Njaa ,vita na udini

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
2011-08-17T223343Z_01_SIN69_RTRIDSP_3_SOMALIA.jpg
 
Attachments

  • JAMANI.jpg
    JAMANI.jpg
    69.9 KB · Views: 48
  • FOLENI YA CHAKULA.jpg
    FOLENI YA CHAKULA.jpg
    40.9 KB · Views: 54
  • MALNOURISHED KID.jpg
    MALNOURISHED KID.jpg
    22.5 KB · Views: 52
  • FAMILIA KUBWA.jpg
    FAMILIA KUBWA.jpg
    41.2 KB · Views: 49
MAtaifa makubwa yaache unyonyaji ktk nchi changa na kuchonganisha watu wakapigana wenyewe kwa wenyewe.
 
unapocomment kwa kusema somalia ni maislam unamanisha nini ndugu yangu, hebu jaribu kuheshimu dini/ imani za watu wengine. Hii ni sehemu ya great thinkers kama unajiona hudeserve kuwa hapa ni bora ukanyamaza tu na si lazima uandike kitu humu ndugu yangu
 
Somalian wanazaliana kama mapanya japo wanajaua hawana chakula cha kuwatosha wao na watoto wao. Njaa inayowakumba ni hali ya asili ya kubalance ecology wacha wafe kwa njaa ili ardhi inayowasetiri iweze kuhimili idadi ya watu watakao salimika.
 
each individual as human being has a natural right which is life. it is the obligation of every country or United nations to defend lives of people in great danger posed by hunger or war. therefore Somalis deserves to live and prosper like any one in the world. wakati mwingine ushirikishe ubongo katika kufikiri because here at JF are the home of great thinker and not sinkers like you
 
MAtaifa makubwa yaache unyonyaji ktk nchi changa na kuchonganisha watu wakapigana wenyewe kwa wenyewe.
The Africa's fate is within African themselves. tukijitambua, tukiheshimiana na tukitii amri kumi za mungu/allah matatizo yote yatakwisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom