Njama za kuhujumu upinzani zabainika

Njama za kuhujumu upinzani zabainika

Huyu jamaa ni kamba kwa kwenda mbele ana jifanya ni jasusi wa chadema aliye anza kutumia mitandao ya kijamii toka 1992 huko Russia na ni mtaalam wa mifumo ya computer na kuingilia mawasiliano ya computer....Teh Teh kaongo sana

ukweli ni upi? maneno meengi lakini yamejaa mipasho tu.
 
Kweli nimeamin cdm mnaongozwa na zero.. Upuuuuz gan uu umeandika
 
Mipango ovu ya kila aina inayopangwa na dola ya CCM inazidi kubaini hivi sasa, Intelijensia ya CHADEMA iliyojichimbia kila walipo waovu hawa inajuza yakuwa kuna mikakati kabambe yakuhujumu wabunge na madiwani hasa kwenye halmashauri nyingi zinazoongozwa na CHADEMA,

Katika mikakati hiyo kwanza, wameweka alama nyekundu majimbo ya Hi, Ilemela, Iringa, Nyamagana, Msoma Mjini na Arusha Mjini,


1. Itaanza kamakata ya machinga katika halmashauri zote zinazoongozwa na Chadema,

2. Itaanzishwa bomoabomoa katika halmashauri hizo

3. Upo mpango wa kufunga akaunti za wabunge na madiwani wa CHADEMA, pia watawacheleweshea mafao yao.(utekelezwaji umeanza)

4. Wamepandikizwa vijana wa KITENGO kama wanachadema na wamechukua fomu za kugomea ubunge hasa kwenye maeneo ambayo Chadema inanguvu kubwa.

5. Mkakati wa kuwanunua makatibu na wenyeviti wa wilaya wa CHADEMA (Tayari wapo kwenye negotiations nawahusika)

6. Wanaandaa nyaraka feki za ubadhirifu katika halmashauri hizo.


NB:

Tayari Bot na TRA wameshaelekezwa kutoa waraka unaoagiza akaunti za wabunge (wa upinzani) zisimashwe kwa madai ya uhakiki wa taarifa zao. (waraka utawekwa)

Pia tayari akaunti za wabunge 15 mpaka sasa zimefungwa ambapo ufafanuzi yakinifu umekosekana kutoka kwa mamlaka husika


View attachment 269763
View attachment 269764

mudu wa kufanya haya sio huu, wamechelewa sana
 
Hatari sana! Tutawadhibiti hawa kenge hawa!

Aisee siamini kama yanatokea bongoland, hivi kweli hawa jamaa wana mikakati ya kishenzi namna hii halafu kila siku wanatuimbia wimbo demokrasia? It is shame.
 
Ni ukweli usiokuwa na nguo huyo anayejiita mkorea(Eliud Tongora ) anakula hela za CCM na anajengewa nyumba ya kuishi na CCM na ameahidiwa hela ndefu kama atafanikisha kuibomoa chad3ma musoma mjini
 
Yeye kazi yake ni kuzunguka saa sita usiku na baadhi ya kiongozi wa chama aliyemnunua,huku ajenda kubwa ni kuwashawishi wananchi kwamba chadema haijafanya chochote na pia wasiichague italeta fujo nchini
 
Ssm mbona wanajiona km tz ni kambingu chao na wao ni mungu? Nyie viongoz vijana mliopandikizwa na ssem mjue kz yn ikimalizika na mauti hapohapo msije toa siri kuweni macho.
 
Poor Politics, kama mnayajua yote haya mbona hakuna press conference mumfukulizie mbali?
 
Teh Teh Mkuu kuwa makini huyu ni mtaalam wa mawasiliano ya computer na alikaa sana urusi na tangu 1992 anafanya hizi shughuli

Cc Ritz

Peke yako humuwezagi huyu inabidi uite na hao team Lumumba wenzio.Yeriko anawakimbizeni pekupeku juu ya miiba humu jf.
 
Last edited by a moderator:
Huo muhuri ulioandikwa "SIRI" si maandishi manne kuuchonga ni 1200/= Tzs
 
Huyu naona kazi yake ni kuzuwa uongo na kufitinisha watu ndiyo kazi aliyopewa na chadema hana kingine.

Kiwanda cha uongo kazini.

Yule kijana aliyemtapeli kampa haki yake?
 
Back
Top Bottom