Njama za kuimega Sudan

Njama za kuimega Sudan

Kabla kukuelewesha kuhusu internet na uislamu,kwanza naomba nifahamishe vitu vya msingi vinavyofanya internet.Ikiwa huelewi pia kiri hivyo.Hili ni muhimu kwangu kwani nisije nikatoa majibu kwa mtu ambaye ni mbumbumbu kabisa wa hilo analotaka kueleweshwa.Anaweza akapewa jibu na bado akalalamika kuwa silo.

Kuhusu wazungu na elimu, sijatumia neno kuwaibia,bali nimesema waislamu waliwapelekea wazungu elimu.Wazungu kama walivyo wakristo wengi wakalipa fadhila kwa kuchoma moto tafiti na kazi muhimu za waislamu.Ikiwa unabisha kwa hili nasubiri mshangao wako.

Nimefuatilia comments zako kuanzia mwanzo na nhisi wewe ni komediani mzuri sana.Unchekesha mno.Sijui unatungaje mambo kama hayo. kwi kwi kwi kwi.
Nafikiri wenzako wako siriazi na wewe unajibu kimzaa mzaa. wengi bado hawajakugundua na wanapoteza mda wao kukuelimisha
 
Mdau amekuuliza uhusiano baina Usilamu na Internet, halafu wewe unamuuliza tena akwambie internet ni nini? kwi kwi kwi..wewe ni bure kabisa..nehi.

Halafu wasilamu walienda wakawapa wazungu elimu...halafu wazungu wakazichakachua elimu za wasilamu sio? Sasa wasilamu kama kweli walikuwa na elimu kwa nini hawakutunza kopi za elimu zao? bwe he he..

Yaani napitaga thread hii kuzipa mazoezi mbavu zangu kwa vichekesho vyako. lol
 
Hebu nieleweshe uhusiano wa kuanzishwa na internet na Uislam. Pia nieleweshe kivipi wazungu waliwaibia Waislam/Waarabu elimu na ilikuwaje Waislam/Waarabu kubaki nyuma kama tunavyoona leo.
Naamini kwa kutoka kwenu kwenye mada ya Sudan na kuingia kwenye Uislamu lile suala limeeleweka kuwa Sudan matatizo yaliyopo ni ya kuletwa na ya kubuniwa.
Sasa wacha tuone uzuri wa uislamu kwa kuangalia jinsi ulivyopelekea kuvumbuliwa internet.
Kwanza tuelewe kuwa kifaa muhimu cha upatikanaji wa internet ni compyuter.
Moja ya makampuni makubwa ya kutengeneza compyuter ni IBM.Wao wakitoa historia ya kuundwa kompyuter wanasema:

Drum Memory

The IBM 650 used a drum memory organized into signed, ten-digit decimal words. The basic '650 had 2000 words of memory. You could add additional drums for up to 10,000 words. [Tom Zaslavsky remembers 6,000 max.] Jonathan Baker tells us there were 200 read/write heads with 50 words per set of 5 heads[SIZE=+1].[/SIZE] A later option added 60 words of core memory where you could store fast loops.
Each word could represent a signed decimal integer or an instruction. There was an optional floating point unit with an eight-digit signed mantissa and a two digit exponent biased by 50.
Each digit was represented in seven bit "bi-quinary" notation: one bit out of 5 represented a value from zero to four; one bit out of two indicated whether or not to add 5 to that value, essentially an electronic abacus. The front panel had rows of lights in groups of five to display register contents. "28019" would be displayed as follows:
[SIZE=-1] [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] o o [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] o [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] o o [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] 0 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 5 0 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 5 0 [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] 5 0 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 5 0 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 5 1 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 6 1 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 6 1 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 6 1 [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] 6 1 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 6 2 [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] 7 2 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 7 2 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 7 2 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 7 2 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 7 3 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 8 3 [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] 8 3 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 8 3 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 8 3 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 8 4 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 9 4 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 9 4 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 9 4 [/SIZE][SIZE=-1]o[/SIZE][SIZE=-1] 9 4 [/SIZE][SIZE=-1]*[/SIZE][SIZE=-1] 9[/SIZE]Actual displays were 10 digits long, with the sign on the right side, just 2 lights in the same space as a full digit. The console layout is per[SIZE=+1] [/SIZE]Jonathan Baker[SIZE=+1]'[/SIZE]s correction to my original posting. His other comments appear below.
An IBM 650 instruction looked like this:
xx yyyy zzzz

