Toa hoja ya msingi, sio unabisha bila ya point.
Ngoja nimsubiri huyu anayejiita emt.Ami
Wewe unaweza ukapenda umoja na watu wanaoua ndugu zako kwa mamilioni? Kama ni hivyo, basi akili yako ndogo sana, na hii inaonekana hata katika ugumu wako wa kuelewa.
Cha kusikitisha zaidi hoja za kihistoria unazikataa, sasa tukuweke wapi?
Lakini pia kuna kila tabia ya KIGAIDI katika misimamo yako. Unafurahia vifo vya watu wa Kusini ya Sudani, kwa kuwa wauaji ni waislamu na wanaokufa wamo akina mama na watoto wasio na hatia wasio waislamu. Hivi kwako utu ni nini? Msingi wako katika kuheshimu utu ni nini? Kwako lini Binadamu anakuwa na thamani? Ama hukubali kuwa Binadamu wote ni sawa? Huu ni msimamo wako au wa dini yako?
By the way, akina Bashir wenyewe wameona mambo yamekuwa moto na haiwezekani kuendelea hivyo na wameona suluhisho ni kuruhusu wa Kusini wajitenge. Sababu kubwa ni Serikali kutokubali na kuheshimu tofauti za dini na tamaduni za raia wake.
Utu kwanza, hilo ni fundisho kubwa! Thamani ya binadamu ni kubwa sana, huwezi kumpa binadamu daraja kutokana na dini au utamaduni. Hata kama ni mnyonge namna gani atapigania haki yake kwa sadaka kubwa ya damu ya watu wake na hatatulia mpaka amehakikishiwa kuheshimiwa kwa utu wake!!!! Wasudan Kusini wamepoteza wenzao zaidi ya milioni tatu. Na hiyo imekuwa ndio gharama ya kurudishiwa heshima ya utu wao.
Tambua kuwa pia umejipa uwakilishi wa waislamu, lakini kwa hoja zako unauaibisha hata na uislamu. Nadhani hata waislamu wenzako walio na akili wanakuonea aibu!!
Mtu ambaye hajui, na hajui kwamba hajui huyo ni wa kuonea huruma sana.
I have discovered that continuing contributing in this thread is arguing with a fool!
Ami,Ami,
mbona inakuuma sana watu wa kusini kujipatia uhuru wao kwa kura zao? Kama hawaridhiki kuendelea kuteswa na Khartoum, kwani umoja ni lazima? Au kwa sababu damu yao haina thamani machoni pako?
Asante YeshuaHaMelen!.Ami,
Ina maana hii post huioni au hutaki kuijibu? 😛eep:
Wakati emt hajatokea kuleta maana ya utumwa nimeonelea bora nikujibu wewe Mwanaukweli.Ami
Wewe unaweza ukapenda umoja na watu wanaoua ndugu zako kwa mamilioni? Kama ni hivyo, basi akili yako ndogo sana, na hii inaonekana hata katika ugumu wako wa kuelewa.
Cha kusikitisha zaidi hoja za kihistoria unazikataa, sasa tukuweke wapi?
Lakini pia kuna kila tabia ya KIGAIDI katika misimamo yako. Unafurahia vifo vya watu wa Kusini ya Sudani, kwa kuwa wauaji ni waislamu na wanaokufa wamo akina mama na watoto wasio na hatia wasio waislamu. Hivi kwako utu ni nini? Msingi wako katika kuheshimu utu ni nini? Kwako lini Binadamu anakuwa na thamani? Ama hukubali kuwa Binadamu wote ni sawa? Huu ni msimamo wako au wa dini yako?
By the way, akina Bashir wenyewe wameona mambo yamekuwa moto na haiwezekani kuendelea hivyo na wameona suluhisho ni kuruhusu wa Kusini wajitenge. Sababu kubwa ni Serikali kutokubali na kuheshimu tofauti za dini na tamaduni za raia wake.
Utu kwanza, hilo ni fundisho kubwa! Thamani ya binadamu ni kubwa sana, huwezi kumpa binadamu daraja kutokana na dini au utamaduni. Hata kama ni mnyonge namna gani atapigania haki yake kwa sadaka kubwa ya damu ya watu wake na hatatulia mpaka amehakikishiwa kuheshimiwa kwa utu wake!!!! Wasudan Kusini wamepoteza wenzao zaidi ya milioni tatu. Na hiyo imekuwa ndio gharama ya kurudishiwa heshima ya utu wao.
Tambua kuwa pia umejipa uwakilishi wa waislamu, lakini kwa hoja zako unauaibisha hata na uislamu. Nadhani hata waislamu wenzako walio na akili wanakuonea aibu!!
Mtu ambaye hajui, na hajui kwamba hajui huyo ni wa kuonea huruma sana.
I have discovered that continuing contributing in this thread is arguing with a fool!
Ni YeshuaHaMelechAsante YeshuaHaMelen!.
Sasa iambie serikali ya Sudani, inayowasapoti magaidi wa Janjaweed iache mchezo wake mchafu! Hata sisi uhuru wetu si tulijitenga kutoka kwa waingereza na leo hatupo chini ya malkia!Inaponiuma kusini kujitenga-(sio kupata uhuru) ni kwa vile mimi nawathamini sana watu wa kusini mwa Sudan.Damu yao naipenda sana ndio maana sipendi wawe mbali nasi.
Mh! Sijakuelewa...una maana gani?Wewe Yeshua mwenye asili ya uyahudi ndiye ambaye huthamini damu za watu wengine.
As much as i hate the Janjaweed wewe unatakiwa kwenda kujifunza mafuta ya Sudan yapo wapi, halafu ujuwe ni ya kiwango gani na ni nani anachimba huko (kwa upuuzi wako ni wachina). Alafu ndio ujue janjaweed wanapigana kwa nini na wakina nanii na wapuuzi rebels wanatumia tactics at the cost of those civilians kwakujificha huko. Then ujiulize nani ana wa arm hawa rebels kupitia kenya to Uganda. Umjue mshenzi mwenyewe acha tabia za kuchotwa akili kama America inavyokuchota. Amini mungu kwa sababu zako na si za kupewa **** we.Ni YeshuaHaMelech
Sasa iambie serikali ya Sudani, inayowasapoti magaidi wa Janjaweed iache mchezo wake mchafu! Hata sisi uhuru wetu si tulijitenga kutoka kwa waingereza na leo hatupo chini ya malkia!
Mh! Sijakuelewa...una maana gani?
Mi nimeongelea mauaji yanayofanywa na Janjaweed, na sikuongelea mafuta. Mbona kasi na hasira vipi? Na hao rebels unaowaongelea ni wapi? Hata Nyerere alikuwa rebel kipindi fulani kama ilivyokuwa kwa Samora Machel. Hayo maswali mengine unayouliza itakuwa vema ukimwaga data zako ziwe scrutinized!As much as i hate the Janjaweed wewe unatakiwa kwenda kujifunza mafuta ya Sudan yapo wapi, halafu ujuwe ni ya kiwango gani na ni nani anachimba huko (kwa upuuzi wako ni wachina). Alafu ndio ujue janjaweed wanapigana kwa nini na wakina nanii na wapuuzi rebels wanatumia tactics at the cost of those civilians kwakujificha huko. Then ujiulize nani ana wa arm hawa rebels kupitia kenya to Uganda.
America imenichotaje? Mi naamini Mungu kwa utafiti wangu na sio kumezeshwa madrassa! Nahisi umetoka ktk usingizi wa majinamizi...pole!Umjue mshenzi mwenyewe acha tabia za kuchotwa akili kama America inavyokuchota. Amini mungu kwa sababu zako na si za kupewa **** we.
Haaaaaahaaaaa! Utakuwa mtu wa kwanza kuweza kudisprove imani yangu! go ahead ktk jukwaa husika!Im here all day kukujibu ujinga wako na kukufundisha imani yako aina maana uhuu saliti uafrika wako hivyo ni vita vingine ndugu ambavyo havikuhusu wewe na participants dont give a fu#k about you.
Mi nimeongelea mauaji yanayofanywa na Janjaweed, na sikuongelea mafuta. Mbona kasi na hasira vipi? Na hao rebels unaowaongelea ni wapi? Hata Nyerere alikuwa rebel kipindi fulani kama ilivyokuwa kwa Samora Machel. Hayo maswali mengine unayouliza itakuwa vema ukimwaga data zako ziwe scrutinized!
America imenichotaje? Mi naamini Mungu kwa utafiti wangu na sio kumezeshwa madrassa! Nahisi umetoka ktk usingizi wa majinamizi...pole!
Haaaaaahaaaaa! Utakuwa mtu wa kwanza kuweza kudisprove imani yangu! go ahead ktk jukwaa husika!
Uafrika wangu na imani yangu wapi na wapi? Uafrika wangu utabaki palepale bila kujali imani yangu... ungekuwa darasa la logic tunaita fallacy of false association! Vita hivyo vinawahusu maana wanaokufa ni wanadamu walioumbwa kwa mfano wa Mungu pia!
Halafu chunga lugha yako hasa kwenye rangi nyekundu. Next time ukinitukana nakuripoti ule ban!
Ufedhuli huo unaofanywa na waarabu ni upi?.hata mimi naona umoja wa sudan ni muhimu ili ufedhuri unaofanywa na waarab dhidi ya wasio waarab udumu.
wewe unazungumza nini banaa ama ndiyo ilimu hiyo sasa kiarabu wewe kitakusaidia nini miminipo DubaiIkiwa ni hivyo itakuwa afadhali,tutapata walimu wazuri wa kiarabu.Kwa sababu wanazungumza na kuandika kiarabu fasaha.
Ndiyo lugha ya hawa wanajeshi.
![]()
Hahaha! Mi sio Moderator, lakini asante kwa kunipa cheo ambacho sina. may be one day I will be!OK so ur one of the mod's dont ask me how i know that,
So what are you trying to say here?hila shule niliyopitia mimi ki imani ya kidini is none of ya business honestly and even if i'm to tell you im one of those born into liberal families i know it wont make much difference (that is to say i dont espect you to understand the signifance of socialization nor how you came about to acquire your mind set, all i can say your full of naivity and that as nothing to do with Darwin pathetic theory).
Who told you I'm following western leaders? I'm following Christ, so you get it!Speaking to a man who hasn't done much investigation about his religion (that is you) it will be difficult to explain the western politics and how you never see them(western leaders) going into regular visits to worship temples, unless they happen to be in mass religious states.
Could you explain what you have written here! Your comment is unintelligible and I can't even understand it!Sasa wewe ni mkumbo tu, if it was anyboby elsee i would have said to him 'washa nyasi' because its you and i know who you are id say go read that is you aka T.... that is one of your many aliases.
What tips and book are you talking about? and which Mzungu and mwarabu are you talking about?Mwisho nimalizie wewe auna mawazo binafsi kama unavyofikiri unayo hila utajisaidia kwa kupekuwa vitabu na tips nilizo kupa mawazo yanatoka wapi ndipo utakapo gundua mzungu, mwarabu and any other foreigner are not on your side.
Constructmy own belief? And so then making my own god? That is pathetic! God already exists and true belief is already there, why should I make one?Hila unahitaji to construct your own believes na kuiamini kwa kuelewa na si kwa kupewa fikra trust me you would appreciate your christ even more.
Nauliza kwa kuwa hao watu wana miungu tofauti hapo kati ya waarabu hapo na hao waisraeli. Mainly waisrael ni wa jewish na wana 'hanikha' zao huku kwingine ndio kuna waarabu ambao ni christians and muslims ambao wote wanakula ma rocket ya Israel. Hiki ni kitu ambacho hawakizungumziwi sana kwa sababu wanajua kitaamsha western religious groups wakiya fahamu vizuri especially huko America uwanja mkuu wa propaganda na kuongeza antisemitic movement. Ukitaka na mi-video kama ya mzizimkavu anavyo ileta ntakuletea mpaka uone israel jewish priest aliyefungwa kwa kuwatumia bomu majirani zake likamlipua mtoto wa jirani kwa sababu ni wakristo. Sasa naomba kwanza unifahamishe wewe mungu wako ni yupi? kwa sababu wa waisrael sio wa christ.Meanwhile, a number of Palestinian Christians said Israel had denied them access to Easter Saturday celebrations in Jerusalem's Old City.
