Njama za kuhujumu upinzani zabainika

Njama za kuhujumu upinzani zabainika

Huyu jamaa ni kamba kwa kwenda mbele ana jifanya ni jasusi wa chadema aliye anza kutumia mitandao ya kijamii toka 1992 huko Russia na ni mtaalam wa mifumo ya computer na kuingilia mawasiliano ya computer....Teh Teh kaongo sana

Kama huu ni uongo, ulete ukweli kijana.

Tulizeni moyo dawa iwaingie vijana
 
mkuu huyu jamaa ni wa hovyo sana nilikuwa namuona kipindicha kukwata na kutokukatwa na umbea wake,lakini anasau kuwa anaweza kuwa anatafuta sifa za kijinga ambazo wakimwambia atoe ushaidi akaanza kulia na familia yake,yeriko sifa za kijinga zitakuponza,
unamfahamu yericko au ni kwakuwa umemkuta jf??
 
Tangia akose kura za maoni kuwa m/kiti wa Serikali za mitaa pale Kigamboni kupitia CHADEMA amekua na matatizo ya Akili kwelikweli.

Maelezo yako na waraka wa kubomoa ukuta ni kama Mbingu na Ardhi. Kajipange vizuri mkuu wa propaganda wa Bavicha
 
Vimkakati vya kipuuzi...
Majembe mapya yanayokuja bungeni baada ya uchaguzi ni mara 100 ya hao wanaowahujumu
 
Mmeshaanza washindwa, acheni uzushi twendeni kwenye sanduku kila mmoja atapata alichostahili
 
We rafiki yangu hivi ni lini utaacha kuota hizi '"NDOTO ZA KIMWELI au ZA LINACHA"

Ni vema ukakanusha kwa hoja ili tujue kweli mambo hayo ni ndoto za Kimweli,siyo tu kuleta mambo yanayoishia hewani.
 
Mipango ovu ya kila aina inayopangwa na dola ya CCM inazidi kubaini hivi sasa, Intelijensia ya CHADEMA iliyojichimbia kila walipo waovu hawa inajuza yakuwa kuna mikakati kabambe yakuhujumu wabunge na madiwani hasa kwenye halmashauri nyingi zinazoongozwa na CHADEMA,

Katika mikakati hiyo kwanza, wameweka alama nyekundu majimbo ya Hi, Ilemela, Iringa, Nyamagana, Msoma Mjini na Arusha Mjini,


1. Itaanza kamakata ya machinga katika halmashauri zote zinazoongozwa na Chadema,

2. Itaanzishwa bomoabomoa katika halmashauri hizo

3. Upo mpango wa kufunga akaunti za wabunge na madiwani wa CHADEMA, pia watawacheleweshea mafao yao.(utekelezwaji umeanza)

4. Wamepandikizwa vijana wa KITENGO kama wanachadema na wamechukua fomu za kugomea ubunge hasa kwenye maeneo ambayo Chadema inanguvu kubwa.

5. Mkakati wa kuwanunua makatibu na wenyeviti wa wilaya wa CHADEMA (Tayari wapo kwenye negotiations nawahusika)

6. Wanaandaa nyaraka feki za ubadhirifu katika halmashauri hizo.


NB:

Tayari Bot na TRA wameshaelekezwa kutoa waraka unaoagiza akaunti za wabunge (wa upinzani) zisimashwe kwa madai ya uhakiki wa taarifa zao. (waraka utawekwa)

Pia tayari akaunti za wabunge 15 mpaka sasa zimefungwa ambapo ufafanuzi yakinifu umekosekana kutoka kwa mamlaka husika


View attachment 269763
View attachment 269764

Kumbe tusiwacheke Burundi!!,wala kuwashangaa maana hali ni hiyohiyo hata kwetu.
 
mkuu huyu jamaa ni wa hovyo sana nilikuwa namuona kipindicha kukwata na kutokukatwa na umbea wake,lakini anasau kuwa anaweza kuwa anatafuta sifa za kijinga ambazo wakimwambia atoe ushaidi akaanza kulia na familia yake,yeriko sifa za kijinga zitakuponza,

wewe unachokijua ni kipi? zaidi ya kuhororoja tu?
 
Back
Top Bottom