Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,601
Bavicha wengi huwa hawana macho wao mzee wa Urusi toka 1992 akisema jambo wanalimeza kama lilivyo...huyo ndio jasusi wao..Tumia akili yako sawasawa hivi wewe unaona hizo docs zina ushirikiano?

Mipango ovu ya kila aina inayopangwa na dola ya CCM inazidi kubaini hivi sasa, Intelijensia ya CHADEMA iliyojichimbia kila walipo waovu hawa inajuza yakuwa kuna mikakati kabambe yakuhujumu wabunge na madiwani hasa kwenye halmashauri nyingi zinazoongozwa na CHADEMA,
Katika mikakati hiyo kwanza, wameweka alama nyekundu majimbo ya Hi, Ilemela, Iringa, Nyamagana, Msoma Mjini na Arusha Mjini,
1. Itaanza kamakata ya machinga katika halmashauri zote zinazoongozwa na Chadema,
2. Itaanzishwa bomoabomoa katika halmashauri hizo
3. Upo mpango wa kufunga akaunti za wabunge na madiwani wa CHADEMA, pia watawacheleweshea mafao yao.(utekelezwaji umeanza)
4. Wamepandikizwa vijana wa KITENGO kama wanachadema na wamechukua fomu za kugomea ubunge hasa kwenye maeneo ambayo Chadema inanguvu kubwa.
5. Mkakati wa kuwanunua makatibu na wenyeviti wa wilaya wa CHADEMA (Tayari wapo kwenye negotiations nawahusika)
6. Wanaandaa nyaraka feki za ubadhirifu katika halmashauri hizo.
NB:
Tayari Bot na TRA wameshaelekezwa kutoa waraka unaoagiza akaunti za wabunge (wa upinzani) zisimashwe kwa madai ya uhakiki wa taarifa zao. (waraka utawekwa)
Pia tayari akaunti za wabunge 15 mpaka sasa zimefungwa ambapo ufafanuzi yakinifu umekosekana kutoka kwa mamlaka husika
View attachment 269763
View attachment 269764
Bavicha wengi huwa hawana macho wao mzee wa Urusi toka 1992 akisema jambo wanalimeza kama lilivyo...huyo ndio jasusi wao..

Jamaa kajinga haka na uongo wake.
Hivi mwandishi gani akubali huu uchafu?Mkuu Yeriko hakikisheni hizi habari mnaongea pia na Waandishi wa habari kama counter attack. Hii issue ni vizuri ikawa open hata kwa public. Itasaidia sana mkuu. Ndio maana tunasema CCM ni chama cha wahuni, majizi na matapeli.
Teh Teh zimeletwa na jasusi wa chadema mtaalam wa mawasiliano ya computer na kuingilia mawasiliano toka 1992 Urusi...
Bavicha macho yenu ni kama ya panzi!
Huyu jamaa ni kamba kwa kwenda mbele ana jifanya ni jasusi wa chadema aliye anza kutumia mitandao ya kijamii toka 1992 huko Russia na ni mtaalam wa mifumo ya computer na kuingilia mawasiliano ya computer....Teh Teh kaongo sanamkuu huyu jamaa ni wa hovyo sana nilikuwa namuona kipindicha kukwata na kutokukatwa na umbea wake,lakini anasau kuwa anaweza kuwa anatafuta sifa za kijinga ambazo wakimwambia atoe ushaidi akaanza kulia na familia yake,yeriko sifa za kijinga zitakuponza,
Hivi mwandishi gani akubali huu uchafu?
Muongo wewe
Huyu jamaa ni kamba kwa kwenda mbele ana jifanya ni jasusi wa chadema aliye anza kutumia mitandao ya kijamii toka 1992 huko Russia na ni mtaalam wa mifumo ya computer na kuingilia mawasiliano ya computer....Teh Teh kaongo sana
Huyo jamaa hana tofauti na waganga wa kienyeji wa mtaa wa Ufipa!