Israel said it had issued 10,000 permits and that numbers had to be restricted for security and safety reasons.
There are over 200,000 Christians living in Israel and on the West Bank and many need passes from Israel in order to visit Jerusalem.
By Stephen Gowans
Many Western activists have rallied around calls for sanctions on Sudan and UN intervention in Darfur. But a review of recent Western interventions in the world's trouble spots suggests their faith is misplaced. While the US and its allies, and the UN Security Council, point to lofty goals as the basis for their interventions, the true goals are invariably shaped by the economic interests of the corporations and investment banks that dominate policy making in Western countries. Worse, intervention has typically led to the deterioration of humanitarian crises, not their amelioration.
The United States and other imperialist powers look for conflicts, or provoke conflicts, in countries they do not dominate politically. They use these conflicts as pretexts to intervene in other countries in multiple ways: militarily, through proxies (which may include the UN), by funding an internal opposition, or by some combination of these means. The goal is to exploit these countries economically. Political control, through a strongman or puppet government, allows great nations to protect and enlarge the investments of their corporations and banks and to open doors to their exports. That is, the United States and other imperialist powers are engaged in a relentless pursuit of political domination of countries they do not currently dominate, in order to exploit their resources, assets and markets, by creating or looking for conflicts that provide pretexts for intervention.
Sudan is not today under US political control, and like Iraq, is a source of immense oil reserves and the potential for gargantuan petroleum profits to be reaped by foreign oil companies. The Bush administration complains that the Sudanese government interferes in Sudan's petroleum and petrochemical industries. Khartoum is not, then, a partisan of the three freedoms that matter most in Washington: free trade, free enterprise and free markets. This, from Washington's point of view, is a threat to US foreign policy (i.e., corporate) interests. If Sudanese policy prevents US oil companies from exploiting the country's oil resources, Sudan is a threat to the foreign policy interests of the United States. Accordingly, it must be treated as an enemy. And indeed it is an enemy - but only an enemy of the class of corporate board members, hereditary capitalist families and investment bankers in whose interest free trade, free enterprise and free markets are promoted and enforced. Sudan, its people, and the economically nationalist policies of its government are not, however, enemies of the bulk of Americans. (3)
There are existing conflicts in Darfur which the US and its allies have used to argue for Western intervention. There is a conflict over water and land between sedentary and nomadic peoples, made worse by desertification. There is a conflict between rebel groups, which have attacked government installations, and the government itself. And there is a conflict among rebel groups. These conflicts are used by the US and its allies as pretexts to impose sanctions and to argue for intervention. But the US is no more interested in resolving these conflicts than it was in resolving conflicts in Yugoslavia. It's interested in dominating Sudan politically, so that US and British oil companies can amass huge profits from Sudan's vast petroleum reserves.
What are you trying to say?Yeshua,
Point taken kwenye maandishi yangu wengi wape yameshakuwa critisized a lot, unlike you thats how i improve by taking critisism in the chin and try to do somen about it.
Turudi kwenye mada nieona nikuulize kwanza mungu wako ni yupi kati ya hawa kwenye hiki kipengele nilichokiiba BBC News - Outrage at anti-Semitism comparison by Pope preacher nimepunguza kwa sababu ambazo wengine wangeona ni za kuattack dini za watu na aim nikutaka waafrica tujielewa kwanza ideologically Nauliza kwa kuwa hao watu wana miungu tofauti hapo kati ya waarabu hapo na hao waisraeli. Mainly waisrael ni wa jewish na wana 'hanikha' zao huku kwingine ndio kuna waarabu ambao ni christians and muslims ambao wote wanakula ma rocket ya Israel. Hiki ni kitu ambacho hawakizungumziwi sana kwa sababu wanajua kitaamsha western religious groups wakiya fahamu vizuri especially huko America uwanja mkuu wa propaganda na kuongeza antisemitic movement. Ukitaka na mi-video kama ya mzizimkavu anavyo ileta ntakuletea mpaka uone israel jewish priest aliyefungwa kwa kuwatumia bomu majirani zake likamlipua mtoto wa jirani kwa sababu ni wakristo. Sasa naomba kwanza unifahamishe wewe mungu wako ni yupi? kwa sababu wa waisrael sio wa christ.
On the subject of Sudan soma hapa kwa muongozo fulani na kwanini kuna hivi vita na wakati mwingine hizi western media mbona utia sababu za udini ni moja ya sababu ya hivi vita .Kwani darfur kuna wakristo pia na vile vile wanadai independent yao. Hii ni site yenye african interest and perspective ya investigative journalist wa kiafrica source AfricaSpeaks.com - Faith in UN Intervention in Darfur Misplaced nimeipunguza soma article yote kwa kufuata link.
Haya mafuta sasa hivi yameshikiliwa na wachina alafu jiulize hile meli iliyoshikwa na pirates ikiwa na vifaa vya vita iliishia wapi na vile vitu vilikuwa vinaenda wapi?
Inabidi ujielewa kwanza kuna mamia ya wamarekani weusi huko ulipo na ni wacha mungu vipi lakini mzungu amtambui, hata huko Israel ni more of a racial conflict and land than religious.
Tatizo mnakula sana propaganda alafu amtaki kujifunza sababu ya uzembe wetu waafrica na kwa taarifa yako one of the earliest form and undiluted forms of christianity are performed in the arab world, na ukitaka kuufahamu ukristo zaidi ya vatican nenda Syria huko ndio kuna ukristo wa mwanzo ulivyokuwa bila ya kuchujwa mpaka leo by now you should know the practitioners are Arabs.
What was Juma saying is this:What are you trying to say?
My God is Jehova!
So you are denying the sufferings of southern people? Are you saying that suffering by Janjaweed and Khartoum have western hands or that Southern movements have western hand?What was Juma saying is this:
The United States and other imperialist powers look for conflicts, or provoke conflicts, in countries they do not dominate politically. They use these conflicts as pretexts to intervene in other countries in multiple ways: militarily, through proxies (which may include the UN), by funding an internal opposition, or by some combination of these means. The goal is to exploit these countries economically. Political control, through a strongman or puppet government, allows great nations to protect and enlarge the investments of their corporations and banks and to open doors to their exports. That is, the United States and other imperialist powers are engaged in a relentless pursuit of political domination of countries they do not currently dominate, in order to exploit their resources, assets and markets, by creating or looking for conflicts that provide pretexts for intervention.
Sudan is not today under US political control, and like Iraq, is a source of immense oil reserves and the potential for gargantuan petroleum profits to be reaped by foreign oil companies. The Bush administration complains that the Sudanese government interferes in Sudan's petroleum and petrochemical industries. Khartoum is not, then, a partisan of the three freedoms that matter most in Washington: free trade, free enterprise and free markets. This, from Washington's point of view, is a threat to US foreign policy (i.e., corporate) interests. If Sudanese policy prevents US oil companies from exploiting the country's oil resources, Sudan is a threat to the foreign policy interests of the United States. Accordingly, it must be treated as an enemy. And indeed it is an enemy - but only an enemy of the class of corporate board members, hereditary capitalist families and investment bankers in whose interest free trade, free enterprise and free markets are promoted and enforced. Sudan, its people, and the economically nationalist policies of its government are not, however, enemies of the bulk of Americans. (3)
By Stephen Gowans
If you have not got the theme it is a clear sign that you are exhausted of you prapagandist points.It is time to keep away just like your fellows.Meantime you should stop sowing hatred among us;Africaans because of the western countries interests.