Njama za kuimega Sudan

Sasa mbona mwanzo umesema kwamba Wakristo wa Sudan wanaonewa. Sasa unaona unaleta double standard. One side unasema bora wajitenge, and the other side unasema watu wa kusini mmekalia ardhi. Double Stardand.

Wewe naona hujui unenalo,,,,,,,,naona bado umelewa dini,,,,pole saana,,,,,,,,,ANGALIA KWENYE POST YANGU YA KWANZA,,,,,,,NILICHOKIJIBU NI MALALAMIKO YAKO KWAMBA NYERERE ALIONEA MIKOA YA KUSINI NA kati ya upupu wote ulioandika mie nime quote paragraphy ambayo uliandika hivyo,,,kama mawazo yako na akili zako zinashirikiana vizuri ukisoma utaelewa sikuzungumzia jambo lolote linalohusu Sudan kwenye hiyo post,,,
 
achananae mi naona John 10 ni mtu tu
ambae anatafuta ogomvi..
 
Nyerere kawafunga Waislamu kibao TZ. Mikoa yote ya kusini haina maendeleo kwa sababu ya Ubaguzi wa Nyerere kwa Waislamu. Kama Sudan wakiweza kujitenga basi mpango maalum uandaliwe ili TZ ijitenge pia. Waislamu wamechoka kuonewa na Wakristo.

Ndugu yangu Matatizo ya maendeleo ya waislamu wa Tanzania ni ya kihistoria Tanzania na sio suala la kumlaumu nyerere wala kiongozi yoyote,

Waarabu ndio walikuwa wageni wa kwanza kufika East Africa (Kilwa), lakini hakuna hata shule moja waliyojenga zaidi ya kutuachia Makaburi tu, Suala la Elimu kwa Muislamu lilikuwa sio kitu raisi hata kidogo kukikubali
Mimi nimesoma hapa Dar kwenye miaka ya 80s, nakwambia ukweli darasa lilikuwa linajaa wakristo tu, Waislamu wakija siku mbili siku tatu wako chuo, walimu wanatuambia tukawatoe chuo kinguvu waje shule na inakuwa ni mbinde kuwatoa maustadhi wanaweka kei na shule kwamba tunataka kuwapoteza watoto wao,
NDugu Nyerere kwa kulijua hilo halizitaifisha shule zote za misheni na kuzifanya za serikali ili kila mtu hata muislamu aende shule na waislamu wengi (Lipumba, JK, Kagasheki, Kalamagi, Kaborou, Kapuya nk) walipita kwenye hizo shule zilizokuwa za misheni
Kumsema nyerere ni kumuonea tu alijitahidi sana kuwainua Waislamu wa Tanzania, lakini tatizo kubwa lilikuwa uelewa mdogo na kuchukulia dini kuwa ndio msingi wa maisha bila kisomo cha kidunia
 
kaka inaonekana huijui sawa sawa historia na hali halisi ya sudani. Sudani ya kaskazini inawabagua wa sudani kutoka kusini eti sababu sio waarabu na sio waislamu na wanawabagua wa darfur eti sababu sio waarabu ijapokuwa ni waislamu(kichekesho hicho.
Jamaa toka kusini mwa sudani na wa daarfur wako kama second class, na maisha yao kaka yanasikitisha sanaa. Sudani ya kusini kama ulivyosema ambao wakristo wako wengi maisha yao ni ya duni na utajiri kama kusini kuliko kaskazini. Cha ajabu wananyonywa hao wa kusini huwezi amini.
Sasa kama wewe unanyonywa, unabaguliwa eti sababu wewe ni mkristo na unawekwa ktk second class sasa kuna haja ya kuungana na mwenzako ijapo hakuthamini.

Huyo alievaa kofia ya pama na suti ni raisi wa sudani ya kusini na huyo askali mrefu ni bodygurd wake

Kwenye red, most likely ndiyo kundi la mleta mada kama angekuwa Sudan..uarabu wenyewe wa bashir ni wa kuchakachuliwa..hivi huyo jamani si mwarabu koko, chotara? Wajinga hawa!
 
kwanza sikubaliani na wewe hapo nilopo highlight red....
mimi nafahamu dawa ya moto ni maji na si moto..........
na kingine ningeomba uwaandikie hao wana JF
comments kwenye inbox zao...
kuliko kuja hapa na kutoa maneno makali sana
za kutaka kuwatenganisha waislam na wakristo hapo TZ..
na si mimi tu naamini wengi huku ndani hawakubalia nawe..

Nakubali kwamba unataka kuleta umoja na mshikamano, ambao ni muhimu kwetu sisi. Lakini angalia ktk hizi topic zinazohusu Waislamu zinavyoshambuliwa na hawa Christians Fundamentalists, kama Max Simba, huyu mpagani aneyejiita Abdulhalim nk.
 
Ndugu yangu Matatizo ya maendeleo ya waislamu wa Tanzania ni ya kihistoria Tanzania na sio suala la kumlaumu nyerere wala kiongozi yoyote,

Waarabu ndio walikuwa wageni wa kwanza kufika East Africa (Kilwa), lakini hakuna hata shule moja waliyojenga zaidi ya kutuachia Makaburi tu, Suala la Elimu kwa Muislamu lilikuwa sio kitu raisi hata kidogo kukikubali
Mimi nimesoma hapa Dar kwenye miaka ya 80s, nakwambia ukweli darasa lilikuwa linajaa wakristo tu, Waislamu wakija siku mbili siku tatu wako chuo, walimu wanatuambia tukawatoe chuo kinguvu waje shule na inakuwa ni mbinde kuwatoa maustadhi wanaweka kei na shule kwamba tunataka kuwapoteza watoto wao,
NDugu Nyerere kwa kulijua hilo halizitaifisha shule zote za misheni na kuzifanya za serikali ili kila mtu hata muislamu aende shule na waislamu wengi (Lipumba, JK, Kagasheki, Kalamagi, Kaborou, Kapuya nk) walipita kwenye hizo shule zilizokuwa za misheni
Kumsema nyerere ni kumuonea tu alijitahidi sana kuwainua Waislamu wa Tanzania, lakini tatizo kubwa lilikuwa uelewa mdogo na kuchukulia dini kuwa ndio msingi wa maisha bila kisomo cha kidunia

Hawa kina Kikwete, Lipumba, Kapuya ilibidi wabadilishe majina ili wasijulikane kama Waislam. Nyerere aliweka mtu wizara ya Elimu kuwakata Waislamu. Ukitaka kujua kwamba Nyerere aliwafanyia vibaya Waislamu, angalia kampeni za uchaguzi mwaka huu zilivyojaa Udini.
 
Nakubali kwamba unataka kuleta umoja na mshikamano, ambao ni muhimu kwetu sisi. Lakini angalia ktk hizi topic zinazohusu Waislamu zinavyoshambuliwa na hawa Christians Fundamentalists, kama Max Simba, huyu mpagani aneyejiita Abdulhalim nk.

Kwi kwi kwi...

Mimi naamini ktk Mungu bwana mdogo, technically ni agnosticism ambayo haikubali na wazo la kutokuwepo kwa Mungu...ila siamini ktk dini zenu zilizobuniwa na watu waliokuwa wakiishi mapangoni, wakinywa mkojo ya ngamia na kuchamba kwa mawe na mchanga..

Pole sana, ndio maana fikra zako zipo kushoto kwa kufuata dini muflisi kama hizi zinazosema jua linazama kwene matope. Ndio aina hii ya fikra zinakufanya umuabudu mwarabu kwa sababu alikuletea Koran/tende/na biashara ya utumwa na kumchukia mwafrika mwenzako kwa sababu tu kakataa kuwa puppet wa mwarabu na 'ustaarabu' wake (kama wewe).

Such a comedian.
 
Nakubali kwamba unataka kuleta umoja na mshikamano, ambao ni muhimu kwetu sisi. Lakini angalia ktk hizi topic zinazohusu Waislamu zinavyoshambuliwa na hawa Christians Fundamentalists, kama Max Simba, huyu mpagani aneyejiita Abdulhalim nk.
Huwezi kuwa na umoja na Mshikamano na mtu anaekudharau, asiekuthamini wewe kama binadamu, anaekufanya kuwa second class citzen.
Naunga mkono South Sudan Kujitenga maana mateso wanayoyapata kutoka kwa Waarabu wa Kaskazini ni Mengi mno. Nilivyokua Nairobi nilikuwa na marafiki wengi sana wakimbizi from Southern Sudan na walinieleza walivyopata mateso makali chini ya Utawala wa Waarabu mpaka wakabidi kuwa Wakimbizi.
Kwa anaeshabikia waendelee kukaa na watu wa Kaskazini ni kwa sababu tu hajui mateso wanayoyapata.

Kuhusu swala la Umoja, Southern Sudan watajiunga na EAC mara baada ya kura ya kujitenga itakapomalizika, kwa hiyo swala la Umoja si lazima wawe na Umoja wa watu wa Sudan Kaskazini, Wanaweza kuwa na Umoja na watu wa EAC ambao wanaelewana nao na kuwathamini kama binadamu.

Wanaotetea umoja wa Sudan ni kwa sababu tu ya Ujinga kwa kutokujua yanayotokea huko au ni kwa sababu ya Ushabiki wa kidini usiokuwa na maana yoyote:A S angry:
 
SALAAM ALEIKUM
Hapa ndipo ninapotofautiana na Waislamu wenzngu. Kwanza dini yetu inatuambia tusimssemehe vibaya marehemu kwa hiyo Nyerere tumwache apumzike kwa amani. Kabla ya kupata uhuru kiwango cha elimu ya waislamu ilikuwa ni ya chini sana ukilinganisha mara baada ya kupata Uhuru. Kabla na mara baada ya uhuru waislamu wengi hawakutaka kuwapeleka watoto wao shule wakihofia ya kuwa watalishwa nyama ya nguruwe. Sasa kilichotokea wenzetu wakristo walienda mbali sana kielimu dunia kuliko sisi. Mara baada ya Uhuru Nyerere alizitaifisha shule zoe za kidini ya kikristo na shule za Kihindi na kuwa za Kiserikali kusudi kuweza kuinua kiwago cha elimu ya waislamu. Ingekuwa kama Nyerere angetaifisha shule za kiislamu na fikiri waislamu wengi tungelalamika mpaka hivi leo na tungedai shule hizo zirudishwe. Sasa Nyerere kwa nini tumshutumu kuwa ana udini.
Kutengana na wakristo sijaona kama ni sababu ambayo itatufanya tuishi kwa amani. Sisi waislamu kaka nikwambie tunamatatizo makubwa sana. Ebu angalia nchi kama Pakistani ambayo wanaishi waislamu pekee yaoa wanavyouana. Wanadiriki hta kuuana ktk nyumba za ibada. Kweli Mungu alisema tuuane ktk misikiti. Angalia pale Somalia ni waislamu watupu angalia kasheshe lake. Yemeni nako umeona vumbi lake huko nako kutakuwa kama Somalia. Nchi nyingi za kiislamu ndugu yangu zinamatatizo. Sidhani kuwa wakristo ndio wanaleta matatizo. Matatizo ni sisi wenyewe.
Huko kusini mwa Tanzania wanabaguliwaje? tuletee data hapa ndugu yangu
Maasalam
 
kaka inaonekana huijui sawa sawa historia na hali halisi ya sudani. Sudani ya kaskazini inawabagua wa sudani kutoka kusini eti sababu sio waarabu na sio waislamu na wanawabagua wa darfur eti sababu sio waarabu ijapokuwa ni waislamu(kichekesho hicho.
Jamaa toka kusini mwa sudani na wa daarfur wako kama second class, na maisha yao kaka yanasikitisha sanaa. Sudani ya kusini kama ulivyosema ambao wakristo wako wengi maisha yao ni ya duni na utajiri kama kusini kuliko kaskazini. Cha ajabu wananyonywa hao wa kusini huwezi amini.
Sasa kama wewe unanyonywa, unabaguliwa eti sababu wewe ni mkristo na unawekwa ktk second class sasa kuna haja ya kuungana na mwenzako ijapo hakuthamini.

Huyo alievaa kofia ya pama na suti ni raisi wa sudani ya kusini na huyo askali mrefu ni bodygurd wake
Hukumaliza kuwatambulisha.
Huyo aliye nyuma ya askari mrefu naye ni nani.Yule askari aliye nyuma na miwani naye ni nani?.
 
jamani mnaenda nje ya mada tupo Sudani na si Tanzania, hata ufanyeje Tanzania haitamegeka yaani wewe ni pimbi tu, unafaa kufungwa na nikikushika nakusweka rupango. Jamani ukweli ni kuwa Sudani ya kusini ni hali mbay mno, itazame khartoun, ilivyo lakini kila ki2 wanategemea Kusini, na kama kuigawa Sudani ni suala la kimagharibi basi na waafrika nao ni wa magharibi, Egypt ndio iko mstari wa mbele kuchampion kujitenga kwa Sudani na wameanzisha diplomatic relations na Southern Sudani sas je huyu egypt ni Mzungu, mkriso au ?
halafu wewe uliechangia mabo ya nyerer utakuwa mbovu kichwani si bure, Hivi kuna Kiongozi aliefanikiwa Afrika kama yeye nitajie ,kwa ujinga wako na kutofahamu kwako utamtaja Mandela, jibu sasa
 
Waarabu wamewaua Waafrica wa kusini mwa Sudan amabyo wengi wao ni Wakristu na waabudu dini za asili kwa zaidi ya miaka 22 hivyo hakuna ubaya wakijitenga na uongozi dhalimu wa Khartoum kwani hata Kosovo, Bosnia-Herzegovina walijitenga baada ya waliokuwa wameungana nao kuwafanyia udhalimu. Ni hadi waarabu wajifunze kuishi na Waafrica kama watu wenye haki sawa ndipo Waafrica wataungana nao!
Hapa unachokizungumza ni chuki tu na ubaguzi..Au fafanua vizuri unachokusudia.
Kwa sababu Waafrika wengi ni waarabu au tuseme waarabu wengi ni waafrika.
 
SALAAM ALEIKUM
Hapa ndipo ninapotofautiana na Waislamu wenzngu. Kwanza dini yetu inatuambia tusimssemehe vibaya marehemu kwa hiyo Nyerere tumwache apumzike kwa amani. Kabla ya kupata uhuru kiwango cha elimu ya waislamu ilikuwa ni ya chini sana ukilinganisha mara baada ya kupata Uhuru. Kabla na mara baada ya uhuru waislamu wengi hawakutaka kuwapeleka watoto wao shule wakihofia ya kuwa watalishwa nyama ya nguruwe. Sasa kilichotokea wenzetu wakristo walienda mbali sana kielimu dunia kuliko sisi. Mara baada ya Uhuru Nyerere alizitaifisha shule zoe za kidini ya kikristo na shule za Kihindi na kuwa za Kiserikali kusudi kuweza kuinua kiwago cha elimu ya waislamu. Ingekuwa kama Nyerere angetaifisha shule za kiislamu na fikiri waislamu wengi tungelalamika mpaka hivi leo na tungedai shule hizo zirudishwe. Sasa Nyerere kwa nini tumshutumu kuwa ana udini.
Kutengana na wakristo sijaona kama ni sababu ambayo itatufanya tuishi kwa amani. Sisi waislamu kaka nikwambie tunamatatizo makubwa sana. Ebu angalia nchi kama Pakistani ambayo wanaishi waislamu pekee yaoa wanavyouana. Wanadiriki hta kuuana ktk nyumba za ibada. Kweli Mungu alisema tuuane ktk misikiti. Angalia pale Somalia ni waislamu watupu angalia kasheshe lake. Yemeni nako umeona vumbi lake huko nako kutakuwa kama Somalia. Nchi nyingi za kiislamu ndugu yangu zinamatatizo. Sidhani kuwa wakristo ndio wanaleta matatizo. Matatizo ni sisi wenyewe.
Huko kusini mwa Tanzania wanabaguliwaje? tuletee data hapa ndugu yangu
Maasalam
Nyerere kufanya hivyo alijitoa kimaso maso tu.Alijuwa kuwa zile shule si za wakristo peke yao.Kodi iliyozijenga ilikuwa ni ya waislamu zaidi.Halafu hakuwa na nia ya kuwasaidia waislamu kweli.
Kuhusu Pakistan,Somalia na Yemen jiulize hizi vurugu zimeanza lini?.Kabla wazungu wabaguzi wa kikristo hawajaingia kutia fitna ilikuwa tulivu kabisa.
Huko kusini mwa Sudan ni hao hao walioanzisha chokochoko kwa kumtumia John Garang.Kabla hawakuwa wakiangalia tofauti zao,wote walijiona ni waafrika tu.Fitna za wazungu wa kikristo ndizo zilizoingia nyoyoni mwa watu kama wewe.
Hata Kusini ya Sudan ikimegwa haitokuwa tulivu.Itakuwa kama huko Pakistan.
 
Nyerere kufanya hivyo alijitoa kimaso maso tu.Alijuwa kuwa zile shule si za wakristo peke yao.Kodi iliyozijenga ilikuwa ni ya waislamu zaidi.Halafu hakuwa na nia ya kuwasaidia waislamu kweli.
Kuhusu Pakistan,Somalia na Yemen jiulize hizi vurugu zimeanza lini?.Kabla wazungu wabuguzi wa kikristo hawajaingia kutia fitna ilikuwa tulivu kabisa.

..Hata Sudan kusin isipojitenga itaendelea kuwa masikini na ya kitumwa kama ilivyo miaka nenda rudi..unaonekana unawachukia wazungu wakati location yako ni space station iliyojengwa na wazungu hao hao! lol..
 
Nyerere kufanya hivyo alijitoa kimaso maso tu.Alijuwa kuwa zile shule si za wakristo peke yao.Kodi iliyozijenga ilikuwa ni ya waislamu zaidi.Halafu hakuwa na nia ya kuwasaidia waislamu kweli.
Kuhusu Pakistan,Somalia na Yemen jiulize hizi vurugu zimeanza lini?.Kabla wazungu wabuguzi wa kikristo hawajaingia kutia fitna ilikuwa tulivu kabisa.
Huko kusini mwa Sudan ni hao hao walioanzisha chokochoko kwa kumtumia John Garang.Kabla hawakuwa wakiangalia tofauti zao,wote walijiona ni waafrika tu.Fitna za wazungu wa kikristo ndizo zilizoingia nyoyoni mwa watu kama wewe.
Hata Kusini ya Sudan ikimegwa haitokuwa tulivu.Itakuwa kama huko Pakistan.

Duh! ndugu yangu wewe ni mgumu sana!sijui walimu wako waliweza vipi kukuelimisha kama ulipata bahati ya kuelimika MAANA NYERERE ALIWABAGUA!! AaarGGhhh!:boink::boink::sorry::sorry:
 
Tuletee basi hizo data ambazo wazungu wamepandikiza za huko kuuana Washia na Wasuni huko Pakistani na mivurugiko huko Somali na Yemeni.
Halafu cha kushagazawaislamu wengi wanasema mzungu ni mbaguzi na hataki dini ya Kiislamu ijipanue. Mbona wakimbizi wengi kutoka nchi za Kiislamu wanakimbilia huko huko ulaya ambako ni kwa ``makafiri`` badala ya kwenda ktk nchi za Kiislamu na wakienda huko wanaruhusiwa hata kuanzisha misikiti. Haitawezekana hata siku moja mzungu ajenge kanisa kule Saudi Arabia au kule Afganistan. Huoni waislamu ni wabaguzi sana
 
Ijumaa kulikuwa na suicide bombing huko Pakistan,waislamu kwa Waislam.

Pakistani ukiwa Mshia,Ahmadiya utkipata chako,maana Msuni atakulipua maana wanadai sio Uislamu kamili.

Huwezi kumlaumu Mzungu hapa.
 
Mnalialia kumegwa kwa Darfur.
tazameni ndani ya nchi yenu junsi wanavyogawanya wilaya na kuanzisha mikoa mipya. kuna ujumbe gani hapo??????
 
Back
Top Bottom