Niwaombe Watanzania "yeyote anayepita jamii za kimataifa kutuombea njaa" tumuone ni mhaini

Swali lako linaonyesha kabisa kuna watanzania wanatengeneza matukio ya kupatia pesa huko majuu.

hivi kweli kwenye kuhesabu kura wanafungua bahasha kutoa kura zilizoko ndani na kuzihesabu? haya ni mambo yanatengenezwa na baadhi ya watanzania kutafutia pesa huko majuu lakini siamini kuwa kuna mtu anaiba kura kwa kuweka kura nyingi kwenye mabahasha.

Ni lazima tuwabaini watanzania wote wenye akili za mitungi, kuharibu jina la nchi yetu ili wao wapate utajiri
Kuwa na IQ kubwa basi sio kila kitu kuwa serious....huwezi kujua ni utani ndio maana nikaweka emoji.....Hilarious eeh
 
Comrade,
Watu wanatoa maoni kila mmoja kwa mto wake au kundi lake - pamoja na yote tujiulize:-
(i). Iwapo mifumo ya ndani ingekuwa imara i.e kila chombo kikawajibika ipasavyo haya ya EU yangetokea? Maybe No!

(ii). Kama suala la uchaguzi lingefanyika kwa uwazi NEC ikatimiza wajibu wake, police wakatimiza wajibu wao, msajili akatimiza wajibu wake, na taasisi za vyama vikatimiza wajibu wao - haya ya EU yangetokea? Probably, No!

(iii). Kama taifa tungekuwa tumeunda a very strong mediation team kwa ajili ya kuwapatanisha wagombea nyakati za uchaguzi mkuu - kamati isiyoyumba wala kuyumbishwa na rushwa, ahadi, mahaba ya kivyama haya ya EU tungeyaona - bila shaka hapana!

So plz, yote yanatokea sababu tuna tabaka la watawala wanaojimbanua kama bora hata kama wananchi hawawataki - na viongozi hao wanakuja kubebwa na mamlaka za kitaasisi. Tusiporekebisha hapo tutaendelea kushuhudia mengi mabaya yasiyopendeza machoni kwa taifa na mataifa.
 
Michakato ya ukpmbozi ???

Hatuwezi kuanza kuoneshwa ubaya wa watu wengine wakati ubaya upo kwenye serikali inayokataa kuwa na tume huru hadi marehemu Mkapa alisema kwanini hilo tatizo hatuoni kama ndiyo chanzo cha vurugu. Hivi wakati wa kuiba kura waliopanga walikuwa na nia gani hasa hadi wanafanya njama za kichapisha makaratasi mengi ya kura na kutiki nje ya utaratibu wa uchaguzi. Hakuna uchaguzi wa hovyo kama wa mwaka huu haijawahi kutokea.

Kwanza hivi wakati ulaya muwakilishi wao anaondoka hapa walikuwa wapinzani ndiyo walisababisha Kwani hatufahamu kwamba tuliingia kwenye vyama vingi ili viwe kama kioo cha kujitazamia serikali. Na hizo nchi za magaribi ndiyo zilitulazimisha. Sasa kwanini tutegemee tutairudisha nchi kwenye chama kimoja halafu wao waendelee kitusaidia inawezekana kweli.

Tusidanganyane wote wanazo balozi zao hapa hawahitaji kuambiwa wakati mabalozi wao wapo hapa Tanzania si wameona vurugu lilifanyika nchi nzima
 
Kwahiyo wewe unataka watanzania wasiwe hata na haki ya kuchagua viongozi wao kikundi ka watu wajitengenezee kura pembeni na kujitangaza washindi halafu sisi tuogope vikwazo ili tuyawalowe. Mbona vikwazo walipowekewa afrika kusini hakuna aliyesema vinaumiza waafrika wote tuliunga mkono na mwishowe Kaburu akaondoka.

Hata hivi vikwazo vitasaidia madikteta waondoke hasa baada ya wananchi kuelewa kiwa wanazidi kuwa masikini sababu ya dikteta aliyeko madarakani itabidi afu,ushwe mara moja. Mimi kama mtanzania kwa lile vurugu la uchaguzi vikwazo watuwekee tena hadi tuwe tunashindwa hata kulipa mishahara maana wafanya kazi wenyewe ndo hao walioshiriki kuiba kura bora wafanya kazi bila mshahara ndipo wajuwe ubaye wa dhuluma.

Tunachokisema "dhana ya kutengeneza kura" ni dhana ambayo inajengwa na watu wachache na nimesema hiyo hailalalishi mtu yeyote kutuvuruga.

Na dhana hiyo haiwezi kuondolewa na vikwazo mnavyovitafuta ndio maana watanzania wanatakiwa kuelimishwa na kuelewa.

nikupe mfano wa vyama vya upinzani vyenyewe, chama kinaweza kuongozwa na mtu mmoja miaka nenda rudi. Siamini kwamba katika vyama hivyo hakuna watu wengine wanaofaa kuongoza katika vyama hivi bali binadamu yeyote unayempa madaraka fulani, na huyo huyo ukamwambia asimamie mchakato wa kutafuta mtu mwingine ni wazi yeye huyu anakuwa na "added" advantage.

Ndiyo maana utakuta wengi mko maofisini, sio kwa sababu demokrasia ilifanyika, mkafanya interview mkapita bali kwa sababu mlifanyiwa mpango na watu wanaowafahamu.

ndio maana unakuta mtu anakuwa mwenyekiti wa chama miaka nenda miaka rudi kwa sababu anatengeneza mazingira ya yeye kila kukifanyika uchaguzi anashinda.

Nenda kwenye nafasi za viti maalumu za vyama vya upinzani waliokuwa bungeni, wafuatilie huyu ninani na alitoka wapi kupata nafasi utaona unachokilalamikia kinatendeka kila sehemu.

sasa kwa nini msinzie kusafisha vyama vyenu ndiyo mje kusafisha nchi?

Sisi wengine sio wanasiasa na tunasema haya mnayoyalalamikia ni mambo ya nyakati yamejaa kila idara. kupata kazi lazima uunganishwe na mtu ila kuna matapeli wanatambua changamoto hii katika jamii na hawaji na suluhisho bali kutumia hiyo kutafuta madaraka.
 
Kwanza kabisa niseme wazi kuwa mimi binafsi sio kwamba naridhika na kila kitu kinavyotendeka katika nchi yangu hii lakini ustawi wa watanzania wote, ustawi wa nchi yangu ni bora kuliko matakwa yangu binafsi...
Sidhani kama vikwazo havitawaathiri viongozi hata kidogo kama ulivyoandika.Hata hivyo ni vema ungetumia muda mwingi zaidi kudeal na 'mzizi wa tatizo' badala ya 'matawi'
 
Kwanza kabisa niseme wazi kuwa mimi binafsi sio kwamba naridhika na kila kitu kinavyotendeka katika nchi yangu hii lakini ustawi wa watanzania wote, ustawi wa nchi yangu ni bora kuliko matakwa yangu binafsi..
Mimi nmepata kusema maelezo yote mtayatoa humu na conference zote ztaitishwa ila chanzo chote ni Mdudu Uchaguz hyu Mdudu wengi atawafanya wanene kwa Lugha!

Mdudu hyu wenye akili watamtoa kwa staha lakini wenye hamnazo watapga mayowe wakidhani ataogopa kelele. Yeye huyu Mdudu atawatafuna siwao tu hata ndugu jamaa na marafiki zao.

Mdudu huyu Uchaguzi msimdharau hata kidgo ataotesha donda na hili donda litapelekea mguu kukatwa !!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kwanini katika huu ushauri usimshauri rais kufuata katiba ya nchi na badala yake unalaumu wananchi kwa mamilioni yao bila kuona kuwa kikwazo ni mtu mmoja tu ambaye ni rais?
Unetolea mfano zimbabwe unaunga mkono udikteta?
Unajua madhara ya udikteta?
Kwanini huoni kwamba Mugabe ndiyo alikuwa kikwazo kwa Zimbabwe kwamba yeye ndiyo alikuwa na haki ya kufanya anavyotaka kwa nchi ile kuliko raia wengine wote?
 
Kwanza kabisa niseme wazi kuwa mimi binafsi sio kwamba naridhika na kila kitu kinavyotendeka katika nchi yangu hii lakini ustawi wa watanzania wote, ustawi wa nchi yangu ni bora kuliko matakwa yangu binafsi.

Nilivyokuwa mdogo niliwaza sana kufanya kazi katika taasisi kubwa za nchi hii kwa maana mafanikio tuliyaona kama yanatokana na kuajiriwa na taasisi kubwa, lakini nilivyokuwa mkubwa haikuwezekana kuweza kufanya kazi katika taasisi hizo. Nadhani kila mtanzania anaelewa kuwa kwa mazingira tuliyokuwa haikuwezekana kwa kila mtanzania kupata ajira TRA, Bandarini, Benki kuu n.k. Kwa busara zetu watanzania hatuwezi kuzusha uhasama miongoni mwetu kwa mambo kama haya ila tunaamini kadiri mda unavyosonga mambo mengi yanabarika.

kwa kifupi hakuna mtanzania yeyote ambaye anaweza kujiona kila sehemu katendewa kama alivyostahili.

Hoja yangu kubwa leo ni kwa Wanasiasa wetu.

kuna wanasiasa wanatuaminisha wanatendewa ndivyo sivyo hivyo wameamua kututafutia njaa kwa kujaribu kushawishi jumuiya za kimataifa zituwekee vikwazo n.k.

Daima mimi huwa naamini hakuna familia isiyokuwa na ugomvi au changamoto ndani, kuna familia baba ananyimwa unyumba, kuna familia kutukanana kila siku ndiyo mfumo wa maisha, kuna familia kuna baadhi ya watoto wanapendwa zaidi kuliko watoto wengine. Yote haya hayampi kibali mmoja wa wanafamilia hii kuombea njaa familia yao.

kwamba baba ukinyimwa unyumba ambao ni haki yako ya msingi na kila mmoja anaelewa haihalalishi wewe baba wa familia kwenda kuchukua shoka na kuchinja mke na watoto wa familia. baba kunyimwa unyumba haikupi kibali cha kuwalaza na kuwashindisha njaa watoto wa familia yako. Siku ukifanya hivyo watu watakushangaa na kukudharau wewe baba.

Kwamba mtoto, kama baba yako anampendelea sana ndugu yako katika kila kitu na ninyi wengine mnabezwa na kudharauliwa na kunyimwa mahitaji, je hilo linaweza kuhalalisha wewe mtoto kuendesha harakati za kuhakikisha nyumbani kwenu hampati chakula au mahitaji? huo ndiyo ujinga ambao shule zetu zilitakuwa kuuondoa kwamba hauwezi kufocus kwenye tatizo dogo na kutengeneza tatizo kubwa kama suluhu la kutatua tatizo dogo.

Wapo wanasiasa wanapita pita jumuiya za kimataifa kutafuta sapoti kwa watanzania kuwekewa vikwazo na kunyimwa misaada eti kisa wanaona wanatendewa ndivyo sivyo.

Sijui kama watanzania wanaelewa maana ya jambo hili wanalolifanya hawa wenzetu.

Jambo la kwanza tanzania kunyimwa misaada na kuwekewa vikwazo hakuwezi kuwaathiri viongozi walioko madarakani hata kidogo bali wananchi wa kawaida tulioko mitaani ndiyo tutaumia na hatua hii. Watanzania wenzangu hebu tuitazame Zimbabwe ilivyokuwa.

Wazimbabwe walikuwa na siasa za mvutano baina ya Robert Mugabe aliyekuwa raisi wa nchi hiyo na Morgani Tsvangirai aliyekuwa upinzani. Waliendesha mivutano na wapinzani wakafanya kampeni za kutokuwepo demokrasia na kadhalika na kuishawishi jumuiya ya kimataifa kuiwekea vikwazo nchi yao. Kwa kifupi vikwazo viliwekwa maana mkishaanza kupiga kelele kutafuta vikwazo huko nje watatafuta kila namna na kila sababu watawawekea vikwazo hata kama havihusiani na hoja za wapiga kelele. Leo Hii tumesahau yale yote na kila mtu anapiga kelele Zimbabwe iondolewe vikwazo baada ya kubaini mateso makubwa wanayopitia Wazimbabwe kutokana na vikwazo.

Hivi vikwazo vimebadili siasa za Zimbabwe? Siasa zimebaki vilevile watawala wameendelea kuwa watawala na watawaliwa wakaendelea kuwa wataliwa. Hivi kweli mtanzania anayepita huko kutuombea vikwazo anatutakia mema sisi watanzania wa kawaida? na je mtu kama huyo tunaweza kumuwaza hata kumpa uongozi wa kijiji kimoja tu?

Sisi Tunatamani mtu ambaye anahitaji kuwa kiongozi wetu, ikitokea akaulizwa tuwatese watanzania tukufanye tajiri au kiongozi ? na yeye ajibu Kuwatesa watanzania kwa ajili ya mimi kuwa kiongozi au tajiri ni bora utajiri na uongozi niviache na watanzania waishi salama. Lakini hapo simaanishi kuwa ukiwa kiongozi basi wakitokea wahuni wakaaanza kuwatesa watu eti ili uachie madaraka na wao waongoze basi hapo nchi huwezi kuwaachia wahuni na huko ndiko kutetea watu wako.

Tuchukue mfano mwingine, tutazame libya jinsi watu walivyoamini Gadhafi alikuwa anawatawala kidekiteta na kutafuta msaada kumuondoa ghadafi, tutazame libya ya leo na libya ya Ghadafi. Tazama nchi zote ambazo watu wake wamekimbilia nje kutafuta msaada kwa "ujinga wa demokrasia" nchi zao wamezipeleka wapi?

Watanzania ni lazima tuelewe kuna mambo ambayo ni ya nyakati na kuondoka kwake, yanaondoka na nyakati.

Huko zamani tulikuwa na tawala za kifalme ambazo mfumo wake ulikuwa wa kibaguzi kabisa kwamba kuna familia moja ndiyo imechaguliwa sijui na nani ? na hiyo familia ndiyo ilitoa wafalme wa kutawala jamii zetu na kuna familia zilikuwa "branded" familia za mikosi. wazee wetu waliishi kwa amani kwa walikubaliana na mambo hayo ambayo yalikuwa ya nyakati hizo.

Hivi tujiulize kuna mtu gani angeweza kuleta mabadiriko ya kweli katika jamii za kifalme kama angewezakupambana kukataa utawala wa kifalme? kiukweli hakuna yeyote bali ni mtu kujiona hawezi kutawaliwa na mfalme na kutafuta yeye kujiweka kuwa mfalme na wengine kutawaliwa.

Lakini wahenga walisema " time heals" sasa Leo hii tawala hizi za kifalme ziko wapi? maana yangu ni kwamba yapo mambo ni ya nyakati na yataondoka na nyakati. hata hao hao wanaojifanya kupigana nayo ukweli ni kwamba wanatafuta kukalia nyadhifa za juu tu lakini wakifika huko na wao utawala wao utakuwa vilevile. kama uamini basi jaribu kufuatilia taasisi zinazopiga kelele juu ya demokrasia na uzitazame zenyewe zinaendeshaje demokrasia hiyo hiyo ndani ya tasisi zao?

ni mambo yaleyale ya kuwapa wake zao nafasi za viti maalumu, au watu kupita bila kupingwa kugombea katika majimbo au mwenyekiti hachalenjiwi.

Kuhusu uchaguzi mkuu mimi naamini vyama vya upinzani vimeshindwa kihalali kwa maana wananchi wameviadhibu kwa kuacha sera zinazochochea maendeleo ya wananchi na kubeba hoja za kupinga serikali kila inachokifanya.

Hebu tuvitazame vya vya upinzani miaka iliyopita vilikuwaje?

vyama hivi vilijenga hoja ambazo zilikuwa zikiwapendeza wananchi. walikuwa wakihoji iweje nchi yetu iwe na ndege moja na ka nchi kama rwanda kana ndege, uwekezaji katika miundo mbinu kama ya kuzalisha umeme walisema tanzania tangu ilipowekeza miaka ya 1970 basi, reli imekufa n.k

wananchi walivipenda na kuongeza ushawishi na uwakilishi.

leo hii watu wamebadilika wanapinga mambo yote ambayo waliyapigania mda mrefu na yakawapandisha chati, unategemea nini?

Sasa tutulie tujenge nchi yetu.

swala la kwamba mimi ninataka kuwa msanii lakini ma promota wana upendeleo wana wabeba badhi ya wasanii na kuwakataa wengine na hivyo unataka kutuharibia nchi kisa eti mapromota wamekubagua hilo haliwezekani.

swala la kwamba na wewe una vigezi na haki ya kuajiriwa BOT lakini eti wameajiriwa watu kwa upendeleo hivyo unataka kuvuruga maisha ya watanzania hilo halikubaliki

yapo mambo tunaweza kuyaona hayako sawa lakini ukitazama kile unachokitafuta nacho hakiko sawa hivyo tuvumiliane tujenge nchi yetu na yeyote anayewaza kubomoa nchi yetu kwa kigezo yeye kanyimwa kitu fulani huyo tumkatae sote.

mimi nilivyokuwa mdogo wazazi wangu walimpenda sana ndugu yetu ambaye alikuwa anasoma seminari na sisi kuonekana hatuna lolote. Ninachokuhahakishia Leo hii ninavyoongea ukubwani mambo yamebadirika na wazazi hawa hawataki hata kukumbuka kama kuliwahi kuwepo na mazingira hayo.

Nyakati zimeondoa hali iliyokuwepo na ninaamini chochote ambacho watanzania wanaona hakiko sawa, waendelee kuelimishana na mambo hayo yataondoka lakini watanzania tusitafute shida kwa watanzia wenzetu
TUNGEANZA KWANZA NA YULE ALIYESABABISHA TUOMBEWE NJAA NDIPO WAFUATIE HAO WANAOTUOMBEA NJAA
 
Kuharisha muharishe nyee,halafu kinyesi chenu tubebe watanzania hatudanganyiki.
 
Mnaonaje na nyie mkiwawekea vikwazo hao wazungu? Halafu si mlisema nyie ni nchi tajiri tena "dona kantri" sasa imekuaje tena?
 
Umeeleza vyema sana kwa mujibu wa Tafakari yako!
Ila Ujue kwamba wanadamu Tumetofautiana ktk Kutafakari namna ya Kuliona Tatizo na Kuliondoa!
Kuna wanao Amini ktk Kubali ili Yaishe na kuna wanao Amini Hapa mpaka Kieleweke!
Ufumbuzi wa kuwaweka sawa wote hawa ni kufuata Muongozo Mama! (Katiba)
 
Comrade,
Watu wanatoa maoni kila mmoja kwa mto wake au kundi lake - pamoja na yote tujiulize:-
(i). Iwapo mifumo ya ndani ingekuwa imara i.e kila chombo kikawajibika ipasavyo haya ya EU yangetokea? Maybe No!

(ii). Kama suala la uchaguzi lingefanyika kwa uwazi NEC ikatimiza wajibu wake, police wakatimiza wajibu wao, msajili akatimiza wajibu wake, na taasisi za vyama vikatimiza wajibu wao - haya ya EU yangetokea? Probably, No!

(iii). Kama taifa tungekuwa tumeunda a very strong mediation team kwa ajili ya kuwapatanisha wagombea nyakati za uchaguzi mkuu - kamati isiyoyumba wala kuyumbishwa na rushwa, ahadi, mahaba ya kivyama haya ya EU tungeyaona - bila shaka hapana!

So plz, yote yanatokea sababu tuna tabaka la watawala wanaojimbanua kama bora hata kama wananchi hawawataki - na viongozi hao wanakuja kubebwa na mamlaka za kitaasisi. Tusiporekebisha hapo tutaendelea kushuhudia mengi mabaya yasiyopendeza machoni kwa taifa na mataif

Umeeleza vyema sana kwa mujibu wa Tafakari yako!
Ila Ujue kwamba wanadamu Tumetofautiana ktk Kutafakari namna ya Kuliona Tatizo na Kuliondoa!
Kuna wanao Amini ktk Kubali ili Yaishe na kuna wanao Amini Hapa mpaka Kieleweke!
Ufumbuzi wa kuwaweka sawa wote hawa ni kufuata Muongozo Mama! (Katiba)
Shida ninayoiiona kwa wanasiasa wengi ni kutumia wananchi kama chambo ya kupata kile wanachokitafuta wao na sio kwa maslahi ya wananchi.

Sasa mimi nasema nataka kuwa mwenyekiti wa chadema, au nataka kuwa kiongozi Mkuu wa ACT wazalendo

Je unadhani nitafanikiwa kumngoa mbowe Chadema? au nitafanikiwa kumung'oa zito ACT? Ninaamini vyama hivi si mali zao ila kwa hulka zilezile wanazoziona upande mwingine na kupiga kelele na wao wanazo.

kila uchaguzi ukifanyika kwenye vyama vyao leo wataendelea kubaki madarakani na kwao huo sio udikiteta bali uchaguzi ukifanyika serikalini na watu fulani wakabaki madarakani basi wanapiga kelele.

Hoja yangu ni kama hatutakuwa na double standard tutaona kuna hulka za kijamii ambazo ndizo zinapigiwa kelele.

Mimi sina Tatizo na mbowe kuendelea kuongoza chadema, au zito kuendelea kuongoza ACT au JPM kuwa raisi wa Tanzania ninachokisema

Watanzania tusikubali wahuni wavuruge nchi yetu kisa eti mbowe kashinda kuwa mwenyeti wa chadema tena na wao wanaamini mbowe anatumia ujanja kuendelea kukalia kiti hicho cha uenyekiti.

Watanzania tusikubali wahuni kuvuruga ama uchumi wetu au amani yetu kwa kisingizio eti Zito anaendelea kukalia kiti cha kiongozi mkuu wa act wazalendo na wao kuamini zito kukalia sio demokrasia.

Watanzania tusikubali wahuni kutuvuruga kwa kisingizio cha JPM anaendelea kuongoza nchi hii kwa wao kuamini sio demokrasia.
 
Mkuu ingia google download Sheria ya adhabu(penal code) usome maana ya uhaini... ukimaliza uje ufute uzi wako
 
Naona NAM inaanza kuludi Sasa
 
Kwahiyo wewe unataka watanzania wasiwe hata na haki ya kuchagua viongozi wao kikundi ka watu wajitengenezee kura pembeni na kujitangaza washindi halafu sisi tuogope vikwazo ili tuyawalowe. Mbona vikwazo walipowekewa afrika kusini hakuna aliyesema vinaumiza waafrika wote tuliunga mkono na mwishowe Kaburu akaondoka.

Hata hivi vikwazo vitasaidia madikteta waondoke hasa baada ya wananchi kuelewa kiwa wanazidi kuwa masikini sababu ya dikteta aliyeko madarakani itabidi afu,ushwe mara moja. Mimi kama mtanzania kwa lile vurugu la uchaguzi vikwazo watuwekee tena hadi tuwe tunashindwa hata kulipa mishahara maana wafanya kazi wenyewe ndo hao walioshiriki kuiba kura bora wafanya kazi bila mshahara ndipo wajuwe ubaye wa dhuluma.
Sooon wataanza kukopwa mishahara halipo mbali hilo.Udikteta ni zao la malezi mabovu utotoni
 
Back
Top Bottom