Njama za kuimega Sudan

Njama za kuimega Sudan

Ipo sababu ya kutokuiamini hadithi yako ya Ajak Dau Akech.
Sisi katika dini yetu hatuukubali ushahidi wa mtoto mwenye umri kama wa Ajak wa miaka 8.
Mimi binafsi kuna vitu ambavyo nakumbuka niliwahi kusimulia nikiamini ni kweli.Nilisema nimemuona jinamizi nilipokuwa na umri kama huo.Hii ni kwa vile daima tulikuwa tukitishana na wenzangu kuhusu mdudu huyo.Hivi sasa nikikumbuka najuwa sikumuona kweli.
Mtoto mdogo kama yeye anawezaje kutofautisha makabila ya watu kwamba huyu ni mwarabu na huyu ni kabila jengine.Kumbuka rangi za watu na mavazi Sudan haviwezi kutumika kama kigezo cha kumjua mtu kabila lake.Halafu katika hadithi yenyewe kuna ladha kamili ya maneno ya kutiliwa mdomoni mwake na mafisadi wa kizungu wakristo.

Unamkumbuka mwanamke huyo hapo chini?.Huyo ni Ayaan Hirsi Ali ,tapeli aliyewahadaa wazungu wenye kupenda matusi kwa uislamu na akaweza kupata vyeo vikubwa katika serikali ya Nertherlands.Yeye ni mwenye asili ya kisomali.Ili kujipatia faida ya kidunia aliamua kuutukana uislamu kadiri alivyoweza.Wazungu wakamuona mtu wa maana na kumkumbatia.Hatimaye ilipogunduliwa kwamba wamedanganywa bunge na serikali vikavunjika.
Kwa malengo yao na kupenda kuupiga vita uislamu hadithi za Akech huchaguliwa na kutumika muda ukifika kama huu wa kura ya maoni ambayo wao ndio waasisi wake.
Kuna taarifa kwamba shirika la msalaba mwekundu lilisaidia kufanikisha mapinduzi ya Zanzibar kwa kuwakimbiza wazanzibari wenye asili ya kiarabu huku wenyewe wakidhani wameokolewa na shirika hilo.Hii ndio sababu inayofanya Kiswahili nchini Oman iwe ni lugha ambayo kila unapokwenda utaizungumza.

Kukaa kwako Sudan hakukufanyi ujue kila kitu kinachoendelea humo.
Jiulize CHADEMA ambao ni watu wa humu humu walivyotiwa mkenge na CCM katika uchaguzi uliopita.Kabla uchaguzi haujafanyika walikosa viti na kubaki kuduwaa tu.Wana jamii forums walijitia kujua sana na kutoa takwimu nyingi kumbe nyingi za kudanganyana wenyewe kwa wenyewe.
Maalim Seif ni makamo wa kwanza wa rais huko Zanzibar.Kuna mambo ya uchaguzi yaliyofanyika ndani ya jimbo analoishi na amebaki kushangaa tu,itakuwa wewe mgeni wa kupita huko Darfur?.
Nyerere kama Marekani hawapaswi kufanywa rejea ya jambo lolote la maana.Wameshindwa na kudanganya sana katika uongozi wao.

Stupid morons can not hide on their shells forever..he he he..

Atazunguuka weee, mara sijui kujitenga Sudan sijui waafrika na waarabu, lakini kama nilivosema mwanzo, hoja kuu ya huyu al Qaeda, AMI , ni usilamu. Hana agenda nyengine.

BTW, labda utuambie uwongo wa Ayaan Hirsi dhidi ya Uislam ni upi? Kuvunja kwake serikali(kama ulivosema) kulihusika vipi na uwongo wake dhidi ya Usilamu? Last time I checked, serikali ilivunjika kwa sababu ya forgery alizofanya wakati wa kuomba hifadhi ya ukimbizi, na sio vinginevyo.
 
Africa: Forging Ahead- President of Southern Sudan Salva Kiir speaking at the Congressional Black Caucus Foundation, Inc. (CBCF) 2010.
 
Last edited by a moderator:
Africa: Forging Ahead- President of Southern Sudan Salva Kiir speaking at the Congressional Black Caucus Foundation, Inc. (CBCF) 2010.

emt umerudi!.Nilitaraji kwanza ungelikuja na jibu juu ya utumwa na watumwa.

Hii video uliyoweka kwa U-tube ni ndefu kuiangalia,imebidi niingalie kwa kuikata kata.

Nichogundua ni kuwa Salva Kiir anazungumza Kiiengereza kwa taabu chenye lafdhi za kiarabu sawa na raia wengine wa Sudan.Alikuwa anasoma mwanzo mpaka mwisho mbele yake akisikilizwa na wabaguzi.Huyu Salva Kiir ni ndugu zaidi na akina Omar Albashir kuliko hao wazungu waliomfadhili na wanaomtumia kuvunja umoja wa Sudan.
Nimeangalia hii taasisi ya kibaguzi the Congressional Black Caucus Foundation, Inc. iliyomfadhili kuzungumza.Yenyewe imeanzishwa 2006.
Katika kujieleza kazi zake sehemu moja inasema:
The Leadership Institute for Public Service prepares the next generation to take its place in community service and policy development arenas. The Leadership Institute's primary goal is to increase the pool of black leaders in community-based programs and public service careers.
Angalia hapa hii taasisi inavyoendekeza ubaguzi wa kila aina.Video za kikanisa tele.
Wakati sisi hapa tunapinga ubaguzi,ati mwarabu anambagua mwafrika!.Hapa sasa taasisi ya kikristo inahamasisha ubaguzi wa mweusi kwa mweupe.Ukisikia kuruka majivu na kukanyaga moto ndiko huku.
 
Last edited by a moderator:
ultimately south sudan people will make their choices and none of us will vote there! Let us wait, see ans accept their consent. I hope hakitatokea kilichotokea Tanzania! Mungu Ibariki Afrika
 
Kwa kweli dini inawapelekea watu wengi kutoona ukweli. kwa dini ya Kiislamu ndio hasa.
Mwaka 2005 wakati wanakubaliana wasudan kusitisha vita na kuweka muda wa kutawala Sudan kusini kabla ya kura ya maoni niliongea na ndugu yangu mmoja kuhusu kujitenga kwa Sudan kusini. Kitu ambacho sikumwelewa ni pale alipotetea dikteta na muuaji Bashir eti anaonewa na nchi za magharibi. Yaani hakuwa na furaha yoyote kwamba waafrika wenzake wamepata uhuru ila alimlilia Bashir eti kwa vile ni Muislamu. Hapa unaweza kukubaliana na watu wengi na wanasaikolojia wanaosema kuwa uislamu is brain washing. Yaani mtu hawezi kuona reality. Wakristo wangekuwa na imani kama hizi za wenzetu hata huo uhuru tusingeupata make tungemwona Mzungu yuko sahihi tu hatakama anatutawala. Kwanini wanafurahia kwisha kwa ubaguzi wa rangi Afrika Kusini? Hawa ni wanafiki make inamaana ingekuwa Mwarabu ndo alikuwa SA wangesema wanamwona mwarabu mwislamu mwenzetu bora wamwache azidi tu kuwabagua hao wenzetu waafrika. Hawa watu kwa kweli ni wa kuwahurumia sana. Kungekuwepo na hospitali ya kubadilisha ubongo na kuleta mawazo mapya hawa watu wangeombwa kama wanataka kujua ukweli wa mambo wakubali wabadilishiwe hizo bongo zilizochakachuliwa na dini hata kwa muda mfupi tu ili waone tofauti na ukweli ulipo. Utawaonea huruma kwa jinsi wanavojichoma mioyo kwa imani na siasa kali lakini huwezi kuwasaidia make sumu waliyowekewa na dini ni hatari na ni wabishi kuliko jua. Sisi tunabaki tunawaangalia na kuwaonea huruma na hapo ndipo wenyewe wanajisifia wana akili sana na ukweli wanaujua kumbe waungwana hatusemi tu kuwaambia mmekuwa MACHIZI.

Wewe Thesi ni mgeni hapa JF na umekuwa brainwashed na kanisa.
Kuhusu nani walioleta uhuru Tanzania hebu jitafutie muda wa kutosha kusoma huu mjadala:Ukweli kuhusu waasisi wa Tanu.Utaona mwenyewe na kujuwa kuwa hayo mawazo yako ni kinyume na ukweli ulivyo.
Ikiwa huna cha kuchangia kuhusu Sudan bora ujipumzikie.
 
emt umerudi!.Nilitaraji kwanza ungelikuja na jibu juu ya utumwa na watumwa.

Hii video uliyoweka kwa U-tube ni ndefu kuiangalia,imebidi niingalie kwa kuikata kata.

Nichogundua ni kuwa Salva Kiir anazungumza Kiiengereza kwa taabu chenye lafdhi za kiarabu sawa na raia wengine wa Sudan.Alikuwa anasoma mwanzo mpaka mwisho mbele yake akisikilizwa na wabaguzi.Huyu Salva Kiir ni ndugu zaidi na akina Omar Albashir kuliko hao wazungu waliomfadhili na wanaomtumia kuvunja umoja wa Sudan.
Nimeangalia hii taasisi ya kibaguzi the Congressional Black Caucus Foundation, Inc. iliyomfadhili kuzungumza.Yenyewe imeanzishwa 2006.
Katika kujieleza kazi zake sehemu moja inasema:
The Leadership Institute for Public Service prepares the next generation to take its place in community service and policy development arenas. The Leadership Institute's primary goal is to increase the pool of black leaders in community-based programs and public service careers.
Angalia hapa hii taasisi inavyoendekeza ubaguzi wa kila aina.Video za kikanisa tele.
Wakati sisi hapa tunapinga ubaguzi,ati mwarabu anambagua mwafrika!.Hapa sasa taasisi ya kikristo inahamasisha ubaguzi wa mweusi kwa mweupe.Ukisikia kuruka majivu na kukanyaga moto ndiko huku.

Wewe endelea kupiga kelele lakini the fact is that from next year Southern Sudan itakuwa an independent country, and there nothing you can do to stop this happening. Pia hata kama unatetea Sudani ya Kusini kutojitenga usipoteshe watu. Unasema Congressional Black Caucus Foundation, Inc. iliannzishwa 2006. Huko ni kupotosha watu and dont think will help you.

Founded in 1976 Congressional Black Caucus Foundation, Inc envisions a world in which the black community is free of all disparities and able to contribute fully to advancing the common good. Its mission is to advance the global black community by developing leaders, informing policy and educating the public. So stop lying to people. Haitakusaidia. Pia sidhani kama utaisadia hii forum kwa kuweka habari potofu ambazo hujazifanya utafiti.
 
Kuna watu humu ndani ya JF hawana Respect na dini za watu wengine. Kwa hiyo, dawa ya moto, ni moto.

Sasa wewe john mbona unakuwa kama kipofu, ina maana wee huoni tofauti kati ya TZ na Sudan? Nakubaliana na aliyesema una mawazo mgando. Unasema kusini ni masikini kwa sababu ya udini wa Nyerere. Hujui kuwa bila nyerere kungekuwa na tofauti kubwa kati ya wakristo na waislam, maana hadi nchi hii inapata uhuru kulikuwa na shule za mission nyingi kuliko hata za serikali.

Unatakiwa ujue kuwa waarabu wa Sudan ni viumbe wabaya kabisa katika historia ya waafrica. wamefanya ukatili wa ajabu tangu miaka mia tatu iliyopita. Hebu kumbuka historia ya Darfur, Falme za meroe na Nubia utajua ni kwa jinsi gani waafrika walivyofanyiwa ukatili. Na hivyo kulinganisha TZ na Sudan ni kuidhalilisha mno TZ na kuonesha jinsi ulivyokosa uzalendo kwa nchi yako labda kama sio mtanzania. Au inawezekana wewe ni mwarabu sasa unataka uendelee kutuvuruga lakini kama wewe ni mwafrika unatakiwa uiunge mkono Sudan ya kusini ijitenge haraka.
 
Hii article ni moja ya mfano kwamba Wazungu wanataka Sudan igawanyike kwa sababu ya Resources. Hamna sababu kubwa ambayo inaifanya US kushabikia kugawanyika zaidi ya resources. Marekani ni nchi yenye ubaguzi mkubwa juu ya Black American, lakini hatuoni progress yoyote inayofanywa na Marekani ktk kupunguza umaskini wa black American.
Ktk Sudan, US wanataka Oil kutoka Sudan na wanajua China wana dili kubwa sana na hawa Wasudan. Kama mgawanyiko ukiweza kutokea, Marekani itakuwa na nafasi kubwa sana ya kukonctroll oil kutoka South Sudan.
Hivi ni vita vya resources kati ya Marekani na China. Kazi ipo..

Washington (CNN) -- The Obama administration has offered to speed up Sudan's removal from its list of state sponsors of terrorism if the Khartoum government fulfills its obligations under a 2005 peace accord, senior State Department officials confirmed Monday.
Sen. John Kerry, D-Massachusetts, presented the proposal to Sudanese officials during a weekend visit, the officials told reporters on background, meaning the information cannot be attributed to them by name.
The proposal has no impact on Sudanese President Omar al-Bashir's arrest warrant by the International Criminal Court for alleged war crimes and crimes against humanity, the officials said. It also is separate from U.S. sanctions against Sudan over the humanitarian crisis in the Darfur region, they said.
The U.S. proposal to the East African nation called for dropping Sudan from the terrorism sponsor's list in mid-2011 if Bashir's government recognizes the results of the upcoming secession referendum by south Sudan, the State Department officials said.
Sudan was included on the U.S. list in 1993 and has been pushing for years to be removed, the officials said. Prior to the new administration proposal, the earliest possible date for removing Sudan from the list was considered to be the end of 2011 or in 2012, they said.
The referendum, part of a 2005 peace agreement, would allow the autonomous southern region -- which holds a majority of the nation's oil -- to secede from the north. The two-decade conflict led to the deaths of 2 million people, many from starvation.
Kerry said in a statement that President Barack Obama "made clear in the proposal conveyed this weekend that if Sudan's leaders take concrete steps to implement the Comprehensive Peace Agreement, including recognizing the results of the referendum in January, he is prepared to immediately take significant steps to begin to transform the bilateral relationship."
The secession referendum is considered a possible make-or-break event for the peace accord. Observers fear all-out war between the Khartoum-controlled north and southern Sudan if the government is perceived to have undermined the voting or refuses to accept the result.
The Sudanese peace agreement also calls for a separate referendum for residents of Abyei, a border area that has oil reserves, to decide if they want to join the north or south.
According to the State Department officials, the U.S. proposal is intended to encourage Sudan to fulfill its obligations under the peace agreement and therefore has no direct connection to the Darfur sanctions.
"By doing this, we would also be decoupling the state sponsor of terrorism from Darfur and from the Darfur issue," one of the officials said. "But by doing this, we would in no way undermine the importance that we attach to having a resolution of the humanitarian and political problems that have plagued Darfur for the last decade."
Kerry also said the Darfur situation was part of the overall formula for improved relations with Washington.
"I made clear in every meeting that many steps on the road to improved relations could only be taken with real progress in achieving lasting peace and security in Darfur," Kerry's statement said. "The United States stands ready to help, but the choices necessary to move forward ultimately lie with the Sudanese leaders."
Darfur, in western Sudan, has been beset by conflict since 2003 after rebels began an uprising against the Sudanese government.
To counter the rebels, Arab militias with ties to the Sudanese government went from village to village in Darfur, killing, torturing and raping residents there, according to the United Nations, Western governments and human rights organizations. The militias targeted civilian members of tribes from which the rebels drew strength.
The United Nations estimates that 300,000 people have been killed in the conflict in Darfur, and 2.5 million have fled their homes. Sudan denies the death toll is that high.
CNN's Tom Cohen contributed to this story.

Sasa USA na china kila mmoja ana maslahi yake, lakini kila mdau ana maslahi yake. Nchi za kiarabu zinapinga kujitenga kwasababu zinajua waarabu wenzao wa kaskazini mwa sudan watakuwa wamepoteza resources. Basi hata sisi waafrika lazima tujue maslahi yetu, bila shaka sisi tutafaidika zaidi sudan kusini ikijitenga kuliko ilivyo sasa, kwanza mateso ya ndugu zetu yatapungua lakini vilevile kibiashara sudan kusini itakuwa karibu zaidi na EAC kuliko ilivyo sasa
 
Mimi sina uhusiano na huyu mama
unaposema tunafanana .Fafanua
Usipofanya hivyo nachukulia umeshindwa na hoja za kuendelea na huu mjadala.

Hapa hamna mjadala wa maana ila ni kuwa waafrika wazalendo wanajaribu aidha kumwelewesha mwarabu aitwae Ami atambue kuwa tunatetea haki za waafrika wa Sudan kusini au wanaongea na mwafrika mwenzao lakini taahira asiyejua nafasi yake duniani
 
As much as i hate the Janjaweed wewe unatakiwa kwenda kujifunza mafuta ya Sudan yapo wapi, halafu ujuwe ni ya kiwango gani na ni nani anachimba huko (kwa upuuzi wako ni wachina). Alafu ndio ujue janjaweed wanapigana kwa nini na wakina nanii na wapuuzi rebels wanatumia tactics at the cost of those civilians kwakujificha huko. Then ujiulize nani ana wa arm hawa rebels kupitia kenya to Uganda. Umjue mshenzi mwenyewe acha tabia za kuchotwa akili kama America inavyokuchota. Amini mungu kwa sababu zako na si za kupewa **** we.

Im here all day kukujibu ujinga wako na kukufundisha imani yako aina maana uhuu saliti uafrika wako hivyo ni vita vingine ndugu ambavyo havikuhusu wewe na participants dont give a fu#k about you.

Wee juma acha kutuletea habari unazopata kwenye vijiwe vya kahawa, unatakiwa uje na habari kama mtu mwenye akili timamu sio kupayukapayuka kama mtu anayekata roho. Kama hujui Janjaweed wanafanya nini na kwa maslahi ya nani ukae kimya sio unapotosha habari na kujifanya wewe ndo unajua mambo yaliyojificha. kama una uhakika na unachosema tu sources rasmi za habari hizo halafu tukuoneshe ulivyo mjinga maskini.
 
Kaka Kibona naomba niungane nawe kwa ulilosema juu ya maslahi,ama kwa hakika tuache unafiki kila anaye-comment kwenye hoja hii anasimama juu ya maslahi..Wamerekani na wachina kila mmoja ana maslahi anayoyetegemea kule Sudan,halikadhalika hao Waarabu wanaounga mkono Sudan Kaskazini nao wana maslahi yao..Nasi Pia kama wana Afrika Mashariki kwa ukubwa wetu yatupasa tuwe wakweli maslahi yetu yamelalia wapi??naungana nawe Tutakuwa karibu zaidi na Sudan Kusini itakapojitenga na kufaidika zaidi kuliko ilivyo sasa.

Lakini Pia embu tuone upande mwingine pia,wanasemaje Sudan Kusini wenyewe??maana ni suala la kura ya maoni,kama kweli kuna maslahi kubaki ndani ya sudan kura zitaamua..si wajinga wale waamue kujitenga kama kweli kubaki ndani ya sudan kwao ndiyo ingekuwa bora zaidi.

Lakini turudi nyuma pia,ni kweli kabisa Marekani kuna ubaguzi wa Blacks na ulikuwa mkubwa zaidi na wa wazi zaidi back in fifties and sixties ndio maana movements za blacks kupinga racial segregation zilikuwa kubwa na za wazi zaidi..huo ni ukweli na kila mtu anauona hivyo regardless mtu huyo ni muislamu au Mkristo,atakeyeona kinyume na hiki ni mnafiki..Sasa tuwe wazi pia kwa Sudan kama tulivyo wazi kwa America na China (juu ya haki za binadamu) Sudan ni shwari kati ya wale weusi na wale wenye asili ya Kiarabu??Historia inatupa majibu.

Ukweli u wazi-weusi wanakandamizwa huo ni ukweli na labda tuanzie hapo sasa.
 
Sasa USA na china kila mmoja ana maslahi yake, lakini kila mdau ana maslahi yake. Nchi za kiarabu zinapinga kujitenga kwasababu zinajua waarabu wenzao wa kaskazini mwa sudan watakuwa wamepoteza resources. Basi hata sisi waafrika lazima tujue maslahi yetu, bila shaka sisi tutafaidika zaidi sudan kusini ikijitenga kuliko ilivyo sasa, kwanza mateso ya ndugu zetu yatapungua lakini vilevile kibiashara sudan kusini itakuwa karibu zaidi na EAC kuliko ilivyo sasa

Kwanza lazima ujue historia vizuri ili ujue matatizo ya Afrika. Jiulize kwa nini Marekani nchi ambayo ina matatizo makubwa ktk haki za binadamu inataka watu wa Sudan wajitenge. Unajua sababu kubwa ya Marekani kutaka Sudan ijitenge, ni Resources.
Marekani haina mpango na Afrika, Marekani haiwatendei haki African American, kwa nini wanapigania zaidi Sudan ijitenge? Ni kwa sababu ya DOMINO FACTOR.
Marekani na China wapo ktk vita baridi vya kugombania resources ktk Afrika na dunia nzima. Marekani alikwenda kuivamia Iraq, kwa sababu alijua, iwapo Saddam atakuwa na Urafiki mkubwa na China, basi Marekani itakuwa imepoteza oil.
Sasa hivi China wanadili kubwa na Sudan, na iwapo kama nchi itajitenga basi, Marekani ndiyo watakuwa wa kwanza kupata hiyo dili ya resources.
 
Soma hiyo article. Hata kama nchi wataigawa, basi resources zitakuwa sawasawa.

Sudan has seen some of the most violent conflicts in Africa with mass displacement and charges of genocide.Now a referendum is likely to see the state divided between north and south in a rare redrawing of boundaries. Still economically interdependent, the two may not be able to afford more war.
Sudan's Comprehensive Peace Agreement (CPA) was signed five years ago. It set out a path to sustainable peace in Sudan, giving its southern citizens the right to a vote on selfdetermination within six-years. The Agreement was a deal between the Khartoum government, led by the National Congress Party (NCP), an adaptable and long-lasting alliance of Islamists, security men and financiers, and the southern-based rebels of the Sudan People's Liberation Movement (SPLM). These adversaries from one of post-colonial Africa's longest wars saw in each other ameans to perpetuate their hold on power.
The Agreement also dealt with the causes of Sudan's many long conflicts: a ceasefire that allowed the south to keep its own army, under the command of an autonomous southern government, financed from a share of southern oil revenues; the democratic transformation of the country's centre; investment in its vast, diverse and impoverished peripheries that had long been plundered by a powerful economic centre; and national reconciliation.
Many of the Agreement'smore ambitious aims have been discarded, but the two former adversaries remain in control of north and south as the interim period draws to a close: a referendum on Sudan's unity is scheduled for January.
Security Men

Both sides publicly acknowledge that southern voters will probably choose independence, a conclusion borne out by the rudimentary polling evidence. But the two parties to the Agreement committed to promoting the unity of the country, which complicates planning for the future.
Southern leaders code their calls for secession in lists of disappointments; northern leaders go slow on discussions of post-referendum arrangements, which cover economic issues such as currency and oil revenues; security questions like the future of themultiple armies; and constitutional matters of borders and citizenship.
Both sides are led by security men who share traditions of political brinkmanship which can bewilder outsiders. But both understand that there is a structural reason to keep peace between themselves: revenue fromSudan's oil.
Most oil reserves lies in the south, and most oil infrastructure is in the north. The Agreement gives half of southern revenues to the north and half to the south, keeping the peace between northern and southern armies. Both northern and southern regimes need the revenue to pay for pricey patronage systems that are the basis of their power.
This prickly interdependence is Sudan's alternative to national reconciliation; there was no progress whatsoever on the reconciliation required by the Agreement. At least the prickliness will not last forever: in the viewof the south's many proponents of unity the referendum gives southerners an opt-out that makes reconciliation between north and south unnecessary.
However, each side has taken steps towards reconciliation in its own sphere. The south was deeply fragmented during the war. Khartoum's army created militias from disaffected or desperate tribal elements, and the SPLM's actions sometimes created those desperate disaffections. In 2006, the SPLM concluded a deal with many of the Khartoum-aligned southern militias: the deal is the basis for Sudan's most durable ceasefire.
It incorporated former adversaries into the southern Sudan People's Liberation Army (SPLA), forming ethnically mixed units where former adversaries share command. This is costly reconciliation: most of the south's budget goes on the SPLA. Costs increased this month: a southern militia leader who rejected the 2006 deal is returning to the SPLA on a major-general's salary.
A less tangible cost of southern reconciliation relates to the SPLA's burgeoning social role. Its mixed ethnic units are giving the south a military template for national identity - as a liberation army, the SPLA can contribute to complex social and political tasks, but the risks of delegating national identity to the armed forces are heavy. Senior SPLA officers acknowledge that military leadership of society has costs: 'We're aware of that.We are forced by the north to do that. The north has decided to form militias. They are depleting our resources through those militias, whether fighting the more integrating them.'
At least the south has a template for national identity, andmeasures for reconciliation, its president, Salva Kiir, has asked people for forgiveness for SPLA's excesses. No northern leader has made such a request, even though northern society has always been remarkably merciful towards its rulers.
Scorched-Earth

Unlike the south, the north is still in a situation of armed conflict: a war in Darfur which began in 2003 has not yet been resolved, and it aggravates a different but related group of crises in the neighbouring state of South Kordofan. There are separate tensions in Blue Nile state, which borders Ethiopia and the south. Like South Kordofan, Blue Nile has special rights to representation under the Agreement which may not be fulfilled. And the government has been conducting disarmament exercises in the national capital, once the peppery centre of opposition politics, now a centre of displacement formillions of people fleeing war or seeking economic possibilities.
Khartoum announced a new strategy for peace in September. Like the 2006 Darfur Peace Agreement (DPA) between the government and a handful of rebel factions, and unlike the Comprehensive Peace Agreement, the new strategy makes reconciliation a central goal: an acknowledgement that Darfurians do not have the alternative of political separation southerners have.
But at the same time that Khartoumis calling for reconciliation, it is pursuing the type of counter-insurgency that once caused somuch damage in the south. In 2003, the government persuaded some of the poorest and ecologically beleaguered Darfur tribes that they were its ethnic allies, and used them to carry out a scorched-earth policy against the ethnic constituencies of Darfurian rebels: Arabs versus Africans, in the clumsy ethnological shorthand of international human rights advocacy.
Millions were displaced from farms to urban shanties, and the government's ethnic allies then began to fight over the emptied rural land.The government has encouraged this competition, giving some sub-groups amongst its allies weapons and pensionable posts in new, poorly-disciplined security forces; and disarming other sub-groups.
One conflict between these former allies in the eastern foothills of the Jebel Marra, the massif at the centre of Darfur, has probably led to hundreds of deaths since January; tribal leaders failed to reach a peace deal in September.
Khartoum, which thoroughly distorted tribal structures by incorporating them into counterinsurgency strategies, now optimistically expects to reconstruct themas brokers of reconciliation and repositories of forgiveness. Tribal authorities are the cornerstone of its reconciliation policy in Darfur, but they may not have the political weight to deliver it.
The NCP's leadership always represented the interests of a few ambitious minorities. It took control of the country in 1989, during a long economic crisis deeply aggravated by international financial institutions. Without support, or resources to buy it, they embarked on a policy of factionalising political rivals. They foisted multiple rival leaders on the tribal authorities that run much of the rural north. In the cities the NCP divided political parties into competing factions with names that even political scientists scarcely remember - Umma Reform and Renewal, Umma Collective Leadership, Federal Umma - just a few of the variants on what was once the biggest parliamentary party. Factionalisation was achieved through patronage that offered clients small tailored rewards and maintained the economic dominance at the centre of the state of the Islamists, financiers and securitymen.
The NCP system was resilient enough to deal with a major split in the Islamist movement in the late 1990s - Islamists are now on different sides of the war in Darfur - but the NCP does not appear to have thought up an alternative. This means that, unlike the SPLM and its army, the NCP may not have a template for national identity if the south separates.
Islam could have been such a template - southerners are mostly non-Muslim, while northerners are mostly Muslim. And the Islamist NCP was the first northern government to accept the southern right to self-determination, in part because it saw the non-Muslim south as an obstacle to its religious project.But even otherwise cautious NCP leaders reject the possibility of rallying the Islamist movement with unhesitating firmness. What other routes to reconciliation exist?
Divided and Unequal

Reconciliation is not just therapeutic. Sudan is one of the most divided and unequal countries in the world - differences in materna lmortality at the centre of the state and its periphery starkly illustrate that inequality. A 2006 household survey showed that 94 women died for every hundred thousand pregnancies in Northern State - part of the cultural and economic heartland - a figure comparable with Egypt or Nicaragua. In South Darfur, 1581 women died, a figure comparable with Afghanistan,which has the second-worst rate in the world. But Western Equatoria,with amaternal mortality rate of 2327, has the world's worst record.
The government's latest strategy for peace in Darfur comes with the promise of nearly two billion dollars of investment over four years, but it failed to invest much more modest figures promised in the Comprehensive Peace Agreement. Both northern and southern governments will probably not be able to afford to change their patronage systems to address the tragedies of inequality; they will postpone changes until the oil runs out. But they cannot afford a war between themselves either
 
Wewe endelea kupiga kelele lakini the fact is that from next year Southern Sudan itakuwa an independent country, and there nothing you can do to stop this happening. Pia hata kama unatetea Sudani ya Kusini kutojitenga usipoteshe watu. Unasema Congressional Black Caucus Foundation, Inc. iliannzishwa 2006. Huko ni kupotosha watu and dont think will help you.

Founded in 1976 Congressional Black Caucus Foundation, Inc envisions a world in which the black community is free of all disparities and able to contribute fully to advancing the common good. Its mission is to advance the global black community by developing leaders, informing policy and educating the public. So stop lying to people. Haitakusaidia. Pia sidhani kama utaisadia hii forum kwa kuweka habari potofu ambazo hujazifanya utafiti.

Wewe una majibu ya kishabiki na kiubishi kama wana Chadema kabla ya uchaguzi uliopita.Matokeo yalipokuwa tofauti hawana la kusema.
Huko nyuma nimekusisitiza uje na majibu ya utumwa na watumwa kama ulivyokuwa ukijadili kwa hamasa kuhusu Sudan,bado hujaleta.Unaendelea kutafuta vijambo vidogo vidogo vya kupoteza muda.
Kuhusu hiyo taasisi ya kibaguzi kuanzishwa mwaka 1976 au 2006 si jambo kubwa.Mimi nimeona na kunakili maandishi yao kwamba ni 2006.Muhimu ni kuwa hii taasisi inasimamia ubaguzi wa rangi wa mweusi na mweupe unaolenga kuleta choko choko Sudan.
Kuhusu kujitenga kwa Sudan ya kusini inawezekana isitokee kwani hizi ni kura.Lakini hata ikitokea mimi iwapo itatokana na ukweli hainikeri sana.Najua hatimae wanaAfrika mashariki hasa wakristo watachukia,kwani Kiarabu itabidi iwe luglha yetu ya tatu.Wale watu wakiingia mitaa ya Nairobi na Dar es salaam watachangamsha sana.Kwamba wasudan wa kusini wengi ni wakristo na wakatoliki si kweli.
 
Isllam1.jpg holocaust.jpg Isllam3.jpg

Now Ami be happy :lol:
 
Kwanza lazima ujue historia vizuri ili ujue matatizo ya Afrika. Jiulize kwa nini Marekani nchi ambayo ina matatizo makubwa ktk haki za binadamu inataka watu wa Sudan wajitenge. Unajua sababu kubwa ya Marekani kutaka Sudan ijitenge, ni Resources.
Marekani haina mpango na Afrika, Marekani haiwatendei haki African American, kwa nini wanapigania zaidi Sudan ijitenge? Ni kwa sababu ya DOMINO FACTOR.
Marekani na China wapo ktk vita baridi vya kugombania resources ktk Afrika na dunia nzima. Marekani alikwenda kuivamia Iraq, kwa sababu alijua, iwapo Saddam atakuwa na Urafiki mkubwa na China, basi Marekani itakuwa imepoteza oil.
Sasa hivi China wanadili kubwa na Sudan, na iwapo kama nchi itajitenga basi, Marekani ndiyo watakuwa wa kwanza kupata hiyo dili ya resources.

Sasa John kumbe unajua kuwa USA na China wako ktk vita baridi vya rasilimali za Sudan mbona sasa wewe unakuwa kama umechagua kuiunga mkono China, kwani China ndo ina lengo Zuri na Sudan? Naomba na wewe ukae chini na kufikiria kuwa maslahi yako kama mwafrika na sio mwarabu yako wapi? bila kuangalia chuki uliyonayo dhidi ya Marekani maana ukiruhusu chuki itawale akili yako utajikuta unaona waarabu ni ndugu zako kuliko waafrika wa sudan kusini.

Mie historia ya sudan naifahamu vizuri na ninaamini kabisa kuwa muungano si kitu pekee kinacholeta maendeleo ya binadamu mfano muungano wa TZ haujaifanya TZ kuendelea zaidi kuliko nchi zisizoungana. Pia wakati muungano wa Comoro una matatizo makubwa angalia jinsi Mauritius inavyoendelea bila kuungana na nchi yoyote. Kwa hiyo wewe huwezi kusimamia hoja ya umoja wa Sudan kama ndio njia pekee ya maendeleo ya Sudan bila kujali hali mbaya inayowakabili ndugu zetu waafrika.

Aidha usijidanganye kuwa eti wakitengana watagawana rasilimali kwa kiwango sawa. Mipaka ya Sudan kusini inafahamika isipokuwa kwenye jimbo la Abyei ambako watu watapiga kura ya kama iwapo wajiunge kusini au kaskazini. Sasa ktk hali hiyo haiwezekani Kaskazini ije igawiwe visima vya kusini hilo sahau. na pia jangwa(kaskazini) haliwezi likawa sawa na Equatorial climate(kusini) kama huamini hilo tusubiri mwakani.

Halafu rafiki yangu John usikubali kusaliti uafrika wako kwa sababu ya hisia za kidini, walau jaribu kuangalia Maslahi ya vizazi vyako vijavyo. Unajua kumjali ndugu yako sio lazima awe anakupa chakula ila ni kuwa hata kama yeye akifanikiwa wewe utajisikia vizuri. Mfano ni kuwa kabla Kikwete hajawahi kuwa rais sikuwahi kusikia mtu akisema yeye ni mkwere lakini alipopata urais nikaanza kujua kumbe kuna wakwere maana kila mkwere alikuwa akijitambulisha hapa haina maana kuwa kila mkwere alifurahia urais wa kikwete kwasababu anapewa chakula la hasha ila heshima waliipata wote. Vivyo hivyo Sudan kusini wakiendelea ni heshima kwa waafrika wote lakini kwa sasa waafrika wote tunadhalilika.

John msimamo na mtazamo kama wako ndio umewafanya hata BAKWATA wawe wanafanya mambo ya ajabu wanaandamana kupinga uvamizi wa Marekani Iraq na Afghanistan lakini hawaoni kinachotokea Darfur, Kashmir, Somalia, Pakistan. Sijui wanaokufa huko sio waislam? au mtu akiuwawa na muislam ndio halali.

Kuhusu kujua historia ya sudan naijua sana na ndio maana nimefika mahali nikaona jambo jema hapo ni Sudan ya kusini kujitenga maana nikiondoa vita vilivyopiganwa wakati wa vuguvugu la kueneza Uislam hivi vya baada ya uhuru vimepiganwa mara mbili vya kwanza ni vile vya Anyanya na serikali ya sudan ambavyo navyo vilichukuwa zaidi ya miaka kumi na saba halafu ndo vikaja hivi vya SPLA. Sasa hapa sio mahali pa kuandika historia bali kutoa maoni ndomaana siwezi kuandika historia yote ili upate mzizi wa fitna
 
Kibona mchango wako umejaa ujinga na ubaguzi.
Wakati unatetea maendeleo na hadhi ya mwafrika unasahau kuwa wasudan wote ni waafrika.Ujinga wako upo pale unapomwambia John:
"Halafu rafiki yangu John usikubali kusaliti uafrika wako kwa sababu ya hisia za kidini...."
Umesema wewe umekaa na unaijuwa Sudan.Naomba tufahamishe na utuoneshe waarabu wa Sudan wamekaaje na wanakaa wapi.Papo hapo tuoneshe wanapokaa waafrika wengine wasiokuwa waarabu.Baada ya hapo huenda tutaelewana kwenye huu mjadala.
Kwenye hisia zako nimegundua umeathirika sana na mawazo ya kibaguzi yanayosimamiwa na kanisa.Hili wamelifanya kwa mafanikio makubwa Tanzania na sasa ndio kanisa linavuna kwa kutoa wahitimu wa mawazo ya kibaguzi kama wewe.
 
Tuelimishane kidogo, hakuna njama za kuimega Sudan. Referrendum ni utekelezaji wa kipengele muhimu cha Mkataba wa amani wa Sudan (CPA) uliofikiwa 2005. Mkataba huu ulikuwa ni ushindi mkubwa kwa wasudan na jumuiYa ya kimataifa kwani ulimaliza vita iliyodumu kwa zaidi ya miaka 30 (1956-1972) na (1983-2005) na kusababisha vifo vwa watu wapatao milioni mbili!! Wakati mkataba huu unafikiwa hii vita ilikuwa "chronic" na jina na John Garang lilikuwa "never miss" kwenye BBC. Katika Mkataba wa CPA, kulikuwa na kipengele kwamba ndani ya Miaka mitano baada ya kusainiwa mkataba kama serikali ya Sudan ikishidwa kufanya muungano uwe kuvutio ("to make unity attractive") kwa watu wa Southern Sudan, basi watu wa Southern Sudan watakuwa na haki ya kuamua hatma yao kwa kupitia Referrendum. Mpaka sasa serikali ya Sudan haijafanya chochote (tangu 2005) kuwaridhisha watu wa Southern Sudan wakubali "unity," kwa hiyo watatumia haki (chini ya CPA na "Referrendum Law" iliyopitishwa kutekeleza CPA) kupiga kura ku-"separate." Kwa hiyo hizi si njama. Ni wasudan wenye wameamua na bunge limeridhia kwa kupitisha sheria ya "Referrendum." Lingine la kufahamu ni kwamba wananchi wa Southern Sudan wamepoteza kabisa imani ("trust") na Serikali kwani wamenyanyaswa kwa muda mrefu. Hivi majuzi Riek Machar, Makamu wa rais wa Serikali ya Southern Sudan aliulizwa msimamo wake kuhusu "Referremdum" akasema kwa hali ilivyo sasa, hata kama Serikali ya Sudan ikifanya maendeleo ya haraka haraka na kuindeleza Juba (mji Mkuu wa nchi mpya ya Southern Sudan) kabla ya Rererendum na kufanana na Dubai, yeye hatapigia kura kuunga "unity" sababu haiamini serikali ya Sudan!!
 
Wooooote wanaoilaani Marekani hapa ni wanafiki tu ikitokea scholaship wakaambiwa wachague nchi yoyote ya kwenda duniani watachagua No. 1 Marekani wala hawatachagua kwenda Sudan, Southern Sudan sijui, China, Saudi Arabia, Iraq, Iran, Somalia, Wala Egypt narudia kwa msisitizo wote watakwenda Marekani na hakuna atakaye chagua kwenda nchi yoyote ya Kiarabu wote wataenda West. Naye huyo Ami anailaani bure tu Marekani wakati hata location yake ni Space Station iliyojengwa na hao hao Wamarekani...teh teh teh au Wasudan nao wanaubia huko Space Station...wajinga ndio waliwao.!Kalaghabao!
 
OFF Topic!!
 
Back
Top Bottom