Niwachekeshe kidogo


Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
16,020
Likes
25,594
Points
280
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
16,020 25,594 280
Kuna kaka ananisumbua sana ,,ananipigia simu ,mara sms na mnajua tu mtu ambae humuwazi wala humpendi akikupigia simu jinsi venye unavyojisikia vibaya kupokea ,,maana unaona hata hakufurahishi kabisa
Sasa huyu kaka ,kaka ake ni waziri flan hivi hapa Tz ,sijui alidhania ntashoboka ,akanitumia pesa eti nikajivinjali kidogo nikasema sawa,,vihela vyake vya mbuzi nikavila na rafiki yangu mmoja hivi,,,leo ananiambia niende kijijin nimfate eti nikabadili mawazo nikasafishe macho,,nikacheka akatuma nauli,,nikamuambia poa,,,
Hivi kweli mim nitoke mjini niende kijijim eti nikabadili mawazo khaa!!!mi mzungu kusema siyajui mazingira ya kijijini hadi nikabadili mawazo kule nikasema asinitie nuksi mie,juzi kati hapa tu nilikua zangu kampala nakula viraha vidogo vidogo pale Serena ,,eti leo niende kijijini hata nyege haziji kabisa aisee,,bora angesema twende hata Mombasa huko nikapate hata ladha mpya ya Kiswahili ,kwa kweli mi mtu akinipeleka sehemu mbaya na akili yangu inagoma hapo hapo na nnaondoka,,wanaume msituchezee ,,wazungu ndio hupenda kwenda huko vijijini kwani hawajawah ona maisha ya kule yalivyo,sasa mim nayajua bora nipelekwe sehemu ngeni nzuri nikabadili hata akili kidogo ,sio kijijin aisee bora nikatulia home nikachat jf
Tunachofata kwenu wanaume ni mtupe raha ,mtufurahishe na maswahibu yetu tuyasahau,,mtu anakupeleka sehemu hadi unaanza kumkumbuka marehemu bibi yako aku!!!
Mi nauli nimekula na blok juu nimempa sitaki mazoea na wanaume wa ajabu mie
Mapovu ruksa hapa
 
gbefa

gbefa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Messages
3,434
Likes
14,452
Points
280
Age
23
gbefa

gbefa

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2016
3,434 14,452 280
Joverest position
 
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
16,020
Likes
25,594
Points
280
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
16,020 25,594 280
Unapenda vya watu vyako hutaki toa ohooo subiria ban in real life,
Sio kila mtu utampa uchi hii dunia,,kuna wengine bahati yao unakuta mkaka anavutia hata akikulaza vichakani unakubali tu,,,sasa huyu sura mbaya halaf tena anipeleke kijijini aigoooo
 
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
16,020
Likes
25,594
Points
280
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
16,020 25,594 280
Sura yake chungu lkn mombasa ungeenda nae?!


Bora hata usingechukua hela yake
Mwanaumr sura mbaya bora ajikakamue hata akupeleke sehemu nzuri na kali unaweza hata mfikiria bana
 
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
16,020
Likes
25,594
Points
280
Mama Sabrina

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
16,020 25,594 280
Tatizo sio kijijini isipokuwa humkubali tu, kwa hyo acha kusingizia kijiji au mombasa.
Wallah kijijin siendi,labda mtu mmoja tu dunia hii naweza enda nae popote
 

Forum statistics

Threads 1,251,174
Members 481,585
Posts 29,761,026