Hapo angalia maneno kama zero,decimal,light.Angalia na herufi za kutoa kanuni ya makisio xx yyyy zzzz.
Kabla sijaendelea soma historia ya
MOHAMMAD BIN MUSA AL-KHAWARIZMI

(Died 840 C.E.)
 
Ami usidhani mimi ni maamuma kama wewe. Huyo M-Iran au M-Persia au M-shiraz Mohammad Bin Musa Al-Khawarizmi namfahamu labda kuliko wewe uliyemsoma kama historia. Kwa kukumbusha au kukusaidia hata neno chemistry ni la kiajemi i.e alchemy. Kumbuka kutumia majina kama zero,decimal,light sio hoja kuwa Uislam ndio umeleta internet. Inaonekana wewe hata uambiwe ukweli gani ni mtu wa Islam first na mengine baadae. Hii tabia ndio imefanya nchi nyingi za kiislam ziwe na wajinga wengi na maendeleo duni.(Maana hata hayo walinayo ni ya hela za mafuta hakuna cha maana wanachogundua wala tafiti zenye mashiko zaidi wazungu wanakula hela zao kwa kuwapelekea miradi ambayo wanajua fika haiko sustainable.)

Kama kutumia baadhi ya maneno ndio umegundua kitu basi nchi zote hazigundui kitu duniani ukiacha Greece, UK na Italy maana maneno na terminology nyingi za kisomi zinatumia maneno yatokanayo na Lugha hizo. Ndio kusema, US,China, Japan, Korea, India hawagundui chochote kwa sababu mara nyingi hawatumii lugha zao kwa vitu wanavyogundua bali wanatumia maneno ya lugha nilizokueleza hapo juu.

Nilidhani huu mjadala uliuleta ili watu wajadili kwa nini South Sudan wanataka kujitenga kumbe unataka kutetea Islamic Superiority!
You're an Idiot...
 
Wewe hmethod una kizungu zungu sana.Ukiletewa ukweli huu unasema vile ukiletewa vile unasema hivi.
Mimi sina neno,nyinyi tu.Mada ya Sudan baada ya kushindwa mukataka uhusiano wa uislamu na internet wakati najitayarisha kuwajibu na baada ya kuanza kuona ukweli tena unajidai turudi SUDAN.
Wewe kwenye post yako no222 umesema kuniambia :Hebu nieleweshe uhusiano wa kuanzishwa na internet na Uislam. Pia nieleweshe kivipi wazungu waliwaibia Waislam/Waarabu elimu na ilikuwaje Waislam/Waarabu kubaki nyuma kama tunavyoona leo.
Hmethod hueleweki kabisa.Unasema Akhawarzm ni mpersia,yaonekana hukuisoma historia yake niliyokupa.Muhimu ni kuwa ni muislamu.
Kama umesoma maelezo ya kampuni ya kompyuta ya IBM ni kuwa mambo yote tya internet yameanza na Algorithm na mahesabu haya mvumbuzi ni muislamu Muhammad Alkhawarizmi.Sehemu nyengine muhimu ya intenet ni muangaza(light) ambao elimu yake haiwezi kutajwa bila kumtaja muislamu-Ibn Sinna.
Maendeleo ya baadae lazima yahusishwe na uislamu.
Unachosema kuhusu China na Japan kuhusu kutumia majina mengine ni upuuzi mtupu.Ndio maana miaka hii tuna haki miliki.Aliyevumbua na kuliendeleza jambo ni mashujaa wa mambo hayo hata miaka mingapi ikipita.Wewe unachojaribu ni kutaka kuzuia ukweli tu kwamba waislamu wanahusika sana na maendeleo ya sayansi zote ikiwemo internet.
 
The way Ami anavyotaka kupotosha huu umma wa wasomaji ni kwamba al Khawarizmi, single-handedly laid down the foundation of internet..kwi kwi kwi..this al Qaeda fanatic is on drugs.

Myself as a scientist, I personally respect al Khawairizmi, same kama ninavyowaheshimu wanasayansi wengine kutoka watu wa lugha na mataifa mengine. Hakuna kitu special sana kutoka kwa al Khawairizmi ambapo modern world can show. Most of his works are still primitive na zile ambazo zipo sahihi can easily be understood, reproduced by a modern young mind.

Al Khawarizmi kama ilivyo kwa wanasayansi wengine waliongeza tu maarifa katika tasnia zilizokuwepo kwa wakti wao, hawakubuni hisabati wala internet. Walikopi kazi za wengine, kutafsiri na kuongezea kidogo. Ukiangalia historia ya falme za kale mashariki ya kati ni kwamba kwa zile falme zilizoona umuhimu wa maarifa, waliajiri watafisiri wa lugha mnbalimbali ili watafsiri kazi mbalimbali za kisayansi kutoka kwa powershouses za wakati ule zikiwemo kazi za Kigiriki, Kihindi na Kichina,to mention a few, sasa kusuggest kwamba Wasilamu au Waarabu kama ndio vinara wa sayansi au hisababti wa wakti ule, is sheer nonsense in itself.

Mathalan, ukiangalia matumizi ya sufuri, al Khawarizmi asingeweza ku-suggest matumizi yake ingekuwa wahindi wasingeibuni hiyo sufuri...in the first place.
 
Ami usidhani mimi ni maamuma kama wewe. Huyo M-Iran au M-Persia au M-shiraz Mohammad Bin Musa Al-Khawarizmi namfahamu labda kuliko wewe uliyemsoma kama historia. Kwa kukumbusha au kukusaidia hata neno chemistry ni la kiajemi i.e alchemy. Kumbuka kutumia majina kama zero,decimal,light sio hoja kuwa Uislam ndio umeleta internet. Inaonekana wewe hata uambiwe ukweli gani ni mtu wa Islam first na mengine baadae. Hii tabia ndio imefanya nchi nyingi za kiislam ziwe na wajinga wengi na maendeleo duni.(Maana hata hayo walinayo ni ya hela za mafuta hakuna cha maana wanachogundua wala tafiti zenye mashiko zaidi wazungu wanakula hela zao kwa kuwapelekea miradi ambayo wanajua fika haiko sustainable.)

Kama kutumia baadhi ya maneno ndio umegundua kitu basi nchi zote hazigundui kitu duniani ukiacha Greece, UK na Italy maana maneno na terminology nyingi za kisomi zinatumia maneno yatokanayo na Lugha hizo. Ndio kusema, US,China, Japan, Korea, India hawagundui chochote kwa sababu mara nyingi hawatumii lugha zao kwa vitu wanavyogundua bali wanatumia maneno ya lugha nilizokueleza hapo juu.

Nilidhani huu mjadala uliuleta ili watu wajadili kwa nini South Sudan wanataka kujitenga kumbe unataka kutetea Islamic Superiority!
You're an Idiot...

Nenda shule kwanza kabla ya kubisha vitu ambavyo huvijui kabisa.

The Islamic Golden Age

Muslim Contributions During Islam's Renaissance

May 19, 2009 Christine Benlafquih
2060662_com_astrolabe.jpg
Drawing of a 13th Century Persian Astrolabe - Wikipedia Commons

While Europe was entrenched in the Dark Ages, Muslims made historical contributions to art, architecture, medicine, astronomy, math, literature and other disciplines.

During the Middle Ages, Muslim cities such as Baghdad, Istanbul, Cairo, Tripoli and Cordoba became cultural and intellectual centers where theologians, scholars, scientists, artists, writers, philosophers, mathematicians and others convened for scholarship, experimentation and discovery. The significant achievements made by Muslims from approximately 750 to 1500 A.D. led to the naming of this period as the Islamic Renaissance, or the Islamic Golden Age.
Muslims were at the forefront of discoveries in ophthalmology, anatomy, physiology, pathology, surgery, chemistry and pharmaceuticals during the Islamic Renaissance. Great advances were also made in astronomy and mathematics, as well as in architecture, art and literature.

Institutions

Further information: Madrasah, Bimaristan, Islamic astronomy, Sharia, Maktab, Fiqh, and Islamic economics in the world

A manuscript written during the Abbasid Era.

A number of important educational and scientific institutions previously unknown in the ancient world have their origins in the early Islamic world, with the most notable examples being: the public hospital (which replaced healing temples and sleep temples)[14] and psychiatric hospital,[15] the public library and lending library, the academic degree-granting university, and the astronomical observatory as a research institute[14] (as opposed to a private observation post as was the case in ancient times).[16]
The first universities which issued diplomas were the Bimaristan medical university-hospitals of the medieval Islamic world, where medical diplomas were issued to students of Islamic medicine who were qualified to be practicing doctors of medicine from the 9th century.[17] The Guinness Book of World Records recognizes the University of Al Karaouine in Fez, Morocco as the oldest degree-granting university in the world with its founding in 859 CE.[18] Al-Azhar University, founded in Cairo, Egypt in the 975 CE, offered a variety of academic degrees, including postgraduate degrees, and is often considered the first full-fledged university. The origins of the doctorate also dates back to the ijazat attadris wa 'l-ifttd ("license to teach and issue legal opinions") in the medieval Madrasahs which taught Islamic law.[19]
The library of Tripoli is said to have had as many as three million books before it was destroyed by Crusaders. The number of important and original medieval Arabic works on the mathematical sciences far exceeds the combined total of medieval Latin and Greek works of comparable significance, although only a small fraction of the surviving Arabic scientific works have been studied in modern times.[20] For instance, Jamil Ragep, an historian of science from McGill University, says that 'less than 5% of the available material has been studied.'[21]Salim Al-Hassani states that 50,000 of the surviving manuscripts have been reviewed and that there are 5 million more manuscripts still awaiting review.[22] A Russian historian O. B. Frolova gives an idea of the numerical quantity of these manuscripts and works always findable:
"The results of the Arab scholars' literary activities are reflected in the enormous amount of works (about some hundred thousand) and manuscripts (not less than 5 million) which were current... These figures are so imposing that only the printed epoch presents comparable materials"[23]
A number of distinct features of the modern library were introduced in the Islamic world, where libraries not only served as a collection of manuscripts as was the case in ancient libraries, but also as a public library and lending library, a centre for the instruction and spread of sciences and ideas, a place for meetings and discussions, and sometimes as a lodging for scholars or boarding school for pupils. The concept of the library catalogue was also introduced in medieval Islamic libraries, where books were organized into specific genres and categories.[24]

The way Ami anavyotaka kupotosha huu umma wa wasomaji ni kwamba al Khawarizmi, single-handedly laid down the foundation of internet..kwi kwi kwi..this al Qaeda fanatic is on drugs.

Myself as a scientist, I personally respect al Khawairizmi, same kama ninavyowaheshimu wanasayansi wengine kutoka watu wa lugha na mataifa mengine. Hakuna kitu special sana kutoka kwa al Khawairizmi ambapo modern world can show. Most of his works are still primitive na zile ambazo zipo sahihi can easily be understood, reproduced by a modern young mind.

Al Khawarizmi kama ilivyo kwa wanasayansi wengine waliongeza tu maarifa katika tasnia zilizokuwepo kwa wakti wao, hawakubuni hisabati wala internet. Walikopi kazi za wengine, kutafsiri na kuongezea kidogo. Ukiangalia historia ya falme za kale mashariki ya kati ni kwamba kwa zile falme zilizoona umuhimu wa maarifa, waliajiri watafisiri wa lugha mnbalimbali ili watafsiri kazi mbalimbali za kisayansi kutoka kwa powershouses za wakati ule zikiwemo kazi za Kigiriki, Kihindi na Kichina,to mention a few, sasa kusuggest kwamba Wasilamu au Waarabu kama ndio vinara wa sayansi au hisababti wa wakti ule, is sheer nonsense in itself.

Mathalan, ukiangalia matumizi ya sufuri, al Khawarizmi asingeweza ku-suggest matumizi yake ingekuwa wahindi wasingeibuni hiyo sufuri...in the first place.

Sasa unachotaka ni nini wewe Abdulhalim?.

Ujinga wako na kutoelewa ulisemalo lipo kwenye maneno yako haya :

Al Khawarizmi kama ilivyo kwa wanasayansi wengine waliongeza tu maarifa katika tasnia zilizokuwepo kwa wakti wao, hawakubuni hisabati wala internet. Walikopi kazi za wengine, kutafsiri na kuongezea kidogo. Ukiangalia historia ya falme za kale mashariki ya kati ni kwamba kwa zile falme zilizoona umuhimu wa maarifa, waliajiri watafisiri wa lugha mnbalimbali ili watafsiri kazi mbalimbali za kisayansi kutoka kwa powershouses za wakati ule zikiwemo kazi za Kigiriki, Kihindi na Kichina,to mention a few, sasa kusuggest kwamba Wasilamu au Waarabu kama ndio vinara wa sayansi au hisababti wa wakti ule, is sheer nonsense in itself.

Majibu yangu na ya John hapo juu ni kwa vile wewe na wenzako mara nyingi munapenda kujikweza na kuubeza uislamu kama kwamba watu wake ni mazezeta.Mara nyingi mnajaribu kuonesha watu wa madrasa ni watu wajinga wajinga tu.
Majibu yako kuhusu Alkhawarizmi na umuhimu wa sifur ni kama kwamba umekubali mchango wa waislamu katika maendeleo ya sayansi.Sasa kipi kinakupa taabu kuwaheshimu waislamu waliovumbua vitu hivyo au kuviendeleza.Wazungu na makampuni makubwa ya kompyuta hawakosi kuwataja watu hao lakini wewe kwa chuki zako za kijinga lazima ujizungushe huku na huko.Hizo zako si tabia za kisomi kabisa,ni ujinga zaidi.Sitoshangaa mtu kama wewe kusikia kwamba huna radhi za wazazi wako baada ya kuwadharau ulipojiona una afya na kipato kuliko hao waliokuzaa.
Fikiria kama si juhudi za kutafsiri na kuzikushanya hizo elimu zingepatikanaje huko Ulaya?.
 
Wacha kunipakazia wewe..ni wapi nimesema nawadharau wasilamu? kama ni hivyo basi inamaana siwaheshimu hata ndugu zangu wa damu, marafiki, co-workers na majirani..Niombe radhi kwanza.

Pili, siwezi kumheshimu Al Khawairizmi kwa sababu ya dini yake, bali kwa mchango wake wa kitaaluma. Dini yake haina mchango wowote kwene sayansi. Kazi za Al Khawarizmi zimechangia kwa namna moja au nyengine kwene nyanja za sayansi na udadisi, hapa anahitaji kusifiwa na kuheshimiwa, sio kama wewe mpika majungu al Qaeda fanatic ambaye hata ukifa leo hakuna lolote uliloliacha zaidi ya majungu,umbeya na kufarakanisha watu.
 
Mimi nadhani wewe una matatizo ya kufikiri. Kwanza kumbuka kuwa Nyerere alichukua shule za wakristo Mpwapwa, ILBoru, Kigurunyembe morogoro, Hosptali kama Mhimbili, KULE MWANZA zote zilichukuliwa toka kwa Wakristo ili watz wawe moja. Na mwislamu kama wewe uweze kusoma na kuandika email kama unavyofanya sasa. Bahati mbaya unaandika uwongo. Wakristo wange lalamika shule zote na hosp zote hizo zirudi kwao nchi nzima itakuwaje? Maana ni nyingi sana kila mkoa kuna shule/hosp ilikchukuliwa IKIWEPO KIBAHA SEC nk. Tafakari.

Kama ikiwezakana kuigawa Sudan, basi na sisi TZ inabidi tugawane nchi. Waislam wachukue chao, Wakristo wachukue chao. Maanake Waislamu, wanaonewa TZ.
 
Mimi nadhani wewe una matatizo ya kufikiri. Kwanza kumbuka kuwa Nyerere alichukua shule za wakristo Mpwapwa, ILBoru, Kigurunyembe morogoro, Hosptali kama Mhimbili, KULE MWANZA zote zilichukuliwa toka kwa Wakristo ili watz wawe moja. Na mwislamu kama wewe uweze kusoma na kuandika email kama unavyofanya sasa. Bahati mbaya unaandika uwongo. Wakristo wange lalamika shule zote na hosp zote hizo zirudi kwao nchi nzima itakuwaje? Maana ni nyingi sana kila mkoa kuna shule/hosp ilikchukuliwa IKIWEPO KIBAHA SEC nk. Tafakari.

Niambie wapi wakristo walipata pesa za kujengea hizo shule hata ishindikane kwa waislamu.
Nyerere alijitoa kimasomaso kwa dhulma yake kubwa kwa waislamu.Hapo hapo hakuwa na nia hiyo munayomdhania nyinyi.Eti mimi nijuwe kuandika e-mail

Turudi kwenye mada ya Sudan.Jee mumekubali kuwa hakuna ubaguzi kule bali ni fitna tu za watu wa aina yenu?
 
Waarabu koko wa kaskazini na Uislam wao ni wabuguzi wa kutupwa against Christians na Animists wa Souther Sudan na Darfur region.
Hili sio suala la Wazungu,ni Waarabu (koko) na Waafrika dark skinned.

Tukumbuke kipenzi cha Waislamu Osama Bin Laden aliishi Sudan kwa wakati,na sisi mwaka 1998 wakati wa DAR bombing ,mambo yalipikiwa na waarabu wa huko

Na baadhi ya Waafrika na baadhi Waafrika wa Tanzania sio Wabaguzi? Racism has no boundaries ila kuna maradhi ya kuuona tatizo wa wengine tu?? Nani waliochinjana Rwanda na Burundi na Kenya? Mnaaona doa msilolifahamu. Tatizo ni simple divide and rule and suck. Sudan inagawika kwa sababu za kiuchumi tu. Haya nyinyi makipata mafuta mtamegeka tu! Wengi wanaochanjia hawana hata elimu ya watu wa Sudan na issues bali kuyopokwa ovyo tu! Enjoy wasting your time!
 
Katika picha hapo chini ni Omduruman maeneo ya Pembeni ya Khartoum kaskazini ya Sudan.
Niambie ni nani mwafrika hapo na ni nani mwarabu.

Dervish675.jpg

Hapa siwaoni waafrika wenye nywele za kipilipili nawaona waarabu koko tu. naomba unapoongelea waafrika uwe unajua maana ya mwafrika. Kama hujui katafute maana ya mwafrika kama alivyoitoa chief Awolowolo inayotumiwa zaidi na Pan Africanism, lakini kama unfikiri kila mtu mweusi ni mwafrika umekosea maana hata wahindi wapo weusi wabangladesh na Papua new Guinea ni weusi lakini sio waafrika maana hawana nywele za kipilipili.

kama unatumia picha tu za kwenye internet huwezi kujua vizuri tofauti kati ya mwarabu wa sudan na mwafrika wa sudan ila kama umewahi kufika sudan basi tofauti unaijua. Na hata hivyo nimekusaidia kukuelewesha kwa kukwambia angalia picha ya Al Bashir na Salva Kiir utaona tofauti yao, hiyo ni njia ambayo inatumiwa kumwelewesha mtu ambaye ana uwezo mdogo wa kuelewa mithili ya taahira lakini kama hiyo pia umeshindwa kuona tofauti basi inahitajika mjadala wa kitaifa kutafuta njia ya kukuelewesha.
 
Na baadhi ya Waafrika na baadhi Waafrika wa Tanzania sio Wabaguzi? Racism has no boundaries ila kuna maradhi ya kuuona tatizo wa wengine tu?? Nani waliochinjana Rwanda na Burundi na Kenya? Mnaaona doa msilolifahamu. Tatizo ni simple divide and rule and suck. Sudan inagawika kwa sababu za kiuchumi tu. Haya nyinyi makipata mafuta mtamegeka tu! Wengi wanaochanjia hawana hata elimu ya watu wa Sudan na issues bali kuyopokwa ovyo tu! Enjoy wasting your time!

Hamna kitu kama hicho kwani Angola, Gabon, Equatorial Guinea, Libya, na nyinginezo zinazotoa mafuta zimegawika, msijifanye hamuoni kinachoendelea Sudan.
 
Ntaanza na nchi moja tu uliyoitaja. Hivi kweli hujui kuwa zaidi ya million moja walikufa Angola wakipigana wao kwa wao?? Zingine research wewe utapata jibu
 
Sasa rafiki yangu ina maana hujui tofauti ya vita ya wenyewe kwa wenyewe na nchi kugawanyika. Awali ulisema kinachoigawa Sudan ni sababu za kiuchumi (mafuta) ndo nikakupa mifano ya nchi zenye mafuta lkn hazijagawanyika.

Sasa kuhusu suala la Angola ilikuwa ni vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo sababu kubwa ilikuwa ni ukabila na vita baridi, civil wars zimetokea ktk nchi nyingi sana zisizokuwa na mafuta refer Spain, Marekani, Ireland, Somalia, Msumbiji n.k,

Na kama swala la sudan ni la kiuchumi kulikuwa hakuna haja ya kuigawa Sudan badala yake wangeiondoa serikali ya Bashir na kuiweka kibaraka wao, au unadhani Sudan ina nguvu kuliko Serikali ya Sadam Hussein!

Ukweli ni kuwa kwa nchi inayoangalia maslahi ya kiuchumi ni rahisi mno kuiondoa madarakani serikali kuliko kuigawa nchi, ndo maana kwenye nchi kama Afghanistan na Iraq wameziondoa serikali na sio kuzigawa nchi. hivyo suala la sudan kusini lipatie uzito unaostahili kama kweli wewe ni mwafrika na usidanganywe na propaganda za waarabu na vibaraka wao kuwa mataifa ya magharibi ya mkono wao kwa maslahi yao, maslahi yao ktk sudan hayana uhusiano wowote na mateso ya waafrika kutoka kwa waarabu.
 
Kila issue, lina strategic mbinu zake. My point is:
1) Umujaribu kuutizama uarabu pekee - ndio nikakujibu KUWA ubaguzi hauna kabila: Mbona waafrica pia wabaguzi tena hata wenyewe kwa wenyewe? Nami nikakupa mifano ya mamilion wengi waliokufa nchi nyingi tena jirani na Tanzania ili labla ufahamu kidogo. Hii sio sababu msingi ya kuzikata nchi ama sivyo Tanzania mtajikuta na bantustan 120.

2) Iraq strategic rahisi ili hata hiyo vita watu waisupport ni "mass destruction weapons" Silaha sizisopatIKana zimechangia vita. Kilichofuatia ni urahisi wa vita kwa kutia vitina kwa kuwagawa waislam kimadhehebu na hii imeback-fire vibaya sana. Miaka 7 leo haijaulia and marekani imekuwa stuck. Afgan ni nchi ina madini mengi sana Uqaeda usiokwisha unatumika. Pia moto haujamizimika

Suala la Sudan, main issue is Politics kuliko dini au ujinsia na ndio maana ni bora ukizungumza kutumia logic na analysis sio feelings na Ubaguzi mindset.
Kwanza Waarabu wa Sudan ni weusi kama wewe sasa tatizo lako ni nini? Kama unafikiri mgawanyo ndio solution so let is be so. What is the problem?
Dinka will next have to fight with fellow Dinku. It will be less burden anyway.
 
Hapa siwaoni waafrika wenye nywele za kipilipili nawaona waarabu koko tu. naomba unapoongelea waafrika uwe unajua maana ya mwafrika. Kama hujui katafute maana ya mwafrika kama alivyoitoa chief Awolowolo inayotumiwa zaidi na Pan Africanism, lakini kama unfikiri kila mtu mweusi ni mwafrika umekosea maana hata wahindi wapo weusi wabangladesh na Papua new Guinea ni weusi lakini sio waafrika maana hawana nywele za kipilipili.

kama unatumia picha tu za kwenye internet huwezi kujua vizuri tofauti kati ya mwarabu wa sudan na mwafrika wa sudan ila kama umewahi kufika sudan basi tofauti unaijua. Na hata hivyo nimekusaidia kukuelewesha kwa kukwambia angalia picha ya Al Bashir na Salva Kiir utaona tofauti yao, hiyo ni njia ambayo inatumiwa kumwelewesha mtu ambaye ana uwezo mdogo wa kuelewa mithili ya taahira lakini kama hiyo pia umeshindwa kuona tofauti basi inahitajika mjadala wa kitaifa kutafuta njia ya kukuelewesha.

Dervish675.jpg

Mbona hizi sura ni kama za watanzania!.Jee watanzania nao ni waarabu koko?.
Huyo jamaa aliyeshika fimbo kafanana sana na rafiki yangu fulani.Yule aliyevaa guo jekundu na kukunja mikono kifuani utadhani yule askofu aliyeshiriki kuapishwa Kikwete.Sasa jee wote ni waarabu?.

Hao hapo chini ni wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Sudad dhidi ya njama za nchi za magharibi.Jee nywele zao zikoje?
images
 
Ami! hakika umejitahidi, lakini hapana kazi ngumu kama kumfundisha kipofu wa moyo. Moyo ukishaingia kiza ni kazi sana kiza kile kuondoka. Siwashangai wala hawanichukizi wale wanaopinga maendeleo ama kuukataa ukweli, kwani wengi wao ukweli moyoni mwao wanaujua ila kwa ujahili wao wanabisha ili kuwafurahisha wengine. Vivyo basi hujikuta watu hao wakitumika kwa manufaa ya wengine; Kichekesho ambacho mi hukiona ni kuhusu hiyo SUDAN wengi wa WATANZANIA na nchi nyinginezo hawaujui ukweli wa SUDAN, Wakaazi wengi wa Sudan ya kusini kabila kubwa ni Wanubi na jamii yake, na pia kuna makabila mengi madogo madogo kama waacholi, walugwara n.k. Kinyume na wanubi ambao wengi wao ni waislamu hayo makabila mengine wengi wao hawana dini. kanisa lilifanya jitihada toka miaka ya 1800 ili wabadilike lakini ilishindikana kutokana na mazingira ya kuhama-hama na vita zisizoisha baina ya koo tofauti na makabila. Lakini cha ajabu ukisikia wanasema WAKRISTO WENGI KUSINI MWA SUDAN!! Wakombolewe kutoka kwa WAARABU WAISLAMU wa KASKAZINI... Hii ni ajabu na kinyume na ukweli wenyewe. iko siku watakapomaliza kuigawa kitakachofuata ni VITA MPYA! Sijui itakuwa ya ukombozi mpya? kidini au baina ya makabila au koo??? Kwa kifupi tusubirie SOMALI nyingine.... WAGAWE UWATAWALE... Waafrika bado wako usingizini :embarrassed:
 
Back
Top Bottom