Niwachekeshe kidogo

Niwachekeshe kidogo

Kwani pesa ina sura mbaya mkuu
Kadri unavyopokea hela yake kuna siku utampa tu.

Unajua kosa moja mnalolifanya unakuta tena mbele ya rafiki zake unaponda ana sura mbaya ntampeleka wapi, siku ukija kuwa naye, unaanza kuwaamind rafiki kisa wanamponda kwa kutumia maneno yako yale yale.

Kasoro za mtu ni bora ukakaa nazo moyoni, ili hata kikitokea cha kuwa naye pamoja usione aibu kwa maneno uliyomponda mwanzoni.
 
Heheh yaan sijui alifikiria nini aisee,halaf sura yake chungu aisee hata hamu hupati
hahah... eti sura yake chungu... wenye sura chungu wanaweza kupiga mechi umbali wa chalinze - segera bila kupumzika
😀😀😛
 
Eti kweli,,ndio maana mi nakupenda we muelewa sana bora angenipeleka kule baharini ulisema kuzuri ningeenda kushangaa eti,,sio kushikishwa manumbu
Hahaaaaa mama sabrina bwana

Kule baharin kuna raha sana huko ndo panafaa kwenda watoto wazur kama wewe

Afu yeye anataka akakulishe manumbu na chubu na makande yake eti kisa tu mdogo wa waziri

Mwambie kama kashindwa kukupeleka kupata upepo mwanana asikugas gas
 
Kadri unavyopokea hela yake kuna siku utampa tu.

Unajua kosa moja mnalolifanya unakuta tena mbele ya rafiki zake unaponda ana sura mbaya ntampeleka wapi, siku ukija kuwa naye, unaanza kuwaamind rafiki kisa wanamponda kwa kutumia maneno yako yale yale.

Kasoro za mtu ni bora ukakaa nazo moyoni, ili hata kikitokea cha kuwa naye pamoja usione aibu kwa maneno uliyomponda mwanzoni.
Siwezi mponda kwa watu,,halaf siwezi kuwa nae kabisa
 
Hahaaaaa mama sabrina bwana

Kule baharin kuna raha sana huko ndo panafaa kwenda watoto wazur kama wewe

Afu yeye anataka akakulishe manumbu na chubu na makande yake eti kisa tu mdogo wa waziri

Mwambie kama kashindwa kukupeleka kupata upepo mwanana asikugas gas
Tena nimemuambia asinisumbue kabisaa,bora nije kwako twende zetu baharini nikale raha na uniache kule
Sitaki shida,nilizonazo zinanitoshaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom