Njama za kuhujumu upinzani zabainika

Njama za kuhujumu upinzani zabainika

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
17,026
Reaction score
20,511
Mipango ovu ya kila aina inayopangwa na dola ya CCM inazidi kubaini hivi sasa, Intelijensia ya CHADEMA iliyojichimbia kila walipo waovu hawa inajuza yakuwa kuna mikakati kabambe yakuhujumu wabunge na madiwani hasa kwenye halmashauri nyingi zinazoongozwa na CHADEMA,

Katika mikakati hiyo kwanza, wameweka alama nyekundu majimbo ya Hi, Ilemela, Iringa, Nyamagana, Msoma Mjini na Arusha Mjini,

1. Itaanza kamakata ya machinga katika halmashauri zote zinazoongozwa na Chadema,

2. Itaanzishwa bomoabomoa katika halmashauri hizo

3. Upo mpango wa kufunga akaunti za wabunge na madiwani wa CHADEMA, pia watawacheleweshea mafao yao.(utekelezwaji umeanza)

4. Wamepandikizwa vijana wa KITENGO kama wanachadema na wamechukua fomu za kugomea ubunge hasa kwenye maeneo ambayo Chadema inanguvu kubwa.

5. Mkakati wa kuwanunua makatibu na wenyeviti wa wilaya wa CHADEMA (Tayari wapo kwenye negotiations nawahusika)

6. Wanaandaa nyaraka feki za ubadhirifu katika halmashauri hizo.

NB:

Tayari Bot na TRA wameshaelekezwa kutoa waraka unaoagiza akaunti za wabunge (wa upinzani) zisimashwe kwa madai ya uhakiki wa taarifa zao. (waraka utawekwa)

Pia tayari akaunti za wabunge 15 mpaka sasa zimefungwa ambapo ufafanuzi yakinifu umekosekana kutoka kwa mamlaka husika

11352506_1061003410578224_2102772918_n.jpg
11749695_1061003527244879_586819095_n.jpg
 
Asante mkuu unatisha. mwaka huu magamba lazima suruali ziwashuke
 
hili la kupandikiza wagombea wao na baadaye kujitoa nafikiri lilishatahadharishwa..kumbuka ya Elibariki Kingu 2010..na hii hamiahamia CHADEMA iwe makini...
 
Yericko huwa nakuaminia kamanda,Arusha ccm ipo ktk ndala za mabalozi ambao pia wapo wa kuwahesabu.
 
Bravo kamanda Yericko tupo pamoja na wewe,hakika CHADEMA ni chaguo la Mungu
 
Mipango ovu ya kila aina inayopangwa na dola ya ccm inazidi kubaini hivi sasa, Intelijensia ya Chadema iliyojichimbia kila walipo waovu hawa inajuza yakuwa kuna mikakati kabambe yakuhujumu wabunge na madiwani hasa kwenye halmashauri nyingi zinazoongozwa na Chadema,

Katika mikakati hiyo kwanza, wameweka alama nyekundu majimbo ya Hi, Ilemela, Iringa, Nyamagana, Msoma Mjini na Arusha Mjini,

1. Itaanza kamakata ya machinga katika halmashauri zote zinazoongozwa na Chadema,

2. Itaanzishwa bomoabomoa katika halmashauri hizo

3. Upo mpango wa kufunga akaunti za wabunge na madiwani wa CHADEMA, pia watawacheleweshea mafao yao.(utekelezwaji umeanza)

4. Wamepandikizwa vijana wa KITENGO kama wanachadema na wamechukua fomu za kugomea ubunge hasa kwenye maeneo ambayo Chadema inanguvu kubwa.

5. Mkakati wa kuwanunua makatibu na wenyeviti wa wilaya wa CHADEMA (Tayari wapo kwenye n

We rafiki yangu hivi ni lini utaacha kuota hizi '"NDOTO ZA KIMWELI au ZA LINACHA"
 
wanataka kuleta vita nchini Hawa magamba.wataisoma namba
Hivi unaamini huu uongo wa Yericko ambao lengo lake ni kuhakikisha baadhi ya wagombea wa chadema wana enguliwa kwa kisingizio ni mamluki?
 
Back
Top Bottom