Njama za kuhujumu upinzani zabainika

Njama za kuhujumu upinzani zabainika

Story hii yaonyesha kabisa niyakutengeneza..
Jamaa hawawez kua wajinga kutumia maneno kama hyo ktk waraka..
Mifano ya nyaraka za halali za kimkakati fiatilia waraka wa Kitila...
Type mpya mkuu
 
ccm ni mashetani, anaewashobokea na ni shetani vile vile, sitaki ushirika na ufalme wa shetani!
 
We Yericko mpuuzi sana..huu utoto unamletea nani hapa?? Mikakati kama hiyo kamwe haiwekwi kwenye maandishi...you foolish boy
 
Story hii yaonyesha kabisa niyakutengeneza..
Jamaa hawawez kua wajinga kutumia maneno kama hyo ktk waraka..
Mifano ya nyaraka za halali za kimkakati fiatilia waraka wa Kitila...
Type mpya mkuu

kwani magamba yanajielewa?huwa yanakurupuka tu alaf end of day yanadabwa si unaona hii.
 
Hawawezi kitu,Chadema ni mpango wa MUNGU na atakayejitoa safari hii labda ahame nchi!
 
We Yericko mpuuzi sana..huu utoto unamletea nani hapa?? Mikakati kama hiyo kamwe haiwekwi kwenye maandishi...you foolish boy

CCM imechanganyikiwa wanaweka tu kwenye maandishi,kwa kuwa mmegawanyika ndio maana siri nje nje!
 
CCM imechanganyikiwa wanaweka tu kwenye maandishi,kwa kuwa mmegawanyika ndio maana siri nje nje!

Kwasasa ccm imegawanyika sehemu kuu mbili...
1. CCM Wazalendo (Magufuli et al)
2. CCM Mafisadi (Joka kengeza et al).

CHADEMA pia imegawanyika sehemu mbili,
1. Chadema wapiga-dili (mwenyekiti, muasisi etc)
2.Chadema halisi ( Dr Slaa etc)..
kazi kwako
 
Kuna mahali nilikuwapo stationary kuna gamba moja likikuwa linasoma e mail kwenye laptop, e mail zote zilikuwa zina mihuri ya SIRI nilitamani nisogee kidogo nijue siri yenyewe ni nn lkn nilishindwa.ss tutapambana nao tu.afe kipa afe beki lazima tushinde safari hii.
 
kwasasa ccm imegawanyika sehemu kuu mbili...
1. Ccm wazalendo (magufuli et al)
2. Ccm mafisadi (joka kengeza et al).

Chadema pia imegawanyika sehemu mbili,
1. Chadema wapiga-dili (mwenyekiti, muasisi etc)
2.chadema halisi ( dr slaa etc)..
Kazi kwako

unaweza kuwa una laana bila ya wewe kujitambua !
 
Back
Top Bottom