yale!
Mawazo yako ni utata mtupu,kila yatakavyoendekezwa ndio dunia itakuwa mbaya zaidi.

Hakuna keki iliyoliwa vibaya Afrika kama ya uhuru wa Tanzania,na bado hoja za kutengana hazijapewa umuhimu.
Yaani wewe unaunga mkono kila mwenye madai ya kutengwa kiuchumi ndio aachiwe tu ajitawale mwenyewe!.Fikiria itakuwaje ikiwa maeneo ya kusini mwa Tanzania yenye ardhi nzuri ya kilimo na madini itakuja na madai haya.Fikiria tena Pemba na Unguja.
Vipi kuhusu mikoa ya Tanga,Tabora na Kigoma kwa hapo Tanzania ambayo watu wa maeneo hayo ambao wengi ni waislamu na ambao Nyerere aliwawacha nyuma nao wakiamua kujitenga?
Mimi nafikiri njia nzuri ni kuweka mipango mizuri ya kugawana hizo rasilimali na kuheshimiana na si kutengana.Kama kweli nchi za Magharibi zina mapenzi na waafrika basi wangeweka mkazo katika kuhimiza namna bora za kugawana hizo mali au kinyume chake wakae pembeni waone kama kila kitu hakitokwenda sawa.
Kwanini wameweza kushinikiza kura ya maoni wazo likafanikiwa halafu ishindikane kushinikiza namna bora za mgawanyo wa kipato.Ireland inayosemekana ina wakatoliki wengi sasa hivi iko hali mbaya kiuchumi mbona bado hawako tayari kuiwachia.Kwanini ikiwa ni kweli kama wachangiaji wengi wanavyoamini Sudan kaskazini yenye upungufu wa rasiilimali dawa yake iwe ni kuitenganisha na Kusini ya Sudan.
Jee hamuoni kwamba hizi nchi za magharibi ni ndumila kuwili zinazoangalia maslahi yao tu kwanza.
 
Ami whats wrong with you, history, facts hutaki, unasema zimeandikwa na wazungu, tupe basi zako ambazo zimeandikwa na waarabu, kumbuka kwamba nchi za magahribi ndo pekee zilizo ruhusu watu weusi(watumwa) kuendelea kuwepo huko baada ya utumwa , lakini nchi za kiarabu hawakutaka kabisa badala yake wanume weusi walihasiwa kama mbuzi ili wasizae na wanawake wa kiarabu, wa kwa sababu wao ni LAABID, leo unathubutu kusema watumwa (mateka) wanakuwa treated fairly na waarabu, unakumbuka akina tip tip thats typical arabs, hata zanzibar wakitaka nchi yao acha waondoke, kumbuka nyerere alitaifisha shule za wakristo, leo ungekuwa wapi ww, FYI angalia results za form 4 form 6 ratio ya performance wakristo- waislamu utapata majibu yote sorry umeufanya mjadala kuwa wa kidini, bila shule za kikristo lipumba kikwete ungewasikia madrasa kama alivyo sheik yahaya:bump:
Hizi habari za biashara ya utumwa zimejibiwa vya kutosha.Hata hivyo kila wale ambao ndio kwanza wamehitimu propaganda za kanisa na kuingia mitaani wanapokuja huwa hatuchoki kuwakumbusha kuwa biashara ya utumwa hasa ni ya Wazungu.Ukristo ndio uliotumika kuiendesha biashara hiyo.
Kuhusu Arabuni waliokwenda mara nyingi ni kwa shughuli kama utumishi wa kawaida ambao baadae walichanganyika mjini na kuwa wanachi.Hapakuwepo na kazi zilizohitaji watumwa na hakuna aliyehasiwa.
Nakushauri kwa kulinda heshima yako wachana na hii habari ya upotoshaji.
 
Mapema mwakani kura ya maoni inatarajiwa kupigwa nchini Sudan kuamua mustakbali wa eneo la kusini la nchi hiyo.
Wakati dunia nzima ikipigania kuwa wamoja na maeneo yenye kujaribu kujitenga kama huko Comoro nguvu zikitumika kupinga kujitenga,mambo ni tofauti huko Sudan.
Baadhi ya uongo wa mataifa ya magharibi kuhalalisha kujitenga eneo la kusini lenye utajiri mkubwa wa mafuta ni eti waarabu wanawabagua waafrika.
Hapo chini ni raisi wa Sudan general Omar Al bashir akionesha upanga wake kama silaha ya kupambana na wenye kuitakia mabaya Sudan,akiwa amezungukwa na wasaidizi na walinzi wake.

Sitarudi tena kwenye hii thread sababu naona najadiliana na mtu asiyejua siasa za Sudan. Kwa hiyo hapa najibu majibu wako rafiki yangu iliyotoa hapo juu na kutoa hitimisho langu kama ifuatavyo:

- Kwanza umeanzisha thread kwa ku mislead watu. Bashir hajawahi kutumia upanga kutetea umoja wa Sudan sababu hii itakuwa ni kinyume cha mkataba wa amani ambao uliweka hicho kipengele. Mkataba umeweka wazi kwamba ni wa Southern Sudan ndio watakaoamua hatma ya nchi yao si Bashir au Serikali ya umoja ya Sudan. Hicho alichoshika ni upanga ni fimbo
- Huyo aliyekaribu na Bashir kwenye picha mwenye kofia kubwa (pama) ambaye umemwita ni mmoja wa wasaidizi na walinzi wa Bashir ni Salva Kiir Mayadit, Rais wa Serikali ya Southern Sudan na Makamu wa Rais wa Serikali ya umoja ya Sudan. Salva (ambaye akikuwa msaidizi wa John Garang wakati wa mapambano) anajulikana wazi kwamba anatetea Southern Sudan kujitenga. Kwa hiyo haiwezekani Bashir ashike upanga kutetea muungano mbele ya Salva kwa sababu kila mmoja nati yao ana haki ya kuwa na msimamo wake. Muungano wa Sudan hautetewi wa upanga na kama hiyo ikitokea vita itaanza tena
- Kwa sababu kufahamu historia ya Sudan, unatoa mifano ambayo haiendani na Sudan kihistoria. Kwa mfano unafananisha mambo ya Tanzania na Sudan: Tanzania tumepigana vita kwa miaka zaidi ya 30? Tanzania tumewahi kuhusishwa na genocide na crimes against humanity?
- Nimezungumzia sababu ya kutengwa kiuchumi kwa Darfur sababu suala la dini ambalo lilikuwepo kwenye vita na Southern Sudan na Sudan halipo kwenye issue ya Darfur. Wewe unafikiri wa Darfur wanapigania nini kama si kutengwa kiuchumi na kunyanyaswa kwenye nchi yao kama second class citizens?
- Mwisho nakushauri uwe na attitude kwamba unapoanzisha thread si kwamba wewe ndio unajua kila kitu kuhusu hoja uliyoanzisha. Kubali ku accommodate nguvu za hoja za wachangiaji wako ambao wana ujuzi zaidi kuhusu hoja yako ili na wewe ujifunze: Unalinganisha Sudan na siasa za Tanzania ambapo hakuna uwiano, Unasisitiza nchi za magharibi kusimamia ugawaji mali kwa nchi nyingine kitu ambacho si practical sababu Sudan kilishindikana miaka na miaka (Safiri Sudan ufananishe Khartoum na Juba ujue nasema nini), Kura ya maoni ya Sudan haikushinikizwa na na watu wa magharibi nimesema ni sehemu ya mkataba wa amani wa CPA, kutokana na uzoefu wa failure ya mkataba kama huo wa Addis Ababa wa mwaka 1972. Kama referendum isingekuwepo kwenye mkataba wa Southern Sudan wasingekubali wangeendelea kupigana. Upungufu wa mali si sababu pekee ya kujitenga kwa Sudan. Usitegemee majibu yangu tu kukuelimisha kuhusu Sudan. Watu wa Southern Sudan wamepigana toka baada ya uhuru 1956 soma uelewe ni kwa nini
 
Wewe ikiwa umechoka,nenda tu.Mimi bado nipo. Hata hivyo sikubaliani nawe kwa hoja zako nyingi pamoja na kwamba una uelewa kiasi wa masuala ya Sudan.
Kwa mfano unadhani hao CPA ni wao wenyewe tu.
Jee bunge la Tanzania lililopitisha sheria ya patriotic Act inayowadhulumu waislamu lilikuwa lenyewe tu.
Huko unakokwenda nakutakia maisha mema na uhuru wa kufikiri.
 
Ami hapo umepotea kaka. Naomba nikuambie kuwa hisia za udini alizonazo John10 hazifichiki hasa ktk posts anazoandika. Hata hivyo kosa linalofanywa na John10 pamoja na wewe ni kuwa kila anayepingana na waarabu mnadhani sio muislamu ila ni mkristu. Lakini hiyo sio kweli na kukuhakikishia tu ni kuwa tofauti na unavyosema mimi naamini katika urastafari japo wengi hawawezi kukubali kuwa urastafari nayo ni dini. Na kuthibitisha kuwa wewe unakosea ni kuwa mimi ninapowachukia waarabu wa sudan siwachukii waarabu wengine walioko Saudi Arabia, Misri, Syria nakadhalika hivyo mimi sina ushabiki wowote wa dini ya kikristu isipokuwa naguswa na kinachofanywa na waarabu wa sudan dhidi ya waafrika wenzangu, na ninapoona mtu anawatetea waarabu wa sudan kwa sababu tu yeye anaangalia undugu wake na waarabu kwa misingi ya kidini lazima niseme.

Kuhusu waarabu wanakaa wapi huko sudan naomba nikujibu kama ifuatavyo, Sijazunguka sudan nzima ili nikupe mipaka ya kijiografia ya wanamoishi waarabu ila ungeniuliza nilifika mji gani huko sudan ningekujibu. Lakini hata hivyo kama wewe umefika sudan utakuwa unaijua tofauti ya waarabu wa sudan na waafrika, kama hujafika basi angalia vizuri picha Al Bashir, Othman Taha au Mo Ibrahim wa Celtel halafu linganisha na picha ya Marehemu John Garang, Salva Kiir Mayardit au Adam Kwaje utaona tofauti ya mwarabu wa sudan na mwafrika wa sudan.

Najua wewe unadhani tunaposema waarabu basi ni kama wale wa misri, Libya,
orocco au Jordan, unatakiwa ujue kuwa waarabu wa sudan wamefifia sio sawa na wale wa mashariki ya kati ndo maana mwana JF mmoja amewaita waarabu koko. Ntashangaa kama bado huioni tofauti kati yao wakati unaweza hata kujua tofauti kati ya mchagga na mnyakyusa, au mpemba na muunguja.

Katika picha hapo chini ni Omduruman maeneo ya Pembeni ya Khartoum kaskazini ya Sudan.
Niambie ni nani mwafrika hapo na ni nani mwarabu.

Dervish675.jpg
 
Deal sio nani mwafrika na nani mwarabu. The deal is Southern Sudan wanajitenga mwakani na kuwa nchi huru. Kwa wale wanaowafagilia waarabu inawauma sasa but that is the fact and there is nothing you. Labda mkachakachue kura za maoni. Na hiyo picha na kakudanganya imechukuliwa kaskazini mwa sudan? Usitake kutufanya ka vile sis wajinga.
 
Back
Top Bottom