Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,458
- 8,796
Wakati mwingine wanawake wa kiafrika mna-complicate tu life hii chini ya jua wakati kiukweli life haipo ngumu hivyo. Ulichoandika hapa ni mwendelezo wa mawazo ya kimaskini tu yanayowakabili wengi wenu. Penda kutumia neno "I'm not interested" litakuweka huru. Life ina kanuni za ajabu sana, inaweza kukujia siku ukatamani upate robo ya mtu wa aina hiyo, then asiwepo. Sijaona cha kuchekesha hapa.