Njama za kuhujumu upinzani zabainika

Njama za kuhujumu upinzani zabainika

........kuna zoezi la nyumba kwa nyumba la kuorodhesha kadi za wapiga kura.....
 
Muongo wewe

Mkuu, uongo wake uko wapi? Mwenzako kamwaga 'viambatanisho vya ushahidi', wewe unakuja na maneno matupu na kudai Yericko muongo, mwaga ukweli, vinginevyo heshima yako itapukutika na wanajamvi watakudharau.

Vv
 
Chadema imeweza kujilipua itashindwa kutengeneza nyaraka fake??

soma hapa

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/889690-ccm-arusha-waagiza-polisi-wawakamate-vijana-soko-kuu.html#post13356398
 
Tumia akili yako sawasawa hivi wewe unaona hizo docs zina ushirikiano?

Ni ushirikiano upi unaoutafuta wa vinasaba au wa kitu gani zaidi ya maagizo ya kuhujumu wagombea wa chadema/ukawa? Hizi elimu ndogo kwenye jukwaa hili zinatupa shida sana. Kwa kuwa tumeambiwa tuwe wote basi hatuna jinsi.
 
Huyu naona kazi yake ni kuzuwa uongo na kufitinisha watu ndiyo kazi aliyopewa na chadema hana kingine.

Kiwanda cha uongo kazini.

Yule kijana aliyemtapeli kampa haki yake?

Bi mkubwa upooo kwani nini maana ya uongo manake mwaka wa 52 huu ccm mmetudanganya sana mpaka inaboa.
 
THIS IS TRUE NA NIPO MUSOMA KWA SASA UNACHOKISEMA YERICKO NI KWELI, HAKIKA NIMEKWAZIKA SANA NA KUANZIA LEO NAENDESHA KAMPENI KUZUNGUKA VIJIWE VYOTE ILI MBINU ZENU MAGAMBA ZIGOMBE ,WAMBA NYAMBAFUUUUU NINYYI HAKUNA MPUMBAVU YOYOTE KUTOKA CCM ATAKUWA MBUNGE MUSOMA MJINI, NA HUYO MKOREA WENU MPELEKENI MNAPO TAKA SI MUSOMA. WEZI WAKUBWA CCM NINYI




TUFIKIRI PAMOJA, TUSEME PAMOJA NA TUTENDE PAMOJA


SEMA:-
NIMECHOKA KUUAWA, NIMECHOKA KUIBIWA, NIMECHOKA KUTESWA NA KUNYANYASWA NDANI YA
NCHI YANGU, NIMECHOKA KUITWA MPINZANI NIMECHOKA KUDHARAULIWA.

SITAKI TENA UTUMWA NDANI YA NCHI YANGU, SASA NI MIMI NA TANZANIA HAPANA CCM OCTOBA 2015.

msema yote


 
Back
Top Bottom