Njaa ni mbaya sana

Njaa ni mbaya sana

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
2,193
Reaction score
3,957
Njaa inawafanya watu kuwa machawa promax totally mtu akiwa chawa hua anaupungufu fulani wa kiakiri maana yeye huwaza pesa tu.

Ninasikitika kwamba serikali hii ndio serikali ya mazwazwa kuliko serikali zote zilizowahi kupita watumishi wamegeukia uchawa hata taasisi za kidini nazo zimefanywa kuwa machawa kusifia maovu.

Inakuaje serikali inakodi mabaa medi na wanawake sijui vikundi na kuita wakatoliki nini dhamira ya serikali ??

Mbaya zaidi hao wakatoliki ni hamnazo toka lini wakatoliki wakaimba et "mwamba mwamba yesu ndio mwamba"

Aliewalipa pesa hao uvccm wajiite wakatoliki ni nani? na ana dhamira gani kwa kanisa?

Sisi hatuungi mkono mauaji, utekaji na udhalilishaji kama huu unaendelea nchi, na tuko tayari kutoka ushirikiano na ushahidi wa matukio yote 29 October.

Serikali inanzishaje chuki na kanisa kama sio uzwauzwa ni nini
 
Lucas Mwashambwa Tlaatlaah yule dada aliyesoma ile barua kwenda kwa papa wa 16 (akimaanisha Papa Benedicto wa 16 ambaye alishafariki 😂😂😂) amewazidi kwa uchawa.

Anaitwa
Lucy antony mikael
Katibu wa UVCCM tawi la Dovya.

Amejizima data haswaaa.
 
Kwa akili nilizonazo nilishakataaga kuburuzwa na wanasiasa hata kama nina njaa kali sitaingizwa mkenge na mwanasiasa ili kuhujumu watu wengine kwa faida za kisiasa/kipropaganda. Labda kama kuna vita na adui wa nje hapo nitajitolea kuitetea na kuilinda nchi yangu, ila huu upuuzi wa kina madelu humu humu ndani ya nchi sikubaliani nao, lazima tuwatoe unyoya!
 
Lucas Mwashambwa Tlaatlaah yule dada aliyesoma ile barua kwenda kwa papa wa 16 (akimaanisha Papa Benedicto wa 16 ambaye alishafariki 😂😂😂) amewazidi kwa uchawa.

Anaitwa
Lucy antony mikael
Katibu wa UVCCM tawi la Dovya.

Amejizima data haswaaa.
relax and calm down gentleman,


Infact,

Baba mtakatifu hayati Pope Benedict XVI aliliasa sana na kulikanya kanisa katoliki tena mara nyingi sana kutofungamana na masuala ya kisiasa bali daima wahubiri neno la Mungu na kumtangaza yesu kristo kwa mataifa yote ya ulimwengu.

Lucy antony mikael alikua sahihi kunukuu nasaha za baba mtakatifu benedict :NoGodNo:
 
relax and calm down gentleman,

In fact Baba mtakatifu hayati

In fact,

Baba mtakatifu hayati Pope Benedict XVI aliiasa kanisa katoliki mara nyingi sana kutofungamana na masuala ya kisiasa bali daima wahubiri neno la Mungu na kumtangaza yesu kristo kwa mataifa yote ya ulimwengu.

Lucy antony mikael alikua sahihi kunukuu nasaha za baba mtakatifu benedict :NoGodNo:
Kuua watu, jureka watu nayo ni siasa, kanisa linatetea haki sio siasa watu wanatekwa hovyo
 
Kuua watu, jureka watu nayo ni siasa, kanisa linatetea haki sio siasa watu wanatekwa hovyo
mamaluki wa kupora mali za watu na magaidi wa kuharibu miundombinu ya umma na ya watu binafsi hawana sababau ya kutamba kwenye uso wa dunia hata kwa sekunde moja tu endapo wataonekana kufanya hivyo popote duniani.

kama huamini jitie kimbelembele kupora au kuharibu mali ya umma ukajidanganya eti hiyo ni haki yako :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom