Niwachekeshe kidogo

Niwachekeshe kidogo

Nikiona habari kama hizi, nazidi kuona umuhimu wa wale Dada zetu wa Sinza na maeneo mengine. Unalipia huduma, Unapata huduma unaenda kuendelea na shughuli zako. Hakuna kuchezeshana bahati nasibu, maana kugharamia demu huku bado ukimtongoza ni sawa na kucheza Biko tu.
 
Hahaahaha
 
Alafu kesho utakuja na Uzi hapa unatafuta mchumba,wanawake kama nyie ni mikosi tuu,wengi mnaishia kuwa single mama kwaajili ya tabia mbaya za chooni.
 
Wachumba wanakuja wenyewe hawatafutwi bana
 
Kuna kaka ananisumbua sana ,,ananipigia simu ,mara sms na mnajua tu mtu ambae humuwazi wala humpendi akikupigia simu jinsi venye unavyojisikia vibaya kupokea ,,maana unaona hata hakufurahishi kabisa
Sasa huyu kaka ,kaka ake ni waziri flan hivi hapa Tz ,sijui alidhania ntashoboka ,akanitumia pesa eti nikajivinjali kidogo nikasema sawa,,vihela vyake vya mbuzi nikavila na rafiki yangu mmoja hivi,,,leo ananiambia niende kijijin nimfate eti nikabadili mawazo nikasafishe macho,,nikacheka akatuma nauli,,nikamuambia poa,,,
Hivi kweli mim nitoke mjini niende kijijim eti nikabadili mawazo khaa!!!mi mzungu kusema siyajui mazingira ya kijijini hadi nikabadili mawazo kule nikasema asinitie nuksi mie,juzi kati hapa tu nilikua zangu kampala nakula viraha vidogo vidogo pale Serena ,,eti leo niende kijijini hata nyege haziji kabisa aisee,,bora angesema twende hata Mombasa huko nikapate hata ladha mpya ya Kiswahili ,kwa kweli mi mtu akinipeleka sehemu mbaya na akili yangu inagoma hapo hapo na nnaondoka,,wanaume msituchezee ,,wazungu ndio hupenda kwenda huko vijijini kwani hawajawah ona maisha ya kule yalivyo,sasa mim nayajua bora nipelekwe sehemu ngeni nzuri nikabadili hata akili kidogo ,sio kijijin aisee bora nikatulia home nikachat jf
Tunachofata kwenu wanaume ni mtupe raha ,mtufurahishe na maswahibu yetu tuyasahau,,mtu anakupeleka sehemu hadi unaanza kumkumbuka marehemu bibi yako aku!!!
Mi nauli nimekula na blok juu nimempa sitaki mazoea na wanaume wa ajabu mie
Mapovu ruksa hapa
Ok.
 
sijakuelewa bado, ni kwamba hutaki kwenda kijijini au humpendi au unataka akufurahishe tu usahau hayo maswahibu yako? huko juu umesema humpendi then hutaki kwenda sehemu anapokuhitaji unataka ukale bata sehemu nzuri nzuri tu. halafu kama ulikua humtaki,ungeblock mawasiliano naye tangu awali asikusumbue kichwa., sasa akikupeleka huko mombasa sijui wapi huko! akikutongoza utakubali sasa?na utampa papuchi?
 
Nikishakataa mwanzo nimekataa,kiherehere chake tu,labda anipeleke US ntajikazaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom