Niwafanye nini hawa watu..?

Mmmh ..
Asante
 
Binafsi nikushauri baki ulee watoto wako Mimi ukija kwangu sitakiwa tiyari kulipa ada zao matibabu na vingine ungekuwa na mtoto mmoja ningekuita tungeenda zetu Zenji Zenji kula upepo siku Saba Tano flani Sasa watoto wanne hata tukiwa faragha utakuwa unawawaza watoto wako lea watoto mchane live kuwa hivi hupendi basi
 
Usilipise kisasi wewe ondoka zako ukaishi maisha yako alafu watoto mwachie
 
Kwa mtu ambaye yupo tayari kuacha watoto bila kujiuliza, inanipa mashaka ya hiki kisa ni vyema tukapata na upande wa pili wa kisa hiki.
Kwa bahati mbaya ..huwezi pata.
Kwahiyo nikifa hao watoto watakuwa hawajaachwa et..
 
🤣🤣🤣 Mbona zenji!!
Si nimesema nawaacha kwa baba Yao au..( jokes)

Asante kwa ushauri mkuu
 
Asante sana kwa huu ushauri
Umenigusa sana Hadi machozi ..
Nitaufanyia kazi🙏
 
Why mchepuko ..mchepuko.. hivi ukiwa nje ya mfumo ni lazima uchepuke? Kwani lazima kuwa na mwanaume? Hii legacy imekaaje hii ...
Ukiingia menopause ndio unaweza potezea sex ukae alone tofauti na hapo ovolution itakutesa
 
Wacha nicheke tuu kwa umri niliofikia wala sitaki stress....😇😇😇😇😇🤣🤣🤣🤣
 
Why mchepuko ..mchepuko.. hivi ukiwa nje ya mfumo ni lazima uchepuke? Kwani lazima kuwa na mwanaume? Hii legacy imekaaje hii ...
Wewe achika kwanza ndiyo utaelewa!😀
 
mi nadhani suala la usaliti umelichukulia kwa uzito sana,mpaka hapo ushaanza kujiona si chochote ila nikwambie wanaume wana asili ya kuchepuka na kuna mda wanajisahau.
bado sijaona sababu ya ww kuachana na hiyo ndoa kwani umewahi kukaa naye chini na kuhitaji mazungumzo naye na yy akasema ya kwake yawezekana kila mtu ana makosa.
iliwahi nikuta ila sasa inachekesha sijawahi kuwaza kuacha ndoa yangu
 
Anaejaribu kushauri waachane anabomoa ,anaekushauri kubaki na kilinda ndoa anajenga .